Benki Birugali (Kannada: ಬೆಂಕಿ ಬಿರುಗಾಳಿ) is a 1984 Indian Kannada film, directed by Thiptur Raghu and produced by H. V. Sowbhagya. The film stars Vishnuvardhan, Shankar Nag, Jayanthi and Jayamala in the lead roles. The film has musical score by M. Ranga Rao. This movie was remake of 1968 Bengali film Apanjan.
Katika miaka ya hivi karibuni tatizo la ajira limeendelea kuwa changamoto kubwa kwenye nchi mbalimbali za Afrika Mashariki, na serikali zimekuwa zikifanya juhudi katika kuhimiza vijana kutotegemea ajira za serikali au makampuni peke yake, kutokana na ufinyu wa idadi ya ajira kwenye maeneo hayo...
Ndugu zangu!
Sijui vigezo walivyozingatia kwenye kuweka ukomo huo, lakini itoshe tu kusema zama zimebadilika sana.
Enzi hizo milioni iliitwa 'shitabalwa' [uncountable], na ilitosha kwa mambo mengi kwa walio wengi.
Tofauti kabisa na leo ambapo milioni MOJA unaweza kukaa kaunta tu ikayeyuka...
Rais Samia amesema CAG ameshakamilisha ripoti ya CAG kuhusu Benki kuu kwa kipindi cha kuanzia January hadi March 2021 na ataikabidhi kwake siku ya Jumatano au Alhamisi.
Umma utaelezwa yaliyomo ndani ya ripoti hiyo, amesisitiza Rais Samia.
Chanzo: ITV
Waziri anayehusika na kazi anayo habari kuwa mamia ya wafanyakazi katika mabenki mbali mbali hapa nchini wamepoteza ajira kwa kufukuzwa?
Walianza Access, Finca na sasa Stanchart na mengine binafsi isipokuwa yanayomilikiwa na serikali. Kibaya zaidi wafanyakazi wanalipwa mafao duni na wengine...
Habari!
Nitasimulia kwa ufupi kisa hiki kisichosisimua ila kinafundisha.
Mwaka 2016 nilitembelewa na huyu wakala wa benki kazini. Akanishawishi nikakopa pesa kwa mara ya kwanza. Niliikopa pesa kwaajili ya kujiendeleza kielimu na nyingine nifungue biashara. Bahati mbaya sikujaza vizuri...
Lazima kutambua wakati wote benki ya dunia ni benki tu kama zingine kipaumbele chake ni faida. Wenye hisa wakubwa ni marekani na nchi za ulaya. Kwa mfumo wa kibepari wafaidika namba moja na benki ya dunia ni mabepari wakubwa wa nchi hizo.
Kutokana na hivyo nchi changa sio rahisi kupata...
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesisitiza miongozo yote iliyotolewa kwa umma kujikinga dhidi ya maambukizi ya Virusi vya CORONA (COVID - 19), izingatiwe.
Mkurugenzi wa Idara ya Kinga wa Wizara hiyo, Dkt. Leonard Subi amesema Tanzania ni salama hata...
Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Dunia imeidhinisha mikopo minne yenye masharti nafuu yenye jumla ya dola za Marekani bilioni 1.017 (sawa na shilingi trilioni 2.3391) kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo.
Hayo yameelezwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe...
Binafsi natumia account ya nmb chap chap, ambayo tulifunguliwa kwa msaada wa kampuni mahala tunapofanyia kazi.
Maafisa wa benki wakati wanaipigia chapuo tender hii walituambia makato ya nmb chapchap ni kwa kiwango cha sh,1150 pasi na malipo ya mwisho wa mwezi ukilinganisha na account zingne...
KCB Group Plc recorded 1.8 percent growth in net profit for the three months period to March 31 amid the adverse effects of the Covid-19 pandemic.
The regional lender, which is listed on the Nairobi Securities Exchange (NSE), increased its profit after tax (PAT) to Ksh6.37 billion ($59.53...
Ni takribani mwezi sasa wafanyakazi walioomba mkopo benki hawapewi pesa kwa kile kinachodaiwa ni mfumo wa mawasiliano kati ya benki na mwajiri kuwa na hitilafu.
Hoja hapa ni je, huo mfumo pia umechezewa ili kumchonganisha mama na wafanyakazi?
Na kwanini mamlaka inayohusika na mfumo huo haitoi...
Habari za majukumu ndugu zangu kijana mwenzenu nipo mbele yenu kwa ushauri wenu kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mimi ni mkazi wa Dar maeno ya Kitunda umri wangu 27
Mama yangu kanipa milioni 1 nifanye biashara ambayo itanipa faida ya kukizi mahitaji yangu madogo.
Naombeni ushauri wenu ni...
Tangu utaratibu wa kuchukua salary advance uanze kwenye benki zetu Kuna jambo Moja ajabu sana.
Hakuna anayependa ijulikane..watu wanajisevia kimya kimya. Yaani kwenye hili ama wanaojua ni benki pekee. Hakuna anayefanya kiwazi wazi
Sasa kasheshe iko kwenye kuona balance mwisho wa mwezi. Mimi...
JESHI la Polisi Kanda Maalum Dar Es Salaam limefichua Siri ya kuongezeka Vitendo vya ujambazi katika maBenki mbalimbali hapa nchini na kusema vitendo hivyo vinasababishwa na Wamiliki wa Mabenki hayo kulipuuza Jeshi la polisi,Kauli hiyo ya Jeshi la polisi Kanda ya Dar es Salaam imekuja...
Wasalaam Wakuu.
Ijapokuwa uzi kama huu ulishetwa humu juu ya utapeli ndani ya benki, lakini haukuwa umeshiba. Nikaona niwaeleze kwa undani ili tumakinike.
Kuna wale wanaopenda kujua kama nimetapeliwa ama la, ukweli ni kuwa sijatapeliwa. Ila walikuwa wanajaribu kunitapeli.
Leo asubuhi nilienda...
DK Philip Mpango ndio kila kitu juu ya matumizi na mapato ya pesa za umma kuanzia awamu ya tano ilivyoingia na sasa awamu ya sita.
Japokuwa tupo awamu ya sita lakini ni kama tupo awamu ya tano ya JPM. Maana huyu Dk Mpango ndie aliengineer kila kitu juu ya kuweka pesa zote hazina na kubana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.