Wiki ya kwanza tu baada ya kurejea Ikulu, Rais wa Marekani Donald Trump aliharakisha usafirishaji wa shehena ya mabomu 1,800 aina ya MK-84, kila moja likiwa na uzito wa tani moja, mabomu hayo yamewasili rasmi Israel siku ya Jumamosi, tarehe 15 Februari 2025 kwenye bandari ya Israel.
Uamuzi...
President Donald Trump has said he’s revoking Joe Biden’s security clearance and ending the daily intelligence briefings he’s receiving, in payback for Biden doing the same to him in the wake of the January 6 attacks.
Trump announced his decision in a post saying: “There is no need for Joe...
Kwanini Nyerere alisahau kutamka RUSHWA kama adui mojawapo hapa nchini?. Ni kwamba alichukulia suala la Rushwa kama kitu kidogo?
Katika mataifa ye Demokrasia, hizo tuhuma anazotoa LISSU Kila siku zilitakiwa tuone Serikali inatoa Tamko.
Na Serikali inapokaa kimya, basi Dola na vyombo vyake...
Jana Pete Hegseth alipokuwa anahojiwa na kamati ya bunge, alisema alitambulika kama mwenye "msimamo mkali" hivyo kukataliwa nafasi hio ya kulinda sherehe ya uapisho wa Rais Biden.
Lakini cha kushangaza jeshi la Marekani linaluhusu ushoga wa kupindukia katika uongozi wake.
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, amezungumza na Rais wa Marekani Joe Biden, kuhusu maendeleo katika mazungumzo ya makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza.
"Waziri Mkuu alijadiliana na rais wa Marekani maendeleo ya mazungumzo ya kuwaachilia mateka wetu na kumsasisha juu ya mamlaka...
Wadau hamjamboni nyote?
Rais Biden amebakiwa wiki 2 tu kabla ya kukabidhi madaraka kwa Rais Trump
Ameamua kuidhinisha msaada wa Mwisho Kwa taifa takatifu kabla ya kuondoka
Mungu ibariki Israel
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Biden administration prepping $8 billion arms package...
Wakiwa Angola, Joe Biden anaonekana akisinzia wakati makamu wetu wa Rais akizungumza.
Babu Biden kachoka. Arudi kwao huko Delaware akapumzike na wajukuu wake.
Hii ni aibu.
https://youtu.be/3jqHuRkI6EE?si=Df4KXUIbUnRGzmxb
Video ndefu zaidi hii hapa…...
02 December 2024
Washington DC na Luanda Angola
ZIARA YA RAIS JOE BIDEN AFRIKA KULETA FURSA KWA MATAIFA MANNE
Rais Biden kukutana viongozi kutoka Angola, DR Congo, Tanzania na Zambia juu ya mradi wa reli kutoka Lobito, Angola utakaopita DR Congo, Zambia hadi Bahari ya Hindi Tanzania...
Wiki iliyopita Bunge la marekani lilipiga kura kwa ushindi mkubwa kufuta katazo la kuiuzia Israel Silaha lakini haikuwa hivyo kwa Rais, Biden ana presha kubwa sana ya kutafuta chochote cha kujisifia kwa siku 60 alizobakiza, Alimwambia Netanyahu akubali kustop mashambulizi lasivyo hamuuzii...
Kinachoendelea white house Biden kabakiza siku 60, anafanya kila namna kumsagia kunguni Trump na kulazimisha apewe sifa kwa mabavu.
Kairuhusu Ukraine itumie makombora ya masafa marefu kwa lengo la kuchochea vita, Trump aingie madarakani vita ikiwa ngumu sana kuisuluhisha, Mpango huu kwa kiasi...
Vita inaingia kwenye sura nyengine
20 Novemba 2024
Rais wa Marekani Joe Biden amekubali kuipa Ukraine mabomu ya kutegwa ardhini, afisa wa Marekani ameiambia BBC.
Afisa huyo ambaye alizungumza kwa sharti la kutotajwa jina, anasema mabomu ya aina hiyo yatapelekwa hivi karibuni na Washington...
Siku ya Leo ICC imetoaa kibali cha kumkamatwa waziri mkuu wa Israel Netanyahu, kiongozi mwengine maarufu aliewekewa kibali cha kukamatwa ni Rais wa Urusi, Putin.
ICC ina haki ya kuwakamata washirika wakuu wa Netanyahu ambao ni marais wa Marekani Biden na Trump kwasababu wanatoa ushirikiano...
Luteni Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Marekani Michael Flynn amemtaka Makamu wa Rais Kamala Harris kutekeleza Marekebisho ya 25 ili kumzuia Rais Joe Biden kutoka "kulala usingizi" katika vita vya tatu vya dunia baada ya kuiruhusu Ukraine kutumia makombora ya ATACMS kushambulia ndani kabisa ya...
Trump aliapa atawekeza nguvu kubwa kuleta makubaliano ya kuituliza vita ya Ukraine na Russia, Siku chache baada ya kushinda uraisi, Putin rais wa Urusi alisema yupo tayari kwa majadiliano ya kuimaliza vita.
Hii imewauma sana Democrats, Kwamba Trump anaenda atajizolea points akiimaliza vita...
Rais wa China Xi Jinping amesema yuko tayari kushirikiana na serikali mpya ya Donald Trump kuhakikisha mpito mzuri katika uhusiano wa mataifa yao.
Xi alitoa kauli hiyo alipokutana kwa mara ya mwisho na Rais anayemaliza muda wake, Joe Biden, katika mkutano wa Asia-Pacific uliofanyika Lima...
Kilichopo ni kwamba ndani ya Democrats Obama ndie King Maker,
Kwenye uchaguzi huu wa 2024 tayari Team ya Obama walikuwa na mtu wao wanaetaka kumpachika awe Rais, Ni mwanaume !!
Ikawaje Harris Mwanamke aligombea ?
Team Obama walianza mipango ya kumlazimisha Biden atangaze hagombei Urais tangu...
Siwezi kushangaa kabisa kama Biden na familia yake walimpigia kura Trump
Team Obama ndio walimlazimisha Biden ajiondoe na pia team Obama hawakutaka Harris agombee Urais walikuwa na mtu wao mwanaume, Biden baada ya kujitangaza kujiengua fasta akafanya endorsement kwa Harris ili awavuruge team...
Raisi wa nchi ya Marekani Joe Biden amepanga kutoa mabilioni ya dollar kwajili ya masuala ya kijeshi huko nchini Ukraine kabla hajaachia ngazi rasmi mwezi January. Hii inakuja huku kukiwa na mkanganyiko kutokana na matamshi ya Donald Trump ambaye mara kadhaa kwenye kampeni zake alikuwa akikosoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.