benki

Benki Birugali (Kannada: ಬೆಂಕಿ ಬಿರುಗಾಳಿ) is a 1984 Indian Kannada film, directed by Thiptur Raghu and produced by H. V. Sowbhagya. The film stars Vishnuvardhan, Shankar Nag, Jayanthi and Jayamala in the lead roles. The film has musical score by M. Ranga Rao. This movie was remake of 1968 Bengali film Apanjan.

View More On Wikipedia.org
  1. Meneja Wa Makampuni

    Nafungua Akaunti ya benki NMB mwezi unaisha bado sijamaliza

    Habari wakuu, Hivi hapa kutakua na shida gani. Naenda naambiwa leo fulani hayupo ndio anafanya hiyo kazi. Sasa imefika muda naanza kubembeleza sasa.
  2. N

    Ni benki gani yenye huduma nzuri Tanzania?

    Umuofia kwenu! Kwa hapa Tanzania ni benki gani ambayo ina huduma nzuri kwa wateja wake kuanzia kwenye branch zao mpaka online. Benki isiyosumbua wateja kwa huduma na makato ya hovyo hovyo mpaka mtu unajuta wakati pesa ni zako na umezitafuta kwa jasho. Wandugu tupeane ushauri pesa zetu wenyewe...
  3. TODAYS

    TAHADHARI: Benki Kuu, Kuna Uhalifu Kwa Wakopeshaji Mtandaoni

    Uryevyedi mdau Mtanganyika!. Basi ndugu yangu ikiwa nchi imefunguka na pesa zimejaa kwenye mifuko na account za watu huko walipo hali ipo hivi. Watu/Taasisi binafsi kwa sasa zinatafuta watu wa kuwakopesha kwa nguvu na hali kubwa sana, wanaunda App na kuilipia kama Ads kwenye mitandao ya...
  4. Sir John Roberts

    Huduma benki ya CRDB ni mbovu sana

    Sijajua kama wao wanajua mteja ni mfalme. Ni sawa CRDB wanataka kwenda kidijitali lakini hawaendani na service ku satisfy customer. Haiwezekani mteja anataka kufanya transaction kwa Simbaking lakini anachukua zaidi ya saa 3 kukamilisha huduma. Hivi hii huduma inarahisha au inachelewesha...
  5. Pfizer

    Benki ya Biashara Tanzania (TCB) yasisitiza kuendelea kuwa mdau mkubwa wa maendeleo visiwani Zanzibar

    Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeungana na wananchi wa kizimkazi Zanzibar kwenye siku ya utalii kusherehekea ufahari wa utamaduni wa Kitanzania, vivutio vya utalii, umoja na mshikamano katika tamasha la Kizimkazi linaloendelea kufanyika visiwani Zanzibar. Benki imeendelea kusisitiza dhamira...
  6. Lady Whistledown

    Libya: Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari wa Benki Kuu atekwa, Benki yasitisha Huduma zote

    Benki Kuu ya Libya imetangaza kusitisha shughuli zake hadi pale Afisa wake muhimu, Musab Msallem aliyetekwa nyara, atakaporejeshwa Taarifa ya Benki hiyo imesema Msallem alichukuliwa kutoka nyumbani kwake na "kikundi kisichotambulika" na pia wafanyakazi wengine wa Benki hiyo wametishiwa kutekwa...
  7. Girland

    Kenya: Takribani TSh. Bilioni 30 zaibwa Benki ya EQUITY. Mkurugenzi afukuzwa

    KAMA movie vile! Benki ya Equity nchini Kenya imeripoti kuibiwa kwa zaidi ya Shilingi za Kenya Bilioni 1.5 sawa na Shilingi za kitanzania Bilioni 30.Tukio hilo la aina yake liliripotiwa Julai 10,Mwaka huu. Katika tukio hilo, miamala 47 ilitumika kuhamisha pesa kwenda kwenye akaunti za mishahara...
  8. I

    Takriban benki zote za China zinakataa kushughulikia malipo kutoka Russia, ripoti inasema

    Wakati Marekani na marafiki zake walipoiwekea Russia vikwazo vya kiuchumi walijua nini wanafanya japo baadaye ilikuja kuonekana kama walikuwa wamechemsha. Takriban benki zote za Uchina zinakataa malipo kutoka Urusi, ripoti kutoka kwa kituo cha Urusi cha Izvestia inasema. Soma Pia: Marekani...
  9. Kelela

    KERO Nilifungua account ya CRDB lakini nilikutana na mambo ya ajabu mpaka nikatelekeza account baada ya miaka 4

    CRDB BANK: Nilifungua account ya CRDB lakini nilikutana na mambo ya ajabu mpaka nikatelekeza account baada ya miaka 4. Niliwahi kufanyia miamala ya kutoa pesa kwenye ATM za CRDB ndani ya mwaka mmoja tu baada ya hapo ikawa kila nikenda kutoa pesa ATM ya CRDB kadi inagoma inasema "This Card May...
  10. SAYVILLE

    Mo Dewji vunja benki, tafuta striker wa maana umalize kazi uliyoianza

    Leo sitasema sana maana yanayotakiwa kusemwa nimeshayasema kwa siku kadhaa sasa zilizopita. Baada ya hongera nitaongeza neno moja tu kwa Mwekezaji Mo Dewji. Baada ya usajili mzuri ambao kiukweli unaridhisha sana na kabisa unaona watu wa maana wanaojua mpira walikaa chini wakapanga kujenga timu...
  11. Pfizer

    Benki ya biashara tanzania (TCB) yaendelea kuchochea maendeleo ya kiuchumi kwa kutoa ushirikiano katika miradi ya miundombinu

    Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imesema inajivunia kuwa sehemu ya mradi wa reli ya kisasa (SGR) uliozinduliwa hivi karibuni kwa safari ya kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma. Akihutubia katika uzinduzi huo jijini Dodoma, Mheshimiwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan aliuelezea mradi huo kuwa...
  12. Pfizer

    Benki ya Tanzania (TCB) inayo furaha kumkaribisha Bi Lilian Mtali kuwa Mkurugenzi wa Biashara za wateja

    Benki ya Tanzania (TCB) inayo furaha kumkaribisha Bi Lilian Mtali kuwa Mkurugenzi wa Biashara za wateja Wadogo na wa Kati. Bi. Mtali ana uzoefu wa miaka 26 katika sekta ya huduma ya kifedha akibobea katika usimamizi na uongozi wa huduma za biashara za wateja wateja wadogo, wa kati na wakubwa...
  13. Doto12

    Wakuu ni nani amewahi kukopa benki ya NBC?

    Mada hapo juu wakuu. Je yupo aliyewahi kikopq benki ya NBC anipe experience. Msaada https://www.jamiiforums.com/threads/benki-ya-nbc-wajirekebishe-watakuja-kuua-watu-kwa-presha.2213335/
  14. Mkalukungone mwamba

    Wanaume, Kuachwa na mwanamke mpenda pesa ni sawa na kumaliza deni la mkopo benki

    Wanaume, Kuachwa na mwanamke mpenda pesa ni sawa na kumaliza deni la mkopo benki
  15. Ndagullachrles

    Benki yabariki wizi fedha za chuo cha Kanisa la Biblia Moshi

    Mgogoro wa madaraka Katika kanisa la Biblia Tanzania Kanda ya Kaskazini ,Sasa umefikia pabaya baada ya kundi linaloongozwa na Legius Nchimbi kuwasilisha nyaraka za kughushi za mabadiriko ya watia saini kwenye benki moja hapa Moshi na kuchota kiasi kikubwa cha fedha. Kundi hilo kwa kumtumia...
  16. B

    Benki ya CRDB kushirikiana na Water.Org kuborosha miradi ya maji na usafi

    Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Bruce Mwile (wapili kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Water.Org, Eng. Francis Musinguzi kwa pamoja wakionesha mikataba ya ushirikiano mara baada ya kusaini makubaliano ya ushirikiano katika hafla fupi iliyofanyika makao makuu ya Benki ya CRDB...
  17. J

    Benki zote zina matatizo ya kimtandao, tatizo ni la dunia nzima

    Kuna matatizo ya kimtandao yametokea benki karibu zote duniani. Nimeenda benki tangia asubuhi huduma hakuna Vip na wewe umekutana na tatizo hili?
  18. Replica

    EU yazipa benki za ndani bilioni 43 kuziwezesha biashara ndogo na za kati

    Umoja wa Ulaya (EU) umetoa €15 milioni (Sh43 bilioni) kusaidia shughuli za Biashara Ndogo na za Kati (SMEs) nchini Tanzania. Fedha hizi zitaunganishwa na mikopo kutoka Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB) kutoa mikopo kwa benki za ndani, na maendeleo haya makubwa yanalenga kuboresha upatikanaji wa...
  19. Ndagullachrles

    DOKEZO Kigogo Benki ya KCBL atuhumiwa kwa ufisadi

    BENKI ya ushirika mkoani Kilimanjaro,imeanziaha uchunguzi wa tuhuma za ufisadi wa mabilioni ya fedha za benki hiyo zinamkabili kigogo mmoja ndani ya benji hiyo . Taarifa kutoka ndani ya benki hiyo zinadai kuwa uchunguzi huo unafanywa kwa ushirikiano na Benki kuu (BoT) na Benki ya CRDB...
  20. Swahili AI

    Fursa ya huduma ya uwakala wa mitandao na benki.

    Sema sina mtaji. Ila hapa kongowe pana fursa ya huduma za uwakala wa miamala ya mitandao ya simu pamoja na benki. Juzi nilikua hapo kulipa ada yani wakala anafunga fremu na watu zaidi ya kumi na tunamsubiri arudi atuhudumie. Naongelea Kongowe stand, mpakani mwa dar na pwani. Kama upo vizuri...
Back
Top Bottom