Video ikionyesha wafuasi na wanachama wa CHADEMA wakivutana vikali na Polisi Iringa kwa kike kinachodaiwa kuwa wamekataa kushusha bendera zao za chama.
Chanzo: DarMpya
Naomba kufahamishwa bendera wanazotakiwa kuwa nazo wanafunzi wanaosoma nje ya nchi? Je, ni zile kubwa za kuwekwa kwenye mlingoti au vile vidogo vya kushika mkononi?
Sishangai sana kwani hata katika Ustaarabu Kihistoria barani Afrika ulianzia hasa nchini Ghana.
Sishangai mno kwani hata Siasa bora na Demokrasia iliyokomaa Barani Afrika ilianzia nchini Ghana wengine wakaiga.
Vile vile sishangai zaidi kwani hata Wasoni wengi na Watu Wetevu (Intelligent)...
Jengo refu zaidi Duniani la Burj Khalifa pale Dubai muda huu limenakshiwa kwa Bendera ya Tanzania mwanzo mpaka mwisho lote. Dunia nzima sasa inatazama maajabu haya kwenye Jengo hilo refu zaidi Duniani huku Utalii wa Taifa letu ukizidi kutangazwa.
Yote hii ni matunda ya ziara ya siku 3 ya Rais...
Mwanamuziki wa Tanzania Diamond Platnumz amekosolewa mitandaoni kwa kutumia bendera yenye utata katika video ya wimbo wake mpya wa Gidi.
Bendera hiyo ni ya kundi la Shirikisho la majimbo ya kusini ya Marekani ambayo yalipigania kudumisha utumwa wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe na bendera...
Ilikuwa jioni moja tulivu mwalimu Nyerere alipokutana na mwalimu kashasha (mchambuzi mahiri wa mpira wa miguu). hii ni mara ya tatu wanakutana tangu kuwasili kwa mwalimu kashasha kwenye jumba la milele la watu wote. wakati wanangojea zamu yao ya kucheza drafti ifike, walianza kutaniana huku...
Wakuu wenye uelewawa wa haya mambo, naona bendera ya nchi yetu ameibeba mzungu mmoja ambaye sina uhakika kama ni mwanamichezo au kiongozi wa Tanzania! Je huu ndio utaratibu mpya au ndio hivyo tumekosa watu wa kushiriki?
Labda wanamichezo watafika kesho! Acha tuendelee kuwashangilia majirani zetu!
Watanzania Felix Simbu, Failuna Matanga na Gabriel Geay, wamefanikiwa kufuzu viwango vya Olimpiki na wanatarajia kuondoka nchini Julai 27, 2021 kuelekea Japan kwa ajili ya mashindano hayo yatakayofanyika mwezi Agosti
Timu ya Taifa ya Riadha ya Tanzania imekabidhiwa bendera ya Taifa, tayari kwa...
MJUMBE WA BARAZA KUU LA TAIFA CUF, ABDUL KAMBAYA AZINDUA RASMI PROGRAMU YA UPANDISHAJI WA BENDERA KATIKA WILAYA YA KINONDONI
Leo tarehe 4 Julai, 2021 Mjumbe wa Baraza Kuu la Taifa CUF, Abdul Kambaya amezindua rasmi programu ya upandishaji wa bendera katika wilaya ya kinondoni.
Programu hiyo...
Yaani huyu jamaa kachukua salama, akaweka nzi wale wakubwa watatu na kisha akajivisha kwenye mahala pake (akaivaa ..ndom na nzi wakiwemo ndani ya sox kwa mbele.
Sasa...... Wale nzi walipo anza kurukaruka ndani ya ile nailoni na wakiwa wanamuuma na kumkanyaga mwamba kwenye kichwa kidogo, kumbe...
Kwa mara ya kwanza since 2016 leo nimeona bendera ya CHADEMA inapeperushwa sehemu ambayo Rais anahutubia, heko Mama samia, juhudi zako za kuirudisha demokrasia iliyominywa kwa kipindi hicho zinaonekana.
Hii ina maana kwamba wateule hawana hofu na unafiki tena kwa mamlaka ya uteuzi (Enzi za...
Alama ya nyundo na jembe kwenye bendera ya CCM ni ya kuwamaliza Wakulima. Nyundo inawagonga kichwani na jembe linawafukia kabisa.
Marais Wastaafu wanajengeana nyumba baada ya kugawana nyumba za serikali na kupeana benzi, wakulima wamesahaauliwa.
Mama yetu tafadhali sikia kilio cha Wakulima...
Inakuwaje wanajamvi!
Mkiambiwa Israel ni taifa teule takatifu la Mungu wa kweli mnabisha. Hii Video inasambaa kwa kasi sana kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha raia wa Iran akichoma moto bendera takatifu ya taifa teule la Israel na badala yake bendera ikamchoma moto mwenyewe.
Mungu mwenyewe...
Leo ndio mazishi ya Prince Philip wa Uingereza waweza angalia moja kwa moja tv ya SKYNEWS
Maandalizi yote ya msiba wake aliyaanda mwenyewe kabla kufa na ratiba aliindaa mwenyewe.
Katika maagizo aliyoagiza ni kuwa ni maruku padre kuhubiri mahubiri mahubiri kwenye msiba wake na kanisani...
Mimi ni shabiki wa mpira na mpira ninaujua kwa kuutazama na kuucheza uwanjani. Haiitaji elimu kubwa kugundua kuwa Chris Mugalu hafai na hastahili kuanza kikosi cha kwanza kulingana na kiwango chake hasa uwezo wake wa kufunga. Bahati nzuri kwake ni kuwa udhaifu wake unafichwa na ubora wa timu...
Umoja wa Mataifa umetangaza kupeperusha bendera yake nusu mlingoti siku ambayo atazikwa Rais Magufuli
Rais Magufuli anatarajia kuzikwa Tarehe 26/03/2021
Leo Rais wa Kenya amelihutubia Taifa la Kenya juu ya kifo cha Rais Magufuli na kutoa pole kwa mama Janeth Magufuli na watanzania.
Amesema anakumbuka ziara ya Rais Magufuli nchini Kenya na kwa pamoja wakafungua barabara inayoitwa 'Seven Bypass' na kwake binafsi anaikumbuka heshma kubwa...
Mambo vipi wana Jf. Natumai wote mko poa.
Moja kwa moja kwenye mada. Kwenye pitapita zangu kama mnavonijua mimi ndugu yenu nimekutana na jambo moja geni sana kwenye masikio yangu.
Hivi mshawahi kusikia kuhusu uchawi wa kutumia bendera? Yani bendera hizi hizi mfano ya 🇹🇿 Mostly zinazotundikwa...
Ile rangi inatuchelewesha ni kiza tu hatuoni tunaoenda ni bora iondolewe,halafu tusidanganyane watanzania sio weusi wa kuifikia rangi ile nyeusi iliyopo kwenye Bendera ya Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Tanzania tupo weusi lakini hatujawafikiwa wa South Sudani wala baadhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.