benki

Benki Birugali (Kannada: ಬೆಂಕಿ ಬಿರುಗಾಳಿ) is a 1984 Indian Kannada film, directed by Thiptur Raghu and produced by H. V. Sowbhagya. The film stars Vishnuvardhan, Shankar Nag, Jayanthi and Jayamala in the lead roles. The film has musical score by M. Ranga Rao. This movie was remake of 1968 Bengali film Apanjan.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Nichukue hatua gani za kisheria dhidi ya benki ya CRDB?

    Habari zenu wadau. Nimesikitishwa na huduma mbovu za benki ya CRDB. Ukweli siku ya juzi nikiwa safarini kuna mtu alinipigia simu alikuwa na uhitaji wa haraka wa fedha kiasi. Na wakati huo huyo mtu alikuwa ananidai kiasi fulani cha pesa. Sasa kwa uhitaji wake wa haraka akaniomba kama niko...
  2. Benki ya Dunia yaidhinisha Tsh. Bilioni 770 kwa ajili ya ufadhili wa miradi ya Umeme Tanzania

    Katika muongo mmoja uliopita, Tanzania imeorodheshwa kama mojawapo ya nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara zenye viwango vya kasi vya upanuzi wa umeme, kulingana na taasisi ya Breton Wood. Mkopo mpya wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kimataifa (IDA) kwa Mpango wa Upanuzi wa Umeme Vijijini Tanzania...
  3. S

    Wakati Tanzania fedha ikiwekwa benki inapigwa Tozo wenzetu Kenya watajaziwa zaidi. Hongera rais Ruto.

  4. Najuta kujirahisisha kwa jimama la benki kuu

    Nina umri wa miaka 29, tangu nimalize chuo miaka mitano nyuma sijapata kazi, nikajiegesha kwa maza mmoja anafanya kazi benki kuu, anaishi maghorofa ya Mbezi Beach, aisee najuta, simu yangu iko tracked muda wote. Ikifika tu muda wake wa kutoka anataka niwepo getini kwake namngoja, baada ya hapo...
  5. Benki ya NMB yanusurika kulipuliwa na bomu

    Yapo maswali mengi hapa: Je, Tanzania kuna magaidi?! Usalama wa maeneo kama Kanisani na misikitini na hata penye mikusanyiko yenye idadi kubwa ya watu kuna usalama tena?
  6. R

    Benki ya Posta kwanini risiti za ATM hazioneshi salio? Nina wasiwasi hamtaki kuonesha mmetuibia tozo kiasi gani

    Nimekwenda kutoa pesa ATM ya Posta, ikatoka risiti ambayo inaonyesha kiasi kilichotolewa lakini salio/ baki (balance) haionyeshwi. Tangu miaka yote risiti imekuwa inatoka na kuonesha salio/baki/(au kwa kizungu balance). Leo kwa mara ya kwanza salio halikuoneshwa. Maana yake nini?: Ni kuwa kwa...
  7. Benki za Russia zaanza kupata hasara

    Mnaodai vikwazo havina madhara kwa Russian mnajidanganya ,ni vile media za Russia zimefungiwa ila hali ni tete ,hakuna anayetaka kuwekeza Russia ,alafu limeongezwa rungu lingine mataifa zaid ya 22 ya ulaya yamefuta VISA kwa raia wa Russian yaan mtanywea kombe lenu la vikwazo humohumo...
  8. Tamko la serikali kuhusu ufafanuzi wa tozo kwenye miamala ya benki na simu, Septemba 1, 2022

    Wizara ya Fedha imetoa ufafanuzi kuhusu tozo ya miamala ya simu na benki Septemba Mosi, 2022 ikiwa ni siku kadhaa tangu kuibuka kwa malalamiko kutoka kwa wadau kuhusu gharama za huduma hizo za kifedha. Waziri wa Fedha na Mipango - Mwigulu Nchemba Chimbuko la tozo ilikuwa ni kwaajili ya...
  9. Mbowe: Tozo ya benki, wafanyakazi wanakatwa kodi mara mbili, wanaotoza kodi wanaenda kununulia V8 ya milioni 450 au milioni 500

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema kinachoendelea katika ajira ya Watumishi ni kukatwa kodi mara mbili. Hizi hapa nukuu za Mbowe... “Tunapowapa Watawala nafasi ya kuongoza maisha yetu na wanaamua bila kujali kinachotupata, hatupaswi kuwa waoga...
  10. USHUHUDA:- Jinsi Mesenja wa benki alivyowazidi akili mashushushu wa Takukuru, na polisi

    Hiki ni kisa Cha kweli kabisa kilichotokea miaka ya nyuma NCHINI KENYA NA WALA SIO TANZANIA Miaka kadhaa nyuma kulikuwa na utawala mbovu sana, ubadhirifu, wizi, hujuma na ufisadi ulitamalaki nchi nzima, kule kwa shangazi yangu Kenya Kuna benki ambayo ilikuwa ikimilikiwa na serikali lakini...
  11. Kwenda benki CRDB ni mateso, nimekoma

    Leo nimekwenda Benki CRDB kuchukua pesa yangu mwenyewe, lakini nimeteseka kama vile nimeenda kuomba pesa Bure. Foleni watu 100 muhudumu Mmoja tu. Wengine movement haziishi, mara atoke mara arudi anageuzageuza makaratasi. Watu wamenuna mpaka saa kumi Bado Kuna zaidi ya watu 90 ambao nyuso...
  12. Nataka kuweka stop order kwa benki inayotaka kuuza nyumba yangu Mbeya Mjini

    Habari wana jf, asalaam aleykum Muslimina. Nianze moja kwa moja suala langu, nimekuwa na utaratibu wa kuomba overdraft miaka 4 iliyopita kiasi cha shilingi million 15. Nimekuwa nikichukuwa kutumia fedha hizo kwa shughuli zangu za biashara ya mpunga na mahindi pamoja na korosho, kama kawaida...
  13. M

    Kinachoendelea kwenye akaunti za benki za watu ni umafia

    Natanguliza salamu kwa unyenyekevu kabisa. Juzi kati nilienda benki nje kwenye ATM kuuliza salio. Salio lilionesha laki kadhaa na elfu kumi. Sikutoa hata mia, nikajisemea moyoni hata kesho naweza kuzitoa kwanza zipo sehemu salama. Siku iliyofuata nilienda tena ATM niliona bora nitoe pesa zote...
  14. C

    Je, kelele za Tozo za Benki zitazima mapema kama kelele za Tozo za miamala?

    Lawama na kelele zinazoendelea kuhusiana na uanzishwaji wa tozo za miamala na za kifedha sasa zimekuwa kama kelele za chura akiwa kwenye maji kwani hayamzuii tembo kuyanywa maji apatapo kiu. Lawama na malalamiko mengi yameanza mwaka 2021 baada ya serikali kuanzishwa kwa tozo mbalimbali kwa...
  15. D

    MAKATO YA BENKI

    Serikali Yeyote duniani Huwa Ina wajibu wa kuleta unafuu wa maisha Kwa wananchi wake. Kwa namna yeyote serikali inatakiwa kuhakikisha wananchi wake wanafurahia matunda ya kuwa wananchi katika taifa Hilo . Binafsi ninasikitishwa Kwa mwenendo wa serikali yetu ambavyo imekuwa ikifanya Kwa siku za...
  16. Mnaambiwa: Msijichanganye kwenye makato mengine ya watoa huduma yaani benki/kampuni ya simu na VAT. Tozo ya serikali inajitegemea

    Viwango vya juu vya tozo ya Serikali vimepunguzwa kutoka sh. 7,000/- hadi 4,000/-(kwa wanaotuma zaidi ya sh. 3,000,000/-). Viwango vya chini vimepunguzwa kutoka sh. 100/- hadi shilingi 10/- (wanaotuma kati ya sh. 100/- hadi 2,999/- Pia tusichanganye makato mengine ya watoa huduma yaani benki au...
  17. Wanazuoni: Tozo mpya ni batili hazifai. Mwigulu Nchemba amekurupuka. Double taxation haikubaliki

    Hii ni hatari kwa walalahoi na wavuja jasho. 👇 Wasomi wa masuala ya kodi, wamesema kuwa Sheria ya Tozo ya Miamala ya Kielektroniki ya mwaka 2022, haikufanyiwa tathmini ya athari zake kwenye uchumi kuanzia kwa watu wa chini, hivyo inakwenda kinyume na misingi inayokubalika duniani na haipaswi...
  18. Shaka Hamdu: Dunia nzima inamkubali Mwigulu Nchemba isipokuwa CHADEMA tu, atakuwa Rais wa Benki ya Dunia

    Akiwa Tabora kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM ndugu Shaka Hamdu Shaka amewataka wananchi wapuuze taarifa zinazoenezwa kuhusu tozo, amedai tathmini ya kina ilifanyika kabla ya kuja na tozo hizo na walijiridhisha kuwa zinahimilika. Pia amewataka wananchi wapuuze uzushi wa kuwa waziri wa fedha...
  19. Raia wa Ghana wadaiwa kuiba Sh 1.6 bilioni benki

    Raia wa Ghana, Valentine Zancheus (42) na Mtanzania, Fortunatus Bundala(36) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka manne likiwemo la wizi na kuingilia mifumo wa Benki ya BancABC na kujipatia na Sh1.6 bilioni mali ya benki hiyo. Washtakiwa hao wamefikishwa...
  20. Kilio Miamala ya Benki chatikisa nchi

    Tozo zilizoanza kukatwa kwenye miamala ya kifedha kupitia benki zimetajwa kuongeza makali ya ugumu wa maisha kwa watumiaji wa huduma husika. Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba kupitia gazeti la Serikali No.478 lililochapishwa Julai Mosi mwaka huu, alitangaza kuanza utekelezaji wa kodi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…