Tarek Amer aliyebakiza mwaka mmoja kumaliza utumishi wake kama Gavana wa Benki Kuu, amejuzulu leo na kuteuliwa kuwa Mshauri wa Rais wa nchi hiyo Abdel Fattah el-Sissi.
Kujiuzulu kwa Amer kunakuja wakati serikali ikiwa katika mazungumzo na Shirika la Fedha la Kimataifa, IMF kwa ajili ya mkopo...