benki

Benki Birugali (Kannada: ಬೆಂಕಿ ಬಿರುಗಾಳಿ) is a 1984 Indian Kannada film, directed by Thiptur Raghu and produced by H. V. Sowbhagya. The film stars Vishnuvardhan, Shankar Nag, Jayanthi and Jayamala in the lead roles. The film has musical score by M. Ranga Rao. This movie was remake of 1968 Bengali film Apanjan.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Vigezo vya kupata Mkopo CRDB Benki

    Habari za asubuhi Wanajf! Bila kipoteza muda,naombeni kujua ni vigezo gani vitaniwezesha kupata mkopo wa Biashara CRDB Benki. NB: Ni mara ya kwanza na naona kwenda Tawini ni changamoto nipo Shambani
  2. L

    Ushirikiano kati ya Benki za Exim za China na Afrika kutoa msukumo kwenye ushirikiano wa kibiashara kati ya China na nchi za Afrika

    Benki ya Exim ya Afrika (African Export-Import Bank) na Benki ya Exim ya China (China Export-Import Bank) wamesaini makubaliano yanayoifanya Benki ya Exim ya China kutoa mkopo wa dola milioni 600 kwa Benki ya Exim ya Afrika, kwa ajili ya kufadhili mikopo na miamala ya fedha za biashara. Hatua ya...
  3. GoldDhahabu

    Benki gani inatoa riba nono fixed account?

    Endapo nitaweka million 100 fixed account kwa mwaka 1, nitapata faida shilingi ngapi? Asante🙏
  4. R

    Kwanini watu wanaendelea kuchukua Mikopo Kausha Damu wakati wengine Wanafilisiwa?

    Wakuu, Mikopo kausha damu inapigiwa sana kelele, na tuomeona watu kadhaa wakiathirika na mikopo hiyo, lakini mbali na hayo yote kutokea na kupigiwa kelele kuwa haifai bado watu wanaendelea kukopa na wahanga wanaongezeka! Kwanini watu wanaendelea kuchukua mikopo hii mbali na athari wanazopata...
  5. Mtemi mpambalioto

    Je, Benki ya DCB ina mrengo wa kisiasa! huu unyonyaji wanaoufanya kwenye mikopo ya waalimu ni maelekezo ya nani tumjue?

    Hii ni benki chini ya JIJI LA DAR ES SALAAM, ni benki ya siku nyingi ila tabia zake haziendani na matakwa ya RAIS SAMIA kuwapunguzia mzigo wafanyakazi wanaokopa kujikwamua kiuchumi! Benki hii ndio yenye riba KUBWA 19% wakati benki zingine zina 16% kushuka chin mpaka 11% Ukiwaambia wakupunguzie...
  6. R

    Umekutana na kero gani benki ambayo ilikukwaza na kukupotezea muda? Wataje hapa wajirekebishe

    Wakuu, Kuna baadhi ya benki ukienda kupata huduma unaenda umetabasamu ukitoka unatamani upasuke kwa hasira. Baadhi ya kero ya kero ni wadumu kufanya mambo mambo taratibu sana, mtu mmoja anatumia hata nusu saa halafu kikubwa kinachofanyika hakuna. Ama unakuta benki ina madirisha mengi lakini...
  7. BARD AI

    Gavana wa Benki Kuu ya Nigeria aliyejiuzulu kwa Rushwa awekwa Rumande

    Taarifa iliyotolewa na Serikali imesema Bosi huyo wa zamani, Godwin Emefiele ameshtakiwa kwa makosa ya Ubadhirifu katika Manunuzi wakati aalipkuwa Gavana wa Benki Kuu, hivyo tarativu za Kesi na Dhamana zitasikilizwa Novemba 22, 2023. Hata hivyo, Mahakama ilimkuta hana hatia kwenye makosa...
  8. B

    Benki ya CRDB yafungua tawi wilayani Magu mkoani Mwanza kusogeza huduma kwa wananchi

    Magu. Tarehe 17 Novemba 2023: Siku chache baada ya kubeba tuzo za huduma bora na mtandao mpana wa mashine za kutolea fedha zinazotoa huduma, Benki ya CRDB imefungua tawi lake jipya wilayani Magu mkoani Mwanza. Tawi hilo linaloifanya Benki ya CRDB kufikisha matawi 262 nchini kote, lilizinduliwa...
  9. Cecil J

    Naomba msaada kimawazo kuhusu suala la jina katika akaunti ya Benki

    ..
  10. L

    House4Sale Nyumba inauzwa 10.5m na benki kwa njia ya mnada

    Habari JamiiForums members. Nyumba inauzwa na benki kwa njia ya mnada. -- Nyumba ipo Mbezi, Msingwa --Nyumba ina kiwanja chenye ukubwa wa 520sq/m-- Nyumba ina vyumba vitatu, kimoja master, seating na dyning room -- Nyumba ina hati ya ardhi-- BEI NI (10m + 5% commission ya brokers)...
  11. BARD AI

    Benki ya Dunia inaidai Kenya zaidi ya Tsh. Trilioni 24.96

    Deni la Kenya kwa Benki ya Dunia limepanda hadi kufikia Ksh1.5 trilioni [TZS trilioni 24.96] mwezi wa Juni kutokana na ongezeko la mikopo na kushuka kwa thamani ya shilingi ya Kenya. Takwimu kutoka Benki Kuu ya Kenya inaonesha kuwa deni hilo lilikuwa Ksh1.57 trilioni (TZS trilioni 26.1]...
  12. U

    Ushauri SACCOSS na benki kipi bora?

    Naombeni mnaojua mnipe ushauri kwa sisi masikini kipi bora nikafungue akaunti saccoss au niende benki? Faida ni zipi kwa kila kimojawapo na hasara ni zipi! Njooni mnielimishe!!
  13. B

    Benki ya CRDB yaingiza dola 150 milioni kuwakopesha wateja wakubwa

    Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB, Dkt Ally Laay (wa pili kushoto) akiwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wa pili kulia) wakionyesha mkataba wa mkopo wa dola za Marekani milioni 150 uliowezeshwa na Benki ya Intesa Saopaulo na Benki ya Investec. Wa kwanza kulia ni...
  14. BARD AI

    Gavana wa Benki Kuu ya Burundi akamatwa kwa tuhuma za Ufisadi na Utakatishaji Fedha

    Wizara ya Sheria imethibitisha kukamatwa kwa Dieudonne Murengerantwari ikiwa ni siku chache tangu afukuzwe kazi Oktoba 8, 2023 akidaiwa Kudhoofisha Uchumi wa Taifa hilo, Kujihusisha na Rushwa, Utakatishaji Fedha na Ubadhirifu wa Mali za Umma. Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jenerali Leonard...
  15. B

    Benki ya CRDB yaadhimisha wiki ya huduma kwa wateja

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo (kulia) akipokea fomu ya uwekezaji katika hatifungani ya kijani ya "Kijani Bond" kutoka kwa kaimu Afisa Mtendaji Mkuu na Afisa Mkuu wa Bishara Benki ya CRDB, Boma Raballa wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja 2023 iliyofanyika katika tawi la...
  16. BARD AI

    Benki Kuu Tanzania: Mlioficha Dola zirudisheni kwenye mzunguko

    Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amewataka watu walioficha Dola kwa malengo ya kusubiri zipande thamani na kujipatia Faida zaidi kubwa, waziachie kwenye mzunguko wa Biashara, ili kuondoa uhaba wa Fedha hiyo Nchini. Kauli ya BoT inakuja ikiwa ni wiki chache tangu Mkurugenzi...
  17. Jugado

    Mipango vs matumizi: Nimepanga kuchukua mkopo deni langu la benki likiisha ili nijenge ila kiasi ninachoweza kutopup kinanirusha roho!

    Deni langu la benki (salary loan) linaisha mwaka 2027! Likiisha naweza kukopa 60m. Sasa shida ni kwamba as of now naweza kutopup nikapata 17m. Hii hela inaninyima usingizi. Na nikitoup my life is done. Maana sioni pa kuchomokea. Nishapanga na wife nichukue mkopo siku deni likiisha. Wadau nipo...
  18. Jaji Mfawidhi

    Benki za Tanzania zagoma kuweka Vyoo kwa Wateja

    Tanzania tuna mabenki mengi, ya Serikali na watu binafisi. Kwa walimu wengi ambao ni wateja wa NMB mtu anaka kwenye foleni masaa 2 mpaka 3 na hakuna huduma ya vyoo, inasemekana hawaweki vyoo kwasababu mteja wa kawaida huwa na fedha kidogo na hivyo hachangii chochote. Naomba sasa Naibu Waziri...
  19. Webabu

    Benki ya Amana inahujumiwa

    Hii ni benki ya mwanzo nchini kuendesha huduma zake kwa misingi ya sharia za kiislamu. Pia ni muendelezo wa mfumo bora wa kibenki unaofanya kazi nchi nyingi duniani. Benki hii ilipoanza kazi nchini kulikuwa na maneno kutoka kwa baadhi ya watu lakini hatimae ikaanza shughuli zake na kuonekana...
  20. Roving Journalist

    Walimu washauriwa kuepuka mikopo ya 'Kausha Damu' kwa kuwekeza fedha zao benki

    Ushauri umetolewa kwa Walimu nchini kuondokana na mikopo ya kausha damu na badala yake waitumie Benki ya Biashara ya Mwalimu (MCB) kwa ajili ya kuikuza na kujinufaisha wao wenyewe. Wito huo umetolewa na Wanahisa wa MCB wakati wa mkutano wa saba wa wanahisa mwaka 2023 uliofanyika Jijini Dodoma...
Back
Top Bottom