Naomba mawazo yenu mnaotumia Instagram na Facebook kuuza bidhaa. Kwa winga anaechukua vitu kariakoo ni bidhaa gani rahisi kuuzika ukiweka insta na FB alafu ukaipromote?
Tusaidiane uzoefu, keki ni kubwa kila mtu walau apate kipande.
Peleka Bidhaa, Huduma Yako KIMATAIFA Zaidi, Kwa Kuuza Kupitia Tovuti Kubwa Na Zenye USALAMA Na Wateja Wa Uhakika Kutoka Kila Pembe Ya DUNIA. Haijalishi Unazalisha Bidhaa Au Kutoa Huduma Gani. Kuna Wateja Sehemu Fulani Ya Uso Wa Dunia Wanasubiri Na Kuhitaji Sana Unachozalisha. UZA KUPITIA...
Mamlaka ya mapato tra mkoani tabora imegawa mali mbalimbali ilizokamata kati ya mwaka 2019-2022 kutoka kwa wafanyabiashara waliokiuka utaratibu wa utoaji wa risiti kwa njia ya kielektroniki efd kwenye miamala yao.
tra imegawa mali hizo kwa jeshi la magereza na idara ya elimu manispaa ya tabora...
Kwa Tanzania hasa kwenye miji mikubwa hili limekuwa tatizo kubwa. Wafanyabiashara wadogo tena wanaoanza biashara utakuta wanatumia hela nyingi za mtaji kuwekeza kwenye mwonekano wa duka badala ya bidhaa anazouza.
Vijana wengi hasa kwenye biashara ya nguo wamejikuta wanafunga biashara zao chini...
Naomba kujua utaribu wa kusafirisha bidhaa kutoka zanzibar kuja Dar, mfano Tv na baiskeli.
Nategemea kuanza kuuza Tv na kukodisha baiskeli huku mkoan, hivyo nimeona kunagharama nafuu sana kupata bidhaa hiyo Zanzibar japo sijajua utaratibu upoje.
Hii ni kutokana na kodi za nchi yetu ni kila...
Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Dkt. Selemani Jafo amewataka Watanzania kuthamini bidhaa zinazotengenezwa nchini na wazawa ili kuwapa moyo wabunifu na kuinua uchumi wa nchi.
Ameyasema hayo Juni 10, 2022 Jijini Dodoma wakati alipomwakilisha Dkt. Philip Mpango, Makamu wa...
Wadau,
Kama nikiuza bidhaa zangu, hasa online kwa lipa namba za Mpesa, Tigopesa au whatever, je, VAT au kodi inajikata yenyewe na mimi kubakiwa na changu (kwa maana mtandao wa simu ndio utawasilisha kodi TRA) au nitatakiwa kulipa kodi kwa ile hela iliyoingia kwangu?
Hii nchi uzuzu umefika pabaya sana, serikali imeacha mambo ya msingi yaharibike. Inahangaika na punguzo la bei za petrol inajisahau bei za bidhaa na huduma zingine ambazo baadhi mfumuko wake wa bei ni wa umakusudi kbsa kutumia fursa ya utopolo wa watendaji na viongozi.
Badala ya serikali kuunda...
Wapendwa week end inaendaje?
Wanasema kizuri kula na mwenzako....na nomeona niwashirikishe fursa hii adimu hasa kwa wale wanaofika kariakoo na kujikuta wanauziwa bei ghali kuliko hata huku mtaani...
[emoji117][emoji117][emoji117]
SOMA HAPO UKIPENDA SAWA USIPOPENDA PITA KIMYA
Ngoja nikupe...
bei
bei ya jumla
bidhaa
chimbo
duka
hizi
jina
jumla
kariakoo
machimbo
maduka
mda
mimi
namba
namba za simu
ndani
nyingi
simu
soko
soko la kariakoo
thread
Biashara ya usafirishaji wa bidhaa Kati ya Tanzania kwenda visiwa vya Comoro umeendelea kuwa changamoto kutokana na uchache wa Vyombo na baadhi ya vyombo kutokidhi uwezo wa speed na uhitaji wa Mzigo kufika haraka.
Mizigo inayotoka Tanzania kwenda Comoro ni Vyakula, Vinywaji,vifaa vya...
Kama kuna mtu anaweza kunisaidoa jinsi ya kupata bidhaa za supermarket saada, Nilikuwa nahitaji kuaanza hii biashara kwa kutafuta tenda katika supermarket. 0678 36 77 07
Msimamo wa Tax regime ya nchi yetu ina matatizo Ya kimtazamo.
Tax-kodi inakuwa set for maximum extraction, yaani kodi zetu zinajaribu kufyonza fadha kubwa iwezekanavyo toka kwa mfanyibiashara au any business deal kiasi ambacho bei ya bidhaa zetu zinapanda bei hadi kukosa ushindani.
Hili ni...
Natafuta lightbox kwaajili ya kupigia picha za bidhaa. Lightbox ndogo kwa picha za viatu na mikoba. Au kubwa za kupiga magauni ya kike. Kama unafahamu mahali zinapatikana kwa Dar au Mwanza nitashukuru sana.
Fadhili Mpunji
Mwezi Aprili mwaka huu shughuli nyingi ya mauzo bidhaa za Afrika kwenye mtandao wa internet ilifanyika nchini China. Wateja wa miji mbalimbali ya China walitumia muda wao kwenye simu na kompyuta zao, wakitazama, kusikiliza, kuchagua na kununua bidhaa mbalimbali kutoka nchi za...
Wasalaam
Nilikuwa nadiscuss na dada angu wa faida kuhusu kuanzisha platform ya kuakutanisha watu wenye vipato mbali mbali hasa kipato cha kati na chini ,ila wana uhakika wa kipato hata kiduchu na ni waaminifu,
Hii platform itaenda na wakati mtu akijisajili anajisajili na details zake ikiwemo...
Katika biashara kila mfanyabiashara anafanya biashara yake kwa namna alivyowekeza pesa zake,muda na akili yake eneo hilo.
Baada ya kujua pesa aliyowekeza,muda aliotumia,gharama zote mpaka bidhaa inamfikia mteja ndipo mfanyabiashara hupanga bei ya bidhaa zake.
Wafanyabiashara wengi 80% sio...
Wakili wa upande wa utetezi Moses Mahuna akieleza kuhusu Sabaya na wenzake
kushinda rufaa yao na kuachiliwa huru katika Mahakama Kuu Kanda ya Arusha.
Sabaya na wenzake watatu wamebakiza ngwe moja ya hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi baada ya Mahakama Kuu ya kumwachia huru muda huu. Warufani...
bidhaabidhaa muhimu
bila
hashtag
how
huru
kelele
kesi
kesi ya sabaya
kitu
kujifunza
kupanda
mafuta
mitandaoni
muhimu
propaganda
rufaa
sabaya
watanzania
Habari wajasiriamali wenzangu,naomba msaada tafadhali kwa hivi vifungashio hapo chini kama nitaondoa hizo label na kuunda yangu na kubandika,ni bidhaa gani haswa naweza kufungasha na nikauza na kupata faida maeneo ya dar es salaam na morogoro mjini?! nawasilisha🙏
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.