Jana katika kusherehekea Halloween, akiwa White House, Rais Biden alionekana akivinusa vitoto vilivyokwenda kusherehekea.
Pia, alionekana akijaribu kuving’ata. Kuna wakati alionekana akiingiza mdomoni kamguu ka mtoto mchanga!
Huyu babu akili zake anazijua mwenyewe 🤣.
Tuanze na picha mgando...
My take;
Just take the Islamic republic out, weaken them enough for the people of Iran to take care of the rest. When the people get rid of the Islamic republic and the Ayatollah goverment nobody needs to worry about any nuclear wars.
Wadau hamjamboni nyote?
Rais Biden amuomba Netanyau asilipue kinu cha nyuklia Iran
Soma Pia: Naftali Bennett ataka kinu cha nyuklia na mfumo wa kuzalisha nishati Iran kulipuliwa
======
Biden urges against attack on Iran nuclear sites as Israel mulls payback
Remains of a ballistic missile...
Wamarekani wengi hawakufurahi Biden kuwa Rais, Ni dhahiri walichokiona muda huo ndicho kilichomfanya aachie ngazi.
Youtube inamilikiwa na wadau wengi wa chama cha Democrats, Kuanzia hapo ilibidi waondoe sehemu inayoonyesha dislikes kwa video zote.
Kipindi Trump akiwa Madarakani aliona Marekani haina sababu ya jeshi kuendelea kubaki Afghanistan, kama ni kushinda vita walishashinda kwa kuichomoa serikali ya Taliban, hakukuwa na sababu ya kuendelea kubaki.
Trump alimchimba mkwara kiongozi wa Taliban wakiwa kwenye kikao alimpa karatasi...
Ni baadhi ya vitu mbavyo Biden na Harris sambamba na Democrats wamevifanya vitavyomsafishia njia Trump.
Mfumuko wa bei, Maisha yamekuwa ghali zaidi kipindi cha Biden na Harris
Hakuna kitu kinawaumiza wamarekani middle class na class za chini zaidi kama mfumuko wa bei. Mafuta, umeme...
Yaani GENTAMYCINE niwe Rais tena wa nchi kama ya Puerto Rico ambayo najua kuwa Kwanza ina Wajinga na Wapumbavu wengi, Washamba wengi, Masikini ndiyo hawahesabiki, Maisha ya Wananchi wangu kuwa ni magumu huwa kila Siku wakiwa hawana Furaha halafu niende Kikazi Ziarani nijione nimemaliza na nipate...
Hayakuwa mazungumzo bali kufokewa kama mtoto mdogo, kwenye kuambatana na kupewa maelekezo:
Majibu ya Natenyahu: "nimekosa mimi. Nimekosana sana. Nimekosa baba." Yobbo style.
Transcript nzima kama ilivyo, hapo post #2.
Senior DP Members USA wamethubutu Kukataa Biden asigombee kwa kuona hana Uwezo, je, na Senior MCC Members in AZT nao wataweza Kumkataa Mtu 2025?
Pia soma: Joe Biden ajitoa kugombea Urais wa Marekani 2024
Kwani wengi wao ukikutana nao Wanamkataa Mtu Fudenge kabisa ila mbele ya Mic...
Spika wa bunge la Marekani anasema watapiga kura kumuondoa Rais mgonjwa kwa mujibu wa katiba baada ya chama chake kumuona ni mgonjwa inamaanisha kuwa hata kumalizia muda sio sahihi
Mwanadamu haridhiki kabisa walimtaka asigombee amalizie ingwe yake na amekubali sasa hawataki hata kumalizia...
Hesabu za kisiasa zimechezwa na Rais aliyetakiwa kutetea kiti chake amejiengua na badala yake amemuunga mkono makamu wake, Kamala Harris kuchukua nafasi yake ya kuwania kiti cha Urais kupitia chama cha Democrats!
Atatoboa kwenye chama? Atauweza mfupa uliomshinda Hillary Clinton?
Pia, soma=>...
Wakati nchi inapoongozwa na chama kimoja cha kisiasa kwa muda mrefu, hata ikiwa ni kwa njia ya kidemokrasia, hatari kadhaa zinaweza kujitokeza:
Kudhoofika kwa Demokrasia: Utawala wa muda mrefu wa chama kimoja unaweza kudhoofisha demokrasia kwa kupunguza ushindani wa kisiasa. Bila upinzani...
Rais wa Marekani, Joe Biden (81) yuko karantini kwa muda baada ya kupimwa na kugundulika kuwa na ugonjwa wa UVIKO-19, kwa mujibu wa taarifa kutoka Ikulu ya Marekani, White House.
Ugonjwa huo unakuja wakati ambao Biden anakabiliwa na shinikizo kubwa la kujiondoa kwenye kinyang'anyiro cha urais...
Rais Joe Biden amesema hataondoka kwenye kinyang'anyiro cha kutetea nafasi ya Urais na kuonya kuwa Donald Trump wa Republican ni tishio kubwa kwa chama chake.
Biden (81) amesema hayo katika Mkutano wake uliofanyika Detroit akiendelea kuwashawishi wafuasi wake baada ya baadhi ya Wamarekani...
Samia hana jipya kama ilivyo kwa Rais wa Marekani wa sasa, kinachotofautisha tu ni kiwango cha demokrasia wenzetu wapo mbali sana.
Samia anatakiwa madarakani na majambazi ya rasilimali za nchi hii, ila kiukweli hana future yoyote na Tanzania.
Tungekuwa taifa la watu wanaojielewa samia hata...
Mtandao wa CNN umeripoti kuwa Baadhi ya Makada wa chama cha Democrats wametaka Rais Joe Biden ajiondoe kama mgombea wa Urais wa chama hicho
Wanachama hao wameonesha kutokuwa na imani nae baada ya kushindwa kutetea hoja zake kuonesha hali ya kusita na sauti kukwama mara kwa mara na kushindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.