Salaam ndugu zangu,
Nimeona picha inasambaa ikieleza kuwa Kampuni ya Israeli ya PEPSI imebadilisha muundo wake na kuandika Palestina ili kuepuka kufungiwa na Palestina.
Ni kwamba bendera ina jumla rangi nne lakini kati ya rangi hizo hakuna rangi inayoitwa NJANO bali ni rangi ya DHAHABU ambayo ilikusudiwa kuwakilisha madini tuliyonayo nchini
Swali la msingi ni kwa nini sasa tukaijua njano na kuitumia kisha dhahabu tukapotezea?
Salaam wana jamii forum,
Leo nimeona niikumbushe serikali tukufu ya jamhuri ya muungano wa tanzania kuhusu kuweka bendera kwenye ofisi za serikali ngazi ya mtaa,kitongoji,Kijiji Hadi kata.maana imekua kawaida kwa sasa kuzikuta ofisi hizi bila kuwepo bendera ya taifa.
Kuna umuhimu mkubwa sana...
Nimekuwa nikifuatilia hotuba, maamuzi, ushauri, ufuatiliaji wa shughuli za Serikali na kufanya kazi kama timu moja napendekeza Mhe. Waziri Mkuu apeperushe bendera ya CCM mwaka 2025 kwa nafasi ya mgombea wa CCM kama Rais.
Iran seizes Tanzania-flagged tanker for alleged oil smuggling
Iran has seized two oil tankers allegedly carrying smuggled fuel in the Gulf and arrested their crews, state television announced on Friday.
"The Revolutionary Guards naval forces seized two ships over the course of the last two...
Serikali ya Iran imetangaza kukamatwa kwa meli iliyosheheni mafuta ya magèndo inayopeperusha benders ya Tanzania.
Ni wakati muafaka kufahamu ni nani yupo nyuma ya haya magendo kulinda taswira ya nchi kimataifa na kulinda biashara ya mafuta hapa nchini.
---
Iran has seized two oil tankers...
Kwa sababu Samia hajiamini ndani ya CCM.kuelekea 2025!
CCM-Samia wanatumia nguvu kubwa Sana ili kuhakikisha kwamba. Hakuna mwana CCM ambaye anaweza kupata ushawishi wa kisiasa ndani na nje ya CCM nchini zaidi yake Samia!
Hii yote ni kwa sababu Samia bado ana uchu wa madaraka kuliko kitu...
Kuna video imesambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ikiwaonyesha kundi la warabu wakishangilia na kuimba nyimbo huku wakipeperusha bendera ya Tanzania kitu ambacho kimeibua maswali mengi miongoni mwa watanzania wakijiuliza inawezekanaje?
Yani katikati ya sakata la kuuzwa kwa bandari zote...
Naamini kati ya majeshi 6 bora duniani ambapo jeshi letu (JWTZ) ni la 6, naamini kwenye ma 5 yajuu jeshi la Marekani litakuwepo. Sasa kwanini raia wa Marekani wanavaa nguo zinazofanana na jeshi na hawachukuliwi hatua?
Wanashindwaje kudhibiti hili jambo? Au wao hawapo kwenye orodha ya majeshi...
Kaamua kujitoa mhanga maana watakachomfanyia hawa mafia wa Urusi, tayari amekamatwa....
PHOTO FROM OVD-INFO TELEGRAM CHANNEL
A woman was detained on Red Square in Moscow for joining a rally while wrapped in a Ukrainian flag.
Source: Russian human rights media project OVD-Info with...
Prigozhin ahofiwa kufariki katika Ajali ya Ndege
Watu 10 wameripotiwa kufariki kwenye ajali hiyo ya ndege
Watanzania tumuombee apumzike kwa amani!
Source: Al jazeera
====
Kwa mujibu wa Idara ya Habari ya Urusi (TASS), abiria 10 waliokuwa kwenye Ndege Binafsi wamefariki ambapo inaaminika...
Kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa ni marufuku kwa vyama vya siasa kutumia majengo ya Umma na serikali kuendeshea shughuli zao za kisiasa. Lakini CCM pamoja na kupora majengo kadhaa ya umma na kuyageuza ya kwao, bado wanatumia IKULU yetu kufanyia vikao vyao.
Mbali ya hayo kwenye kikao cha...
"Nilikuwa katika maombi katika misitu ya Kibaha, Mungu aliniuliza unaona nini, nikajibu naona kitu, mawe ya moto mawe yenye moto yamegeuka kuwa mekundu yakija Tanzania" - Prophet Sanga.
"Mwaka 2023, huu ni mwaka gani!? Mwaka 2022, sasa mwaka 2023 kwenda 2024, zaidi mwaka 2023 naona watu kutoka...
Kuna wakati jengo la Burj Khalifa lilisambaa mtandaoni likiwa na bendera ya Tanzania na Picha ya Rais, lakini kwa siku za hivi karibuni nimeona tena mitandaoni kuna picha za bendera za majirani zetu zikiwa kwenye jengo hilohilo.
Mjadala wa bendera za nchi za Afrika mashariki kuwekwa kwenye...
Meya wa Hamtramck Michigan Amer Ghalib, alipata wadhifa huo wa Umeya, mnamo 2021 baada ya kumkosoa mtangulizi wake kwa kupeperusha bendera ya LGBTQ nje ya ukumbi wa jiji.
Baraza la jiji la Hamtramck, Michigan, ndio jiji pekee la Marekani lenye baraza linaloongoza Waislamu akiwemo na Meya...
Hii ndio Taarifa mpya iliyopatikana leo kutoka huko Iringa kwenye Jimbo la Kalenga , kwamba kwa vile Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Chongolo anafanya ziara Kwenye Jimbo la Kalenga basi ikaamriwa bendera zote za Chadema zing'olewe usiku wa manane ili Mtukufu Chongolo asizione.
Bado haijafahamika kama...
CCM, tunawasaidia ili kuendelea kutawala hii nchi, na itabidi muanze kutulipa tunaosaidia na kuwapa mbinu za kuendelea kuaminiwa, bado mna watu makini.
Tukianza kuifanya nchi yetu kuwa ya majaribio, ni kutudharau Watanzania, sio kila mtu aweza kuwa kiongozi, Mungu ametupa vipawa tofauti...
Mtanzania Gabriel Geay, ameweka historia kwa kushika nafasi ya pili katika mbio za Boston (Boston Marathon) zilizofanyika kwa mara ya 127 mwaka huu huko Boston, Marekani
Geay alifanikiwa kumaliza mbio baada ya saa 2:06:04 akimaliza nyuma ya kinara, Evans Chebet kutoka Kenya aliyekimbia mbio...
Jana Jumamosi 15/04/2023 Waziri Mkuu alikuwa Zanzibar akizindua kitabu cha taarifa ya Sensa iliyopita, kwenye uzinduzi huo walikuwepo wananchi ukumbini ambao walikuwa wakipepea bendera za taifa, kitu ambacho sikuelewa ni hizo bendera za taifa katikati kuwa na picha ya rais mama Samia!
Bendera...
Putin aliivamia Ukraine na kuanza kuiba ardhi yao kama njia ya kuwaadhibu kwenye mipango yao ya kutaka kujiunga NATO, sasa ni rasmi amepata ujirani wa NATO utakaokatiza mpaka mrefu takriban kilomita 1,340 km, yaani mithili ya Dar hadi unapitiliza Kigoma au Mwanza.
Huyo Putin aliwahi kuwatisha...