benki

Benki Birugali (Kannada: ಬೆಂಕಿ ಬಿರುಗಾಳಿ) is a 1984 Indian Kannada film, directed by Thiptur Raghu and produced by H. V. Sowbhagya. The film stars Vishnuvardhan, Shankar Nag, Jayanthi and Jayamala in the lead roles. The film has musical score by M. Ranga Rao. This movie was remake of 1968 Bengali film Apanjan.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkopaji anatakiwa kudai fidia iwapo Benki imeuza nyumba yake bei ndogo

    Ni kosa benki au Taasisi yoyote ya fedha kuuza nyumba, kiwanja ama shamba la mkopaji aliyeshindwa kulipa mkopo bei ndogo sana kuliko thamani ya soko. Kifungu cha 133(1) cha Sheria ya Ardhi, Sura ya 113 kinalazimisha taasisi ya fedha kutafuta bei nzuri inayolingana na thamani ya ardhi inayouzwa...
  2. SoC03 Benki waweke huduma ya vyoo kwa wateja

    Karibu Benki zote hazina huduma ya vyoo kwa wateja hapa nchini, tunafahamu Benk ni kwajili ya kuweka hela na kutoa hela lakini ofisi nyingi vyoo ni vya watumishi tuu, sasa kama mabenki wateja ndiyo washirika wao kwanini vyoo vinakuwa ni tatizo kwao? Je, wateja wao hawana mahitaji ya kwenda...
  3. B

    Serikali, Wadau waipongeza Benki ya CRDB kukusanya Tsh. Bilioni 700 kuwawezesha wajasiriamali nchini

    Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Abdalla Hussein Kombo (katikati), Afisa Biashara Mkuu Benki ya CRDB, Boma Raballa (wapili kushoto), Mkurugenzi wa Wateja Wadogo na Wakati Benki ya CRDB, Bonaventura Paul (wapili kulia), Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa...
  4. Wakurugenzi Wapewa Saa 48 Kupeleka Benki Bilioni 2.4 Iliyokusanywa Kupitia POS

    WAKURUGENZI WAPEWA SAA 48 KUPELEKA BENKI BIL. 2.4 ILIYOKUSANYWA KUPITIA POS Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali Mhe. Deo Ndejembi (Mb) amewagiza Wakurugenzi wa Halmashauri ambazo zimekusanya mapato kupitia mfumo mpya wa TAUSI na hawajapeleka fedha benki kuhakikisha fedha...
  5. Benki ya Dunia yaitahadharisha Kenya kuhusu ongezeko la Kodi

    Benki ya Dunia imeionya Kenya kutokana na ongezeko la kodi katika mwaka mpya wa fedha ujao, ikisema ongezeko hilo linaweza kupunguza na kuathiri shughuli za kiuchumi katika nchi hiyo. Muswada wa Wizara ya Fedha wa 2023 Kenya unapendekeza ongezeko la kodi kwenye maeneo kadhaa na kupendekeza kodi...
  6. Kwanini wajasiriamali wanawake Tanzania hawakopi benki?

    Tanzania ni moja ya nchi barani Afrika ambazo uchumi unakua kwa kasi. Toka mwaka 2017 kasi ya ukuaji wa uchumi wa Tanzania ni 7%. Moja ya chachu ya kasi hiyo ni biashara ndogondogo ambazo kwa kiasi kikubwa zinamilikiwa na wanawake. Takwimu za usawa wa kijinsia katika ajira zinaonyesha kwamba...
  7. Dkt. Mwigulu: Idadi ya Benki imepungua nchini, zimebaki 45

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba amesema hadi Desemba 2022 kulikuwa na benki 45 ikilinganishwa na benki 46 katika kipindi kama hicho mwaka 2021. Amesema Kupungua kwa idadi ya benki kulitokana na Exim Bank Limited kuinunua benki ya First National Bank Tanzania. Hata hivyo, amesema...
  8. I

    Benki Kuu ya Urusi yakiri hali ya uchumi wa nchi hiyo kuwa mbaya

    Benki Kuu ya Russia imekiri hali ya uchumi wa nchi hiyo kuwa mbaya. === Russia's central bank sounded alarms on the economy Friday as the falling ruble and a record labor shortage add inflationary pressures. Policymakers kept the benchmark interest rate steady at 7.5%, where it has been since...
  9. B

    Benki ya CRDB kuwazawadia Sh. Milioni 15.4 ya Ada ya Shule wateja kupitia Akaunti ya Junior Jumbo

    Meneja Mwandamizi wa Mauzo Benki ya CRDB, Muhumuliza Buberwa akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kampeni ya “Timiza Ndoto yake na Junior Jumbo” yenye lengo la kutoa elimu ya fedha kwa watoto na kuwahamasisha wazazi/ walezi juu ya umuhimu wa kuwawekea watoto wao akiba ambapo...
  10. Benki ya Dunia: Kodi mpya zilizotangazwa na Serikali ya Kenya zitaharibu uwezo wa fedha kununua bidhaa

    Benki yaDunia imesema uwezo wa kununua wa kaya za chini utaathiriwa vibaya na mapendekezo ya hatua za mpya za ushuru katika Muswada wa Sheria ya Fedha wa 2023 WB imesema kuna uwezekano mkubwa suala hilo likaongeza shinikizo la sasa la mfumuko wa bei kutokana na kuongezeka kwa bei za bidhaa za...
  11. Issa Haji Gavi: Kadi ya CCM ina uwezo wa kutoa hela benki

    Wakuu nimekutana na hii clip, Issa Haji Gavi Katibu wa Oganaizesheni wa CCM Iringa anaonekana akieleza kuwa kadi ya CCM ina uwezo wa kutoa pesa Benki. Sikiliza mwenyewe kisha uweke maoni yako. --- Kadi za kielekroniki za CCM kutumika kama ATM Iringa. Katibu wa Oganaizesheni wa CCM, Issa...
  12. NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ndugu wana JamiiForums, Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya huduma mnazo pata kwenye matawi yetu nchini kote, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tuna wahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki dhidi ya wafanyakazi waliotajwa na wengine wenye tabia kama hizo...
  13. Mitandao ya simu na benki

    Ivi why can't we call customer care directly kupata msaada bila bonyeza iki Mara iki Mara iki Yaani mlolongo hadi unajuta plus dakika zako zinaenda tu. Wekeni number special kila moja ukibonyeza ya kitu fulani. Mnatuchosha na kuboa na minyimbo yenu cjui matangazo Hapana too much sasa
  14. Benki ya NBC Yakabidhi Gawio la Tsh Bil 20 Kwa wana hisa wake, yajivunia mafanikio.

    Msajili wa Hazina Bw Nehemiah Mchechu (wa tatu kushoto) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya Tsh 6 Bilion kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Bw Theobald Sabi (Kushoto) ikiwa gawio la mwaka 2022 kwa Serikali ambayo inamiliki asilimia 30 ya hisa za benki hiyo. Wanaoshuhudia ni...
  15. B

    Benki ya CRDB yawakaribisha Wanahisa kwenye Mkutano wake Mkuu wa 28

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Dkt. Ally Laay (katikati), Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wapili kushoto), Kahumbya Bashige, Mjumbe wa Bodi ya CRDB Bank Burundi (wapili kulia), Katibu wa Kampuni Benki ya CRDB, John Rugambo (wakwanza kushoto)...
  16. Benki ya Wanawake (TWB) ilifia wapi?

    1. Benki Pendwa ya Wanawake imefia wapi? Malkia wa Nguvu on fleek! 2. Watu wamepiga mahela wamesiz kitaa Sasa wanawaza kupiga hela za faraja tena
  17. Benki ya NBC yazindua kampeni mpya ya Shinda Mechi Zako na NBC

    Mkuu wa Bidhaa za NBC, Abel Kaseko akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kampeni mpya inayojulikana kama “Shinda Mechi Zako na NBC”. Kampeni ya “Shinda Mechi Zako na NBC”, inalenga kuongeza thamani kwa wateja wa NBC na kukuza ukuaji wao wa kifedha na uchumi wa nchi...
  18. Benki ipi ni nzuri kuweka akiba ??

    Habari JF!!! Nimekuwa nikitumia Bank X kwa muda wa miaka kadhaa kuweka savings zangu na kupitishia miamala mbali mbali. ila nikiacha tu hata week. hayo makato yake sio mchezo, makato inaeza tosha kuwa nauli ya kufata hela yako kwa muhusika. imagine transactions sijui VAT zinafanyika nikiwa...
  19. B

    Benki Kuu Tanzania yasaini makubaliano na Clearfront kukabiliana na tatizo la ukwasi Sekta ya Fedha

    BoT YASAINI HATI YA MAKUBALIANO NA FRONTCLEAR KUKUZA MASOKO YA FEDHA Benki Kuu ya Tanzania kwa ushirikiano na Tume ya Umoja wa Mataifa ya Uchumi Afrika (UNECA) imetia saini hati ya makubaliano (MoU) na Taasisi ya Kukuza Masoko ya Fedha - Frontclear, yanayolenga kukuza sekta ya fedha nchini...
  20. B

    Benki ya CRDB yawahakikishia wanawake wajasiriamali mtaji wa biashara

    Siku mbili baada ya Benki ya CRDB kupata leseni ya kutoa huduma nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank Foundation, Tully Esther Mwambapa amewahikikishia wanawake wajasiriamali nchini kupata mtaji wa kuanzisha au kukuza miradi yao. Mwambapa ametoa uhakika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…