Rais wa Marekani, Joe Biden amesema Urusi haiwezi kushinda vita dhidi ya Ukraine.
Matamshi hayo ameyatoa mjini Warsaw, Poland ikiwa ni saa kadhaa baada ya Rais wa Urusi Vladimir Putin kusema Urusi itaendeleza mashambulizi yake ambayo yanakaribia kutimiza mwaka sasa.
Rais Biden akionekana wazi...
Kwa mujibu wa Taarifa ya Ikulu ya #WhiteHouse, ziara hiyo inayoanza leo Februari 22, 2023 inalenga kuimarisha uhusiano kati ya #Afrika na #Marekani, kuangalia hali ya Usalama wa Chakula na Uwezeshaji wa Wanawake.
Hii itakuwa ziara ya 6 kwa #JillBiden kufika Afrika ambapo ziara 5 alikuja wakati...
Biden amesema Mataifa ya Magharibi hayana njama ya kuishambulia Urusi kama Putin alivyosema leo," Biden alisema. "Mamilioni ya raia wa Urusi wanataka tu kuishi kwa amani na majirani zao sio adui."
Pia Biden amesema Nitarudia usiku wa leo niliyosema mwaka jana mahali pale pale. Dikteta aliye na...
Rais wa Marekani, Joe Biden atembelea Kyiv baada ya safari ya masaa 9 kwa treni kutoka Poland ambapo amewasili asubuhi ya leo
US president Joe Biden is on a surprise visit to Kyiv, where he's meeting with President Zelensky ahead of the one-year mark of Putin’s full-scale invasion of Ukraine...
Wachunguzi wa Idara ya Haki ya Marekani (DoJ) wamesema wamezipata nyaraka hizo wakati wa upekuzi wa saa 13 katika nyumba iliyopo Delaware.
Baadhi ya nyaraka hizo ni za wakati Biden akiwa Seneta, nyingine akiwa Makamu wa Rais chini ya Barack Obama, ambapo Wakili wa Biden, Bob Bauer amesema...
Ukamatwaji huo wa Ovidio Guzman-Lopez ambao pia umetajwa kuihusisha Marekani kumesababisha machafuko maeneo tofauti kwenye Jimbo la #Sinaloa kutoka kwa makundi ya kihalifu na kusababisha kifo kwa maafisa watatu.
Ovidio ‘The Mouse’, ndiye anaendesha biashara za dawa za kulevya na uhalifu...
Mkijua Kudhihaki mjue pia na Kupongeza. Na hakuishia tu Kupiga Picha nami bali hata ile Dola Milioni 55 tuliyohaidiwa Ngozi Ngumu (Bara la Afrika) kwa anavyoipenda Tanzania Nusu yake tutapewa Sisi na Mimi kwakuwa nimeshawajua mlivyo Wanafiki wala sizileti Kwenu (siwapi) na naziweka Kibindoni ili...
Rais Joe Biden amewaomba Marais wa Afrika ushirikiano wa muda mrefu na unaokita mizizi katika utawala bora huku pamoja na kuzipenyeza biashara za Marekanikuendelea kuingiza mabilioni ya dola kwenye uwekezaji wa teknolojia kwa bara ambalo China imekuwa mdau namba moja kwa sasa.
Akihutubia katika...
Taarifa hizi za Urusi kupiga kombora Poland nilitegemea ziibue panic si ya kawaida kwa NATO wote (wale halisi wa kule na hawa wetu waliopo nanjilinji, mailimoja, kwa mfipa n.k) kwa jinsi walivyokuwa wanamtafuta kwa kitendo chake cha kuvamia Ukraine. Ni wakati gani tena bora wa kumfumua mtu...
Democrats have retained the Senate – doing no worse than holding steady at 50 seats and potentially gaining one – and look likely to keep any net losses in the House in the single digits.
Midterms are supposed to be the time for the opposition party to shine. That should especially be the case...
Baada ya kombora kutua katika Kijiji kimoja Nchini #Poland na kuua watu wawili kisha kudaiwa Urusi ndio imehusika, Rais wa Marekani, Joe Biden amesema kuna uwezekano kombora hilo halikutokea Urusi.
Amesema: "Siwezi kusema wazi moja kwa moja kuhusu ushiriki wa Urusi hadi uchunguzi ukamilike.”...
Rais huyo aliyeshindwa Uchaguzi Mkuu wa 2020 ametangaza kuutaka tena Urais licha ya uchunguzi mwingi unaoendelea dhidi yake kuhusu Matumizi Mabaya ya Madaraka na Ukwepaji Kodi
"Ili kuifanya Marekani iwe Kuu na Utukufu tena, leo ninatangaza kugombea Urais. Kuanzia sasa hadi siku ya uchaguzi...
Hadi sasa ramani inakoelekea ni wazi kabisa Republicans wanaweza kumpendekeza kipenzi chao Mheshimiwa Trump achukue kiti cha uspika ambacho kwa sasa kipi kwa bibie Pelosi anaesubiri kung'oka.
Trump kuwa spika inaweza kuwa ni mwiba mkali sana kwa uongozi wa Biden, Trump kuwa spika ni fursa kwake...
Usiende google kucheki matokeo 😂😂 wala cnn , huko hakuna taarifa credible maana ni left wing main strem media, ni haohao walioaminisha umma mpaka dakika ya mwisho 2016 kwamba Trump kashindwa,,, Ukweli ni kwamba kwa sasa hali inavyoelekea Republicans wanaenda kuchukua moja ya mihimili ama miwili...
Dunia Iko sehemu mbaya ya uhaba wa nishati, chakula, kupanda kwa maisha na kukaribia vita vya nukilia kutokana na vita na vikwazo dhidi ya Russia.
Wakati Trump alikuwa anaamini kwenye dialogue Biden anaamini kwenye mtutu wa bunduki. Trump alifanya mazungumzo mengi na watu anaotofautiana nao la...
Wakati NATO wenzake wanataka vita iendelee, Rais wa Ufaransa anaonekana kutoamini kuwa wana uwezo wa kumaliza vita. Amemuomba Papa awaite warussi na USA wakae mezani kuyamaliza.
Urusi n USA ndo walianzisha vita na ndiyo watamaliza. Siyo EU.
Urusi siyo Zimbabwe
Macron says he urged Pope to...
Inaonekana Biden anajua wamarekani wanapenda uovu wa utoaji mimba hata akashawishika kuwa atavutia wapiga kura kwa kuwaahidi kuruhusu tena utoaji mimba, kitu ambacho mahakama ya juu ya marekani ilishakizuia na kurudisha maamuzi yawe yanafanywa na serikali ya majimbo. Majimbo mengi hasa...
Rais Joe Biden amewasamehe Wamarekani wote ambao wamepatikana na hatia katika ngazi ya kitaifa ya kumiliki kiasi kidogo cha bangi. Maafisa wanakadiria takriban watu 6,500 walio na hatia ya kupatikana na bangi watafaidika na msamaha huo.
Kwa sasa hakuna mtu aliyefungwa kupitia shirikisho kwa...
Biden amesema uamuzi huo haujatazama mbali na hivyo atalishawishi Bunge la Congress lijaribu kudhibiti ushawishi wa kundi linaloongozwa na Nchi Zinazozalisha Mafuta kutoka Mashariki ya Kati ikiwemo Saudi Arabia.
OPEC na washirika wake wanaojulikana kama OPEC+, wamekubaliana kupunguza uzalishaji...
Katika mahojiano VOA Swahili amesikika mkenya mmoja akidai kuwa ukiichokoza Kenya umemchokoza Biden na Europe kwa ujumla ni baada ya kijana wa Museveni kuandika kwenye Twitter utani wa kuivamia Kenya.
Naombeni ufafanuzi wa madai haya ya mkenya bandugu .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.