Raisi Biden wa Marekan amemlaumu raisi wa Ukraine kwa kuwa mkaidi na kutosikiliza ushauri wa wakubwa.
Anasema alikataa kusikiliza uoni wa kiintelijinsia ya Marekani kwamba Urusi ilikuwa iko karibu kuivamia nchi hiyo. Marekani pia baada vita kuanza iliwahi kumshauri kuwa akimbie nchi na akataa...
The invasion Vladimir Putin thought would last days is now in its fourth month. The Ukrainian people surprised Russia and inspired the world with their sacrifice, grit and battlefield success. The free world and many other nations, led by the United States, rallied to Ukraine’s side with...
Akiongea na Waandishi wa Habari viunga Vya White House,Rais wa Marekani ametamka wazi kwamba Marekani haitaipatia Ukraine Silaha za Masafa Marefu zenye Uwezo wa Kushambulia ndani ya Ardhi ya Urusi.
Kwa mda wa wiki 2 Sasa,Rais wa Ukraine amekuwa akiitaka Marekani Kuipatia nchi yake Silaha za...
Rais wa Marekani, Joe Biden amesaini amri ya kiutendaji ambayo amedai italeta uwajibikaji zaidi na ufanisi kwa polisi. Amefanya hivyo katika kumbukumbuku ya mwaka wa pili tangu kutokea kwa mauaji ya Georges Floyd, Mmarekani mweusi aliyeuawa na afisa wa polisi mzungu.
Mabadiliko hayo yanalenga...
No that would not help. The enemy understands that brandon is not the one calling the shots. Furthermore, he is compromised by his involvement many different criminal enterprises that the Russians and the Chinese, and God only knows who else has complete control of him.
Why else would he have...
Marekani kuna vyama vikuu viwili ..
1. Democrasts - Biden, Obama, Clnton, n.k
2. Republicans - Trump, Bush, Kennedy, n.k
Democrats kimekuwa chama chenye maovu mengi mno ila kwavile wao ndio wamiliki wa media nyingi kama facebook, twitter, cnn, n.k, wanajisafisha sana kwa media na hata huku...
Rais wa Marekani, Joe Biden ametamka kuwa tukio la kuuawa kwa watu Weusi 10 kwa risasi lililotokea Buffalo, New York ni Ugaidi wa ndani uliosababishwa na dhana ya ubaguzi wa rangi.
Biden na mkewe, Jill Biden walikutana na ndugu wa marehemu na wengine watatu waliojeuruhiwa baada ya kutembelea...
Rais wa Marekani Joe Biden amrudhia ombi la Waziri wa Ulinzi Lloyd Austin lq kuidhinisha kurejeshwa kwa wanajeshi wa Marekani nchini Somalia kupambana na Al Shabab na kubatilisha uamuzi wa mtangulizi wake Donald Trump mwaka jana wa kuondoa karibu vikosi vyote vilivyokuwa huko.
Kabla ya Trump...
Rais wa Marekani, Joe Biden ametangaza kutoa silaha zenye thamani ya dola milioni 150 kuisaidia Ukraine katika vita dhidi ya Urusi.
"Ninatangaza kutakuwa na mzigo mwingine wa msaada wa ulinzi ambao utahusisha silaha za ziada na rada kwa ajili ya Ukraine," amesema Biden.
Kwa mujibu wa ofisa...
BIDEN, JEAN-PIERRE WAWEKA REKODI MAREKANI
Rais wa Marekani, Joe Biden amemteua Karine Jean-Pierre kuwa msemaji mkuu wa Serikali kuanzia wiki ijayo.
Karine Jean-Piere anakuwa mwanamke wa kwanza mweusi kushika wadhifa huo katika historia ya Marekani.
Jean-Pierre 44, anachukua nafasi inayoachwa...
Rais wa Marekani, Joe Biden ameliomba Bunge la Marekani kuidhinisha msaada wa ziada wa dola bilioni 33 kwa lengo la kuisaidia Ukraine wakati huu inapokabiliwa na uvamizi wa Urusi.
Rais Biden amesema kuwa lengo sio kuishambulia Urusi bali kuisaidia Ukraine, ambapo msaada huo unahusisha dola...
Dolla ya Marekani ipo hatarini kusambaratika baada ya vita ya Urusi-Ukraine ikiisha. Baada ya Putin kutangaza mali zake zitauzwa kwa pesa yake RUBEL moja kwa moja, pesa hiyo imeimarika baada ya mataifa mengi kukimbilia Deal hilo kwani ni badhaa huwa bei rahisi. Hata ukali wa bei ya mafuta TZ...
sio mara ya kwanza wala ya pili wala ya tatu, ni mwendelezo wa huu ugonjwa wa akili unaoitwa dimentia unaomsumbua Biden.
ugonjwa huu umefanya mara kwa mara biden atetewe na media kwamba hakumaanisha alichosema bali alimaanisha kitu flani.
seriously, hiki alichokiongea ni nini
Tafsiri; "Vuta...
Wadau hii imekaaje Waziri huyu Bibi Janet Yellen anasema US haitashiriki mikutano ya G20 kama Russia atashiriki, naomba athari za Russia kutoshiriki G20 maana huyu jamaa naona anabanwa kila anapochomoza pua.
Naomba kutanguliza shukurani
Yani kilichotokea hapa ni kama vile ex wa mke wako anakuja nyumbani, anapewa attention kubwa kuzidi wewe, atachinjiwa kuku, watoto wanamwita baba, duuhh!!
Dah hadi huruma, hapa Biden amekosa wa kuongea nae alafu anageuka anamcheki Obama ana kundi la watu wamejazana kwake...Biden anamcheki Obama...
Kwa kifupi Biden hajaropoka TU,Bali amejikuta akitoa Siri kwa kukosa kifua.
Ni kama yule Rais alosema wanajeshi wakiwa vitani halafu akatokea msaliti wanajeshi humshughulikia.mda mfupi baadae Kuna mtu mmoja akamimimniwa vipande vya vyuma mwilini. Rais huyo alijikuta anakosa kifua na hatimae...
Mbunge wa Ukraine ambaye ni naibu waziri wa elimu bi Inna Sovsum ameiponda ziara ya rais Biden wa Marekani aliyoifanya nchini Poland. Amesema hotuba zake za kuwataka wananchi ya Ukraine wasiogope haina maana yoyote kwani kila siku vijana wanapotea.
Hotuba yake ni kama ya kuilinda nchi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.