Jana nimebahatika kufika visiwani kwa tamasha la idhaa za Kiswahili.
Azam ni wazuri kwa huduma hongera sana. Kitu moja sijapenda bendera ya taifa imechakaa sana . Nendeni GPSA zipo zinauzwa.
Bendera iheshimiwe hii inawakilisha mahali palipo na giza kama mwenge wetu tunu ya Taifa
Inawezekan baadhi yetu hatujawahi kutambua kwamba kuna nchi nyingi sana za kiafrika hutumia rangi hizi za nyano, nyekundu na kijani kwenye bendera zao.
Nimeweza kuweka mifano michache hapa. Ironically rangi hizo pia ndizo zinaztumiwa na wafuasi wa Reggae. Je, kuna aliyewahi kujiuliza kwanini...
Hospitali ya Makiungu yapeperusha bendera inayodaiwa ni LGBTIQA+.
Je, ni mwongozo wa Serikali kufanya hivyo? Kwanini waziri wa afya kakaa kimya?
Je, ni Mashariti ya kujengewa Hospital?
Nini maoni yako msomaji.
=====
UPDATES :
Bendera imeondolewa
Sijaelewa kama hizi bendera mpya za Chadema hapa Bagamoyo ndio maandalizi ya Mikutano ya hadhara au kampeni za Diwani
Bagamoyo watakuwa na uchaguzi wa Diwani siku ya Jumamosi
Wakati taifa likihangaika na matatizo ya hapa na pale, serikali imemua kutumia baadhi ya wapiga propaganda/chawa wake kusema uongo.
Ikumbukwe Msukuma ni kati ya wabunge waliyokuwa upande wa JPM na hata baada ya kufa walitumia nguvu nyingi sana kumtetea.
CCM iliona hilo na kujua huyu bwana...
We need mabadiliko makubwa sana yan hata tunayodhani tunahitaji basi tunahitaji zaidi haya .
Nimejaribu kutafakari press ya Msigwa nimengundua tuna safari ndefu sana na hawa viongozi, Kuna haja gani ya maelezo? kama haya ndio maelezo ya Ikulu basi ni bora wangekaa kimya kungekuwa bora zaidi...
Mtangazaji: Watanzania wangetamani kusikia kutoka kwenye kinywa chako, nini ambacho kilitokea mwaka 2015? Matarajio ya wengi yalikuwa Benard Membe na Edward Lowassa, mmoja rafiki yako, mmoja ndugu yako ukiwaandaa wote kuwa marais lakini matokeo yakaja tofauti kabisa ambayo wengi hawakutarajia...
Swali linaeleweka wakuu naombeni kujuzwa najua JF wengi mmesafiri mambele huko; je, huko kuna taratibu za kushusha bendera na watu wakasimama kusubiri filimbi ipulizwe nchi za wenzetu huko?
Jameni Ukraine wanapambana na kunifurahisha hadi naumwa, kainchi kadogo saizi ya mkoa wa Urusi ila wanajituma kama mchwa, wamekubali kujitoa mhanga ili wakomboe ardhi yao kwa ajili ya vizazi vya kesho.
Habari zimfikie Putin popote alipo kwamba hata akiua mamilioni ya wa-Ukraine, lazima wafike...
Mimi ni mkereketwa wa CCM , mfurukutwa kada kindaki ndaki na mwanachama pia, hii tabia ya magari yanayopeperusha bendera za Chama kuendeshwa hovyo hovyo kwa kasi bila kujali sheria za barabarani haipendezi.
Ipo siku italeta balaa na siku sio nyingi.
Mfano majuzi pale gari moja ya kiongozi...
Elewa kuwa Tanzania ni kati ya nchi kumi tu tu duniani ambazo bendera zake zina diagonal strip. Ukiacha Brunei utashangaa kuwa nchi zote zenye bendera diagonals, ni za uchumi wa hali ya chini sana; ingawa Tanzania na Namibia tunaweza kujitutumua kwenye kundi hilo, lakini nyingine zote ni za...
Ziara ya Katibu wa siasa na Uenezi CCM ndugu Shaka Hamdu Shaka amekabidhiwa vifaa mbalimbali vya CHADEMA zikiwemo Kadi, flana, kofia pamoja na bendera sababu kubwa ikiwa wananchi wa kuseni wamemuelewa Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuwatumikia wananchi...
Marufuku mtu yoyote au taasisi kutumia jina, nembo, rangi na alama ya chama cha siasa cha "Umoja Party" hadi mchakato wa kupata usajili wa muda utakapokamilika.
Russia anatakiwa kukutana na wendawazimu kama Finland, hao ndiyo hata yeye Russia anawagwaya.
Mwaka 1939 aliivamia Finland ili kuitanua himaya yake ya Soviet, pamoja na uhodari wa Jeshi lake na vifaa vyake vya kivita Russia aliishia kupata hasara kubwa sana kwenye ile winter war, zaidi akaishia...
Katika taarifa ya jana ya saa mbili kupitia runinga nilimshuhudia Mhe. Waziri wa Mifugo na Uvuvi akihabarisha umma kuwa tumepata meli itakayopeperusha bendera ya Tanzania na akatamba kuwa kwa mwaka tutakuwa tukipata $400,000 na samaki tani 500 na mengineyo mengi.
Binafsi ninamshangaa sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.