Wana jamvi naamini hamjambo wote
Wakati tunasubiri kuzaliwa kwa bwana wetu yesu kristu kwa wale wakristu ebu tujaribu kufikirisha bongo zetu na mada hii hapo juu. Ukisoma isaya 18 yote ni fupi tu kuna habari ya kusisimua ya nchi iliyoweka bendera yake juu ya nchi na kitabu chenyewe ni cha...
Mkurugenzi wa manispaa ya Ubungo, Beatrice Dominic amekiandikia barua chama cha Chadema na kukipa saa mbili kuondoa bendera zake zilizowekwa barabara ya Sam Nujoma karibu na ukumbi wa Mlimani City unakofanyika uchaguzi wa viongozi wa chama hicho.
Bendera hizo ziliwekwa katika barabara hiyo...
Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Dk Halfan Haule ameagiza kung'olewa bendera zote za Chadema katika mitaa, vijiji na vitongoji vyote katika mji wa Sumbawanga mkoani Rukwa.
Chanzo: Mwananchi
Nianze na swali: Hivi unaweza kupeperusha bendera ya taifa mahali uishipo hata ikiwa wewe si kiongozi mtaani?
Nakumbuka wimbo ufuatao tuliimba chekechea, ile iliyoko pale karibu na 'Holofea' kama tulivyozoea kupatamka:
Bendera ya Tanzania,
Ndio ya kujivunia,
Ilianza kupepea,
Mwaka sitini na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.