Kumekuwa na gumzo kubwa Marekani ambapo watu wanashauri Biden apumzike asigombee kwa awamu nyingine kwa sababu ya umri. Ona mzee Biden alichowajibu;
"Ikiwa Bwana Mwenyezi angeshuka na kusema Joe, ondoka kwenye mbio za uchaguzi ningetoka kwenye mbio hizi za uchaguzi. Lakini Bwana Mwenyezi...
kwa aliyefwatilia mdaharo wa jana D.Trump vs biden atakubaliana na walio wengi kwamba D.Trump is the next President of USA and Tim Scott first (real) black VP of USA.
sasa hivi democrats wanafikiria kumbadilisha biden kabla ya uchaguzi kwa maana wameahaona hatoboi, biden ataondoka na wadhaifu...
Wanabodi,
Leo kutakuwa na mdahalo wa kwanza kuelekea uchaguzi mkuu wa Marekani, November 2024.
Mdahalo huu utawahusisha mgombea wa urais kwa ticket ya Democrat, rais Joe Biden na mpinzani wake Donald Trump kutokea chama cha Republican
Mdahalo huu unatabiliwa kuwa wa moto kutokana na mambo...
Putin kawashika pabaya Marekani sasa wanahaha kujilinda kwa kila mahala baada kuistukia Kaspersky Software ya Urusi inatumika kufanya ujasusi..Juzi tu walikua Wana ituhumu TikTok ya China kwa ujasusi🤣🤣🔧
---
🚨 BREAKING: BIDEN BANS ANTIVIRUS KASPERSKY SOFTWARE
Biden admin will announce plans to...
Rais Joe Biden amesema ataheshimu uamuzi wa Kisheria wa Mahakama baada ya mwanawe kupatikana hatia katika Makosa Matatu ya uhalifu wa bunduki ambaye anakabiliwa na kifungo cha hadi Miaka 25 jela
Jopo la Majaji 12 lilimkuta Hunter Biden (54) na hatia ya kusema uwongo kuhusu matumizi yake ya...
Mpango wa raisi Biden ili kumaliza vita vya muda mrefu vya Israel na Hamas una hatua tatu muhimu.
YA KWANZA
Ni kusitisha vita kwa muda wa wiki sita(mwezi unusu) ili mateka wa Israel hasa wa kiraia,wanawake na wagonjwa waachiwe sambamba na kuachiwa kwa wafungwa wa kipalestina.
Hatua hii...
Ukisoma BBC Swahili web page yao imeandika kwamba Biden amewaomba Hamas wakubali pendekezo la kusimamisha vita lilotolewa na Isreal.
Rais wa Marekani Joe Biden amewataka Hamas kukubali pendekezo jipya la Israel la kumaliza mzozo wa Gaza, akisema kuwa "ni wakati wa vita hivi kumalizika"...
Wanakumbi.
BREAKING:
🇺🇸🇮🇱 Biden:
"Baada ya diplomasia ya kina kufanywa na timu yangu, na mikutano na wanadiplomasia wa kigeni, Israel imetoa pendekezo jipya."
Ramani ya njia ya usitishaji mapigano unaodumu na kuachiliwa kwa mateka wote. Pendekezo hili limetolewa na Qatar kwa Hamas...
MAREKANI: Rais wa zamani wa Marekani, ametoa madai dhidi ya Rais Joe Biden kuwa aliwaagiza Majasusi wa FBI kumuua kwa Risasi wakati walivamia makazi yake na kufanya upekuzi ulioibua nyaraka za masuala ya Usalama wa Taifa nyumbani kwake
Trump amesema "Biden aliagiza nguvu ya mauaji itumike...
November Biden na Trump wanaingia tena kwenye Uchaguzi wa Uraisi kama Wagombea kwenye vyama vyao.
Uchaguzi wa 2020, Biden alimshinda Trump kwa kura nyingi tu. Trump alikuwa raisi wa muhula mmoja
Safari hii wanakutana tena na Biden bado anaonekana kumshinda Trump. Takwimu zinaonesha hivyo...
1. Marekani haijawahi kuwa na rais pro Israel kuliko bwana Joe Biden aliyeko madarakani sasa.
2. Yupo kwenye rekodi Joe Biden akisema commitment yake kwa Israel ni unconditional, iron clad na vya namna hiyo; kuwa atasimama nao hata iweje!
3. Kwamba hapo #3 atakuwa nao hata wamtie vidole...
Amichai Chikli: Biden admin. doesn't project power, I would choose Republicans
Jamaa analalama Biden anaiumiza Israel kwa sera na kauli zake.
Ameenda mbali zaidi na kusema laiti kama angekuwa mwananchi wa US basi angempigia Trump kura yake.
Anachozungumza huyu waziri wa mambo ya diaspora...
Biden signs Israel, Ukraine, TikTok bill into law
President Joe Biden signed into law measures to provide aid to Israel, Ukraine and Taiwan, as well as force the divestiture of social media platform TikTok from its Chinese parent company ByteDance or face a national ban.
TikTok has vowed to...
Kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter (x), Rais wa mmarekani JOE BIDEN amesema serikali yake inakusudia kupitisha dola bil. 7 kwa ajili ya kugharamia Sola 900,000 kwa ajili ya kaya maskini.
Amesema kwenye program hiyo mpya itawawezesha wamarekani wa kipato cha chini kumiliki Sola kwenye mapaa...
Rais Joe Biden amemwambia Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu kwamba Marekani haitashiriki katika hatua ya kulipiza kisasi dhidi ya Iran, ambayo ni chaguo la Baraza la vita la Israel baada ya shambulio la ndege zisizo na rubani na makombora usiku wa Aprili 13, 2024
Tishio la vita vya wazi...
1. Yamemkuta yanayo mstahili Natenyahu:
2. Yanaweza kuwapo makavu kuliko haya?
3. Kwamba:
4. Haya mengine ndiyo zile longo longo zisizotakikana:
5. Kama Beberu ndiyo huyu, kumbe kabaki na nini Natenyahu?
Rais wa Marekani, Joseph Biden ametangaza rasmi kwa taifa lake kwamba leo Jumapili ya Pasaka Tarehe 31 Machi ni siku rasmi na maalumu ya kuonyesha mwonekano kwa watu wote waliobadili jinsia,
Trump ameonyesha kukasirishwa kwa maamuzi haya na kumsihi Biden awaombe msamaha mamilioni ya wakristo...
Kiongozi wa wanamgambo wa Iraq wanaoshiriki katika muungano wa makundi ambayo yamefanya mashambulizi dhidi ya wanajeshi wa Marekani na Israel ameiambia Newsweek kuwa vikosi vyake viko tayari kuongeza kampeni zao kwa kiasi kikubwa ikiwa Rais Joe Biden hatatimiza matakwa yao.
Kwa mujibu wa Sheikh...
The White House has instructed the M 23 rebels to use only light weapons when engaging in the figthing,and also to get out of DRC.
This is very humane for The White House to say such a thing.
But it is time now to bring this war to an end.
What should happen is this:
The side which is...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.