bendera

  1. King JiluX

    Membe, Tundu Lissu si karata sahihi kupeperusha bendera kupitia Muungano wa Vyama vya Upinzani Uchaguzi Mkuu 2020

    Naomba nianze na salamu wana jukwaa la siasa. Hapa jamvini jamii Forum. Kutokana na kipindi tulichopo(kuelekea uchaguzi mkuu 2020) kumekuwa na majina mengi ya wagombea nafasi ya urais hasa kupitia upinzani ambako ndiko jicho la ushindani wa kupewa nafasi lipo huko (CCM alipita bila kupingwa)...
  2. K

    Ushauri kwa mamlaka ya uteuzi kuhusu atakayepeperusha bendera ya CCM jimbo la Rorya

    Zaidi ya wana CCM 40 wametia nia na kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kupeperusha bendera ya CCM kwenye uchaguzi wa Oktoba, 2020. Mmojawapo wa watia nia na aliyechukua fomu leo ni Ndugu Lameck Okambo Airo ambaye mwaka jana alielezea umma kuwa hatagombea tena katika uchaguzi unaokuja mwaka huu...
  3. Pascal Mayalla

    Uchaguzi 2020 Kawe kunani? Why is a hot cake? Wamejitokeza wagombea 176! What is so special ? Kuchinja watu 175 kubaki 1, is not a joke!.Je, atakuwa nani?

    Wanabodi, Declaration of Interest. Mimi Paskali Mayalla ni mkazi wa Kawe, nimezaliwa Kawe, nimesoma primary Kawe, nimesoma sekondari Kawe, nimehudhuria JKT kambi ya Mlalakuwa, nimesoma Chuo cha uandishi wa habari IJMC pale Makumbusho, nimeajiriwa TVT pale Bamaga, nimeoa Kawe, naishi Kawe, na...
  4. kavulata

    Bendera ya Taifa iongezwe rangi nyekundu

    Wako watu kama akina Mkwawa, Kinjekitile, Isike na wengine ambao waliomwaga damu zao wakati wa kuitetea nchi hii. Kupinga dhuluma na fedheha za kutawaliwa. Lakini wapo Watanzania hadi leo ambao wanamwaga damu zao kuilinda nchi hii na kupinga dhuluma na kutetea misingi ya kidemokrasia na utawala...
  5. J

    Polepole: Magereza ni wazalishaji na tuliwaunga mkono ili wapandishe bendera za CCM mitaani na risiti ya malipo tunayo

    Mwenezi wa CCM komredi Polepole amelitolea ufafanuzi tukio la wafungwa kupandisha bendera za CCM huko Dodoma. Polepole amesema kama ilivyo kwa JKT na JWTZ hata jeshi la magereza linafanya uzalishaji na CCM iliamua kuwaunga mkono kwa kununua Huduma ya nguvu kazi na risiti ya malipo ipo...
  6. B

    BAVICHA msiwe wavivu,msiwe kama wao. Jukumu la kupeperusha bendera ni letu si lakukodi watu

    BAVICHA kazi zetu za kila siku za SIASA na UJENZI wa CHAMA zianze kufanywa na WAFUNGWA?, Hata mwenyekiti akitutenga na kuteua kutoka CCM sisi tusikubali kugoma na kuwaachia wazee wakakodi wafungwa. Jukumu la kukijenga chama na kupeperusha bendera za chama hai Cha siasa ni la vijana. Suala la...
  7. A

    Uchaguzi 2020 CHADEMA ili iwe na nguvu kwenye kampeni imsimashe Mbowe

    Habar wadau Katika pitapita zangu kwenye baadhi ya midahalo nimeweza kuangalia baadhi ya mikutano ya Mbowe na Tundu Lissu na kubaini ubora wa wote wawili kwenye majukwaa Kwanini nasema CHADEMA wamsimamishe Mbowe kwenye uchaguzi ujao kama mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA, ni kwa sababu Mbowe...
  8. dosama

    Gari namba MT 0128 Mali ya Jeshi la Magereza ikiwa na Wafungwa inatumika kupandisha Bendera za CCM katika nguzo za barabarani hapa Dodoma Mjini Leo

    Gari namba MT 0128 Mali ya Jeshi la Magereza ,ikiwa na Wafungwa inatumika kupandisha Bendera za CCM katika nguzo za barabarani hapa Dodoma Mjini Leo 7.07.2020. Jeshi la Magereza limegeuzwa nguvu kazi ya CCM
  9. Ulongupanjala

    Matumizi ya Bendera ya Taifa kwenye makazi binafsi

    Happy Saba saba day! Niende kwenye mada,Watanzania tuna bendera yetu ya taifa,na nimeona watanzania wengi wakiweka bendera za taifa kwenye magari yao,makanisa yao,ofisi zao nk na wengine kupewa bendera wanapoenda nje ya nchi hasa wasanii. Nauliza je ninaweza kuweka mlingoti wenye bendera ya...
  10. Analogia Malenga

    Chato: Bendera za CHADEMA zashushwa na wanaodaiwa kuwa makada wa CCM. Mwanamama Husna Amri Said acharuka!

    Husna Amri Said na makada wengine wa CHADEMA wameendelea na zoezi la kupandisha bendera za Chama katika Jimbo lote la Chato ambako CCM waliamua kuzishusha. Mtia nia Ubunge jimbo la Chato bi. Husna aliyelalamika bendera za CHADEMA kushushwa anashikiliwa na Jeshi la Polisi
  11. Analogia Malenga

    Kenya: Bendera yapepea nusu mlingoti kuomboleza kifo cha Pierre Nkurunziza

    Rais Uhuru Kenyatta ameagiza bendera ya Kenya na ya Jumuia ya Afrika kupeperushwa nusu mlingoti kwa heshima ya marehemu Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza kuanzia kesho Juni 13 hadi siku ya mazishi Rais Pierre Nkurunziza alifariki Juni 9 katika hospitali ya Karusi Fiftieth Anniversary baada ya...
  12. Ileje

    Vijana wa leo mnafahamu maana ya rangi za bendera ya CHADEMA?

    Bendera ya CHADEMA ina rangi nne: Nyeusi, Bluu isiyokoza (light blue), nyeupe na nyekundu. Bendera ya CHADEMA ina nembo ya kiganya cha mkono kilichonyoosha vidole viwili katika mfumo wa V kama ishara ya USHINDI. CHADEMA ni chama kinacholenga kushinda kidemokrasia na hatimaye kuleta ushindi wa...
  13. Miss Zomboko

    Bendera ya Marekani kupepea nusu mlingoti kwa siku 3 kuomboleza waliokufa kwa Corona

    Rais wa Marekani Donald Trump ametoa amri ya bendera ya nchi hiyo kushushwa nusu mlingoti kwa siku tatu mfululizo, kuomboleza vifo vya Wamarekani waliokufa kutokana na virusi vya corona. Trump ameamrisha hatua hiyo, baada ya idadi ya vifo vinavyotokana na ugonjwa wa COVID-19 kukaribia 100,000...
  14. pingli-nywee

    Shujaa wazidi kupeperusha bendera ya Kenya: 'Pools' za Los Angeles 7s zatangazwa

    Kenya tupo kwenye Pool B, pamoja na S.Africa, Ireland na Canada. Sheria zimerejea kama zilivokuwa hapo awali, baada ya malalamishi kutoka kwa mashabiki kote duniani. Timu mbili zitakazo ongoza kwenye pool zao zitaingia moja kwa moja kwenye nane bora. Shujaa, timu ya Kenya Raga7s ilitua Kenya...
  15. J

    Kama Mwigulu na Lugola waliokuwa wanaivaa bendera ya Taifa uzalendo umewashinda hadi kutumbuliwa sishangai ya Kigwangalla na Kabudi kutaka kujiuzulu

    Natafakari tu zile mbwembwe za Mh Mwigulu na mwenzie Kangi Lugola kuivaa bendera ya taifa kama kielelezo cha uzalendo uliotukuka. Kwa bahati nzuri wawili hawa walipitishwa katika kipimo kimoja kuthibitisha uzalendo wao na wote wamefeli na hawaivai tena ile bendera ya taifa wamebakia kuikodolea...
  16. Papaa Mobimba

    Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani aandika barua ya Kujiuzulu. Lugola na Andengenye wakalia kuti kavu, Rais Magufuli asema hawafai

    Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya ndani Aandika barua ya Kujiuzulu. Rais Magufuli akiwa anahutubia wakati wa ufunguzi wa nyumba za Askari Magereza, amesema kwamba.. Nampongeza sana Meja Jenerali, Kingu ambaye alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani kwa kuwajibika kwamba ametambua. Na...
  17. Ulimbo

    Kwanini bendera hupandishwa saa 12 asubuhi na kushushwa saa 12 jioni?

    Ndugu wana JF, Ninaswali ambalo nimekuwa najiuliza kwa muda bila kupata jibu. Je ni kwa nini Bendera upandisha asubuhi - saa 12, na ikifika jioni saa 12 ushushwa?. Yawezekana wengi mnafahamu ni kwa nini, hivi msinihukumu kwa kutokujua kwangu, bali mnipe jibu. Nawakilisha.
  18. Hero

    Hivi hizi zote ni bendera za Tanzania au macho yangu ndio hayaoni vizuri?

    Nimekuwa nikijaribu kutafakari sana lakini imefikia niyaweke haya wazi! Kitu kama bendera ni tunu muhimu sana kwa nchi! Lakini nikipita mtaani naona mauzauza sana hasa ktk aina za rangi na nakshi ktk bendera yetu murua hii ya Tanzania. Naomba mnisaidie kama haya ni shida ya macho yangu tu au...
  19. The Mongolian Savage

    Tukio la kutia hamasa waandamanaji Iran walivyokwepa kukanyaga bendera ya Marekani na Israel

    Mzuqa, Juzi tuikio la ajabu lilitokea Tehran Iran ambapo waandamanaji wanaopinga utawala wa Ayatollah walikwepa kukanyaga Bendera za Marekani na Israel walipokuwa wanaandamana kupinga utawala dhalimu wa Ayatollah na kumshinikiza ajiuzulu. Ni kawaida Iran kuchora bendera za Marekani na Israel...
  20. kimsboy

    Iran yapandisha Bendera Nyekundu katika msikiti wa Jamkarān kuashiria vita inakuja

    Katika hali isiyo ya kawaida na isiyotarajiwa Iran imepandisha bendera nyekundu ikiashiria ishara ya vita kuu. Kikosi cha mapinduzi ya kiislam kimeapa kulipa kisasi na kutoa jibu kali kwa Marekani. Tujiandae kushuhudia moto ukiwaka. Taarifa zaidi; Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran imepandisha...
Back
Top Bottom