Rais wa Marekani Joe Biden ameahidi msaada wa dozi milioni 17 za chanjo ya corona kwa bara la Afrika wakati alipomkaribisha rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na kuahidi pia ushirikiano zaidi na bara la Afrika.
Wakikutana katika ikulu ya White House mjini Washington, Biden na Kenyatta waliahidiana...
Kenya's President Uhuru Kenyatta is set to become the first African leader to be hosted by the US President Joe Biden at the White House on Thursday.
White House spokesperson Jen Psaki said the two would discuss "efforts to defend democracy and human rights, advance peace and security...
The spokesman for Iran’s Foreign Ministry has once again reiterated Tehran’s resolve to engage in only results-oriented talks on ways to revive a nuclear deal it snatched with world powers in 2015, saying it is high time for the United States, which unilaterally abandoned the agreement, "to wake...
Tafsiri isiyo rasmi;
Biden akihutubia mkutano wa Baraza kuu la Umoja wa mataifa, amesema;
"....Nyakati zijazo ni za viongozi ambao wanaheshimu uhuru wa watu wa kupumua (i.e kufurahia haki zao za kiraia, kisiasa, kiuchumi na kijamii) na si nyakati za viongozi wanaowakandamiza uhuru wa watu wao...
Imekuwa ni kawaida sana tangu Biden aingie madarakani huwa hajibu maswali ya kwenye presss na hakuna accountability anayohukua.
Pia kufanya speech imekuwa mtihani kwake, hasa pale mazingira yanapokuwa sio rafiki kwa kutumia teleprompter, mfano hapo 9/11 alienda zima moto, pentagon na...
Jaribu kukaa utulie uangalie picha za bwana Polepole na za rais wa America bwana Joe Biden halafu utaamini maneno yangu kuwa hawa binadamu wenzetu wamefanana sana
Pia angalia namna wanavyoongea na namana wanavyotazama lazima tu utakubaliana na maneno yangu
Kingine angalia hata makalio yao ni...
Wamarekani washamchoka huyu mzee 😂 😂 atafutiwe tu kitanda alale
wimbo huu umebanwa sana kutojulikana ila kwa jinsi biden alivyochokwa, video inaenda views milioni licha ya kuimbwa na msanii mchanga
Hapa ni baadhi ya wamarekani wakiimba kwa hisia kali
akili ya kawaida unatoa kwanza raia wa marekanj na silaha za marekani ndio jeshi linaondoka ila huyu mluga luga katoa kwanza jeshi sijui alitegemea nini.
kuna mjeshi wa navy seals aliemuaa osama kamchana Biden juu ya huu upuuzi, silaha za zaidi ya trilioni 180 zimeachwa huko,saizi taliban...
Rais wa Marekani, Joe Biden ameonya kuwa upo uwezekano mkubwa wa shambulio lingine kutokea Uwanja wa Ndege wa Kabul akisema Makamanda wamemtaarifu linaweza kutokea mapema
Serikali ya Marekani imewataka Raia wake kuondoka eneo karibu na Uwanja wa Ndege. Zaidi ya watu 110,000 wakiwemo Raia wa...
Aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump amemtaka mrithi wake, Joe Biden ajiuzulu baada ya wanamgambo wa Taliban kudhibiti Mji Mkuu wa Afghanistan, Kabul, pamoja na Ikulu ya Rais siku ya Jumapili.
Trump amemlaumu Biden kwa ‘kuruhusu’ Wataliban kutawala Afghanistan katika ushindi mwanana licha...
Hii ni kufuatia wananchi kuonesha shaka kuhusu afya ya Rais wao aliyepo madarakani kuonesha ana changamoto kubwa ya kumbukumbu.
Na sasa pia daktari bingwa Ronny Jackson aliyewahi kuwa daktari binafsi wa marais Barack Obama na Donald Trump walipokuwa madarakani, kuona ni muhimu Rais Joe Biden...
Uchumi umetengeneza ajira zaidi ndani ya miezi minne ya kwanza ya Utawala wa Biden kuliko utawala mwingine wowote katika historia - zaidi ya ajira 500,000 kwa mwezi kwa wastani. Hiyo sio kwa bahati - mpango wa uchumi wa Biden unafanya kazi.
The economy has created more jobs under the Biden...
Rais wa Marekani, Joe Biden amesema Taifa hilo litajibu ikiwa Urusi itaendelea kutekeleza mashambulizi ya kimtandao dhidi yao.
Akizungumza baada ya mkutano wake wa kwanza na Vladimir Putin, Biden amesema ameweka wazi kuwa Urusi inatakiwa kuheshimu Sheria au kukabiliana na matokeo.
Amesema...
Putin and Biden say talks were ‘constructive’ (msn.com)
SPUTNIK/AFP via Getty Images TOPSHOT-SWITZERLAND-US-RUSSIA-SUMMIT-DIPLOMACY
Russia's Vladimir Putin said his face-to-face talks with the US President had “no hostility” while Biden described the atmosphere of the sit-down as not...
Rais Joe Biden wa Marekani mwenye miaka 78 ameanguka mara tatu kwenye ngazi za ndege ya Airforce one akiwa anaelekea mji wa Atlanta. Lakini baadae aliamka na kuendelea na safari.
Rais Biden ndie Rais mzee zaidi kuwahi kuchaguliwa Marekani.
Source: THE INDEPENDENT
Akihojiwa leo na kituo cha televisheni cha ABC NEWS Rais Biden amesema anaamini Rais wa Urusi, bwana Putin ni muuaji na atalipa iyo gharama.
Ameongeza kuwa amewahi kumwambia Putin kuwa ni mtu katili na asie na roho ya binadamu. Rais Putin amewahi kushutumiwa kwa mauaji ya waandishi wa habari...
Champ na Major ambao ni mbwa wa Rais Joe Biden, wamehamishwa kutoka White House na kupelekwa Delaware kwenye makazi binafsi ya Joe Biden.
Hii ni baada ya mbwa mmoja (Major) kumng'ata afisa wa CIA ambaye anamlinda Rais Biden.
The two German Shepherds belonging to President Joe Biden and first...
Baada ya kusubiriwa kwa miaka miwili, hatimaye ripoti ya Shirika la Ujasusi la Marekani kuhusu kuuawa kwa Jamal Khashoggi imeachiwa siku ya Ijumaa ikionesha kuhusika kwa uongozi wa Saudi Arabia katika tukio hilo.
Ripoti hiyo yenye kurasa nne imemtaja Mwanamfalme wa Saudi Arabia, Mohammed Bin...
Rais Biden wa Marekani ameanza shughuli za kikazi na kama ilivyo kawaida kwa Marekani, rais mpya lazima aanze kwa kushauriana na viongozi wenye ushawishi mkubwa kwenye kila kanda, hapa kaongea na rais Uhuru ili kuwekana sawa kwenye baadhi ya mambo muhimu yanayoihusu Afrika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.