Jeshi la Polisi linamshikilia Mwenyekiti wa BAWACHA Wilaya ya Temeke, Bi. Neema Mwakipesile kwa zaidi ya siku 4 bila kumueleza kosa lake.
Taarifa ya BAWACHA inaeleza kuwa tangu kushikiliwa kwake, Mwenyekiti huyo amezuiwa kuonana na ndugu zake, viongozi wa chama, n ahata kupelekewa chakula.