Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Una wachezaji watatu wa kiwango cha juu kwenye kiungo cha kati: Luka Modrić, Kevin De Bruyne na Toni Kroos.
Unatakiwa kufanya maamuzi matatu: mmoja aanze kikosi cha kwanza, mmoja akae benchi na mwingine auzwe.
Luka Modrić
Toni Kroos
Wewe ungefanya maamuzi gani kati ya hawa watatu? Ungeanza nani, nani angekaa benchi na nani ungeuza?
Unatakiwa kufanya maamuzi matatu: mmoja aanze kikosi cha kwanza, mmoja akae benchi na mwingine auzwe.
- Kuanzisha: ......?
- Benchi: ......?
- Kuuza: .......?
Luka Modrić
Toni Kroos
Wewe ungefanya maamuzi gani kati ya hawa watatu? Ungeanza nani, nani angekaa benchi na nani ungeuza?