bendera

  1. S

    Je, Twiga ndio alama ya Tanzania (national animal) mbali ya bendera?

    Hili nalo neno ! Siku hizi kila nchi au baadhi ya nchi zimekuwa na ubunifu inawezekana a majority of the raia living in are unaware of what its national animal. Nakumbuka kuna vazi la Taifa ingawa sioni kupewa kipau mbele. Zaidi ya twiga inaweza wakaongezeka au kuongezwa,aongezwe Kima Punju...
  2. K

    Uchaguzi 2020 Nani ana jukumu la kulinda bendera na picha za Wagombea zisiharibiwe kipindi cha kampeni?

    Kwa mujibu wa sheria na taratibu za nchi- ni nani mwenye dhamana ya kulinda picha za wagombea na bendera za vyama vya siasa zisiharibiwe? Je, ipo sheria inayotamka kua kuharibu picha au bendera ni kosa? Au kila mwananchi ana Uhuru wakuondoa picha ya Mgombea na bendera asiyoitaka?
  3. Infantry Soldier

    Nini haswa huunda bendera ya taifa fulani? Uwepo wa rangi zote katika bendera hiyo au pia mpangilio wa rangi hizo husika? What makes a national flag?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania eti; Nini haswa huunda bendera ya taifa fulani? Uwepo wa rangi zote katika bendera hiyo au pia mpangilio wa rangi hizo husika? What makes a national flag? (1) Ukichanganya rangi zile zile katika "locations" tofauti...
  4. Q

    Uchaguzi 2020 Mbarali, bendera za CHADEMA zikishushwa mbele ya polisi kabla ya Magufuli kupita

    Hapa ni Kongoro, Mswiswi- Mbarali. Leo kabla ya Dkt. Magufuli kupita vijana wamesimamiwa na polisi kushusha bendera za CHADEMA. ===== Hapa ni Kongoro, Mswiswi- Mbarali. Leo kabla ya JPM kupita vijana wamesimamiwa na polis kushusha bendera za CHADEMA.
  5. E

    Barua ya wazi kwa ndugu Tundu Lissu

    Nimekua nikikusikia kwenye kampeni zako ukiongea maneno mengi sana ya kuwadanganya na kuwalaghai watanzania kwamba utawaletea mabadiriko na maneno yako kamwe hayawezi kuwa na vitendo. Sote tunajua kwamba kazi yako ya uwakili na uanasheria ndio iliyo kufunza kuongea maneno mengi ili usaidie...
  6. Q

    Zanzibar 2020 Vijana wa CCM wamevamia ofisi za ACT-Wazalendo na kuchana bendera kisha wakabandika picha za Mwinyi

    Vijana wanaosadikiwa kuwa wa CCM, usiku wa kuamkia leo majira ya saa saba za usiku wamevamia tawi la Tutani (Mkombozi) la chama cha ACT-Wazalendo Nungwi mkoa wa Kaskazini Unguja na kuchana bendera za ACT-Wazalendo na kubandika picha za Mwinyi.
  7. Kurzweil

    Bendera ya Chama cha Mapinduzi ni kinga? | Bendera ya CCM ni mbadala wa "Plate Number"?

    Hii inamaanisha nini? Wanaofanya hivi wanajua Askari wa Usalama barabarani lazima "atamezea" kosa lolote watakalolifanya barabarani kwasababu ni gari la chama Je, wahalifu hawawezi kutumia mwanya huu wakajinufaisha? Kwanini CCM waache chama chao kitumike namna hii? FYI: Ukiachana na gari...
  8. Dam55

    Kwa hali aliyonayo Bernard Membe, Kikwete alikuwa sahihi huyu hakustahili kupeperusha bendera ya CCM hata kidogo

    Mhe. Kikwete alikuwa sahihi kukata jina la Membe 2015 kuwa mgombea urais kupitia CCM kwa kweli hana ushawishi wala mvuto wowote kwa watanzania, Kama kikwete angefanya kosa la kumpitisha huyu mtu 2015 Kisha apambane na Lowasa leo tungekuwa tunazungumza Lugha nyingine kabisa kwenye siasa za...
  9. Idd Ninga

    Sheria inayolinda bendera ya taifa, adhabu za papo kwa papo bila ya Mahakama

    Wengi hatufahamu sheria inayotumika katika kuilinda bendera ya taifa na kuiheshimu. Wakati wa ushushwaji wa bendera watu hutakiwa kusimama lakini pia wengi hawafahamu kuhusu hilo wala sababu ya uwepo wake. Kwa mujibu wa sheria za Tanzania ni kweli mtu anatakiwa kusimama wakati wa ushushaji na...
  10. Roving Journalist

    Uchaguzi 2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

    Mhe. Tundu Lissu Kunguruma leo kwenye ofisi za Uchaguzi Dodoma akirejesha Form ya Kugombea Urais wa Tanzania Updates ---- Tayari Mheshimiwa Tundu Lissu ambaye ni mgombea Urais na makamu wake Salum Mwalim wameshafika kwenye ofisi za tume ya Uchaguzi kwa urejeshaji wa Form UPDATE:-...
  11. Analogia Malenga

    Maharamia wa Somalia waiteka meli yenye bendera ya Panama

    Maharamia wa Somalia wameiteka meli ya yenye bendera ya Panama-iliyokua ikisafiri kutoka Muungano wa Kiarabu ikielekea kwenye bandari mjini Mogadishu. Meli hiyo ilishambuliwa usiku wakati wahudumu wake walipokua wamelala. Shirika la habari la Anadolu limewanukuu maafisa wa jimbo lililojitenga...
  12. O

    Uchaguzi 2020 CHADEMA hofu yatanda: Wajuta kumpendekeza Lissu kuwa mgombea Urais, Nyalandu ana ukwasi na sifa za kupeperusha bendera yao

    Baada ya wajumbe kutathini mwenendo wa namna bw. Lissu anavyotafuta wadhamini huko mikoani, hofu na giza kuu limetamalaki hapo UFIPA, baada ya kuona muda wote Lisu ni mtu wa kutukana Serikali iliyopo madarakami na kushawishi wananchi waingie barabarani pindi jina lake lisiporudi kwa ajili ya...
  13. pingli-nywee

    Riadha zarejea kwa kishindo; Wakenya Helen, Faith na Cheruiyot wang'aa na kupeperusha bendera ya Kenya kwenye 2020 Diamond League Monaco, Ufaransa

    Baada ya muda mrefu hatimaye calendar ya mashindano ya riadha duniani imeanza tena. 'First leg' ya 2020 Diamond League(DL) ilianza kule Monaco, Ufaransa ijumaa hii. Protokali zote mpya za COVID-19 zilizingatiwa, huku mashabiki 5,000 tu wakikubaliwa kwenye ukumbi wenye capacity ya watu 16,000...
  14. S

    Uchaguzi 2020 A coincidence or a highly calculated move? Bernard Membe kupeperusha bendera ya upinzani kwenye uchaguzi

    Hakuna grand coalition ya wapinzani, hakuna makubaliano rasmi kwa maana ya MOU kwa sababu sheria na kanuni mpya za uchaguzi zimeshawapiga stop kua wamechelewa Lakini kuna Gentlemens' Agreement miongoni mwa vyama vikuu viwili vikubwa vya upinzani. Haisemwi, haiandikwi, haiwekwi wazi lakini ndio...
  15. Gerald .M Magembe

    Uchaguzi 2020 Kuchaguliwa kwa Tundu Lissu kupeperusha bendera ya CHADEMA ni kukiua chama

    Kampeni za chama zimeisha na tayari chama kimempata mgombea ambaye ni Tundu Lissu. Tunampeleka kwenye mkutano mkuu na naamini atapata baraka za mkutano mkuu. KAZI ZINAZO FUATA NI KUMUUZA MGOMBEA NCHI NZIMA Mgombea wetu amaleta msisimko mkubwa kwa wanachama wa Chadema na hasa wajumbe. Hali hii...
  16. M

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

    Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo imewapitisha Tundu Antipas Lissu Lazaro Nyalandu na Dr Mayrose Majige kusaka nafasi ya kuwania Urais Tanzania. Katika kikao chake cha Kamati Kuu kilichomalizika usiku mnene majina hayo Leo yataletwa ndani ya Baraza Kuu ambao watakata mzizi wa...
  17. B

    Msiba wa Rais Mkapa: Kwa nini Ubalozi wa UAE Tanzania haujashusha bendera nusu mlingoti?

    Serikali na Wizara ya Mambo ya Nchi za nje ulitoa mwongozo juu ya suala la kushusha nusu mlingoti bendera zote kwa Balozi zote za nie zilizopo hapa Tanzania kutokana na Msiba huy wa kitaifa tulio nao. Ubalozi wa Falme za Kiarabu hapa Tanzania bendera zake bado zio juu kabisa toka msiba wetu wa...
  18. Roving Journalist

    Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima

    Historia ya Benjamin Mkapa MFULULIZO WA MATUKIO MBALIMBALI YALIYOTOKEA WAKATI WA MSIBA NA MAZISHI YA HAYATI MZEE BENJAMINI WILLIAM MKAPA WANANCHI WASIMAMA BARABARANI KUAGA MWILI WA RAIS MKAPA Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, wameonekana wakisimama barabara kuonyesha heshima kwa...
  19. B

    Hivi CCM inaweza kuchukua mtu aliyekuwa wa mwisho kwenye kura za maoni apeperushe bendera?

    Kwa utaratibu uliowekwa na CCM kwa wagombea kutofanya Kampeni kwenye kura za maoni,ni wazi sasa wote waliopata kura moja au sifuri ndio ambao hawajatoa rushwa au kukutana na wajumbe. Swali ni je CCM ambayo huchukua mshindi wa kwanza hadi wa nne,inaweza kuvunja utaratibu mwaka huu na kuchukua...
Back
Top Bottom