Ligi Kuu ya soka nchini imeanza rasmi leo kwa Pamba Jiji kutoka suluhu na Prisons ya Mbeya, vijana wengi mnaweza msiijue sana historia ya Pamba ya Mwanza, nitakuja kuwaeleza siku nyingi kuhusu Pamba ile ya golini Madata Lubigisa au Paulo Rwechungura, kulia Abdallah Bori kushoto Deo Mkuki, Nne...