bidhaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaada: Utaratibu wa kupokea bidhaa kutoka nje ya nchi

    Samahani naomba ufafanuzi kuhusu kupokea bidhaa kutoka nje ya nchi,hatua za kufuata Ni zipi
  2. INAUZWA Tunauza Mashine aina mbalimbali, tupo Dar es salaam

    MASHINE YA KUPUKUCHUA MAHINDI BEI: 450,000/= Je, huna cha kufanya? Unatafuta kazi hupati? Sisi ni wasambazaji wa mashine tofauti kutoka china, mashine zipo kwa oda malipo ukikabidhiwa mzigo wako kwa wa dar, wamikoani kuna utaratibu wengine MNAKARIBISHWA! KWA Mashine hii unaweza kutumia kwa...
  3. J

    Mbunge: Ubakaji umeongezeka sasa sababu wanaume wanashindwa kununua mapenzi, mapenzi ni bidhaa

    Mbunge wa Iringa mjini Jesca Msambatavangu amesema ubakaji na ukatili wa kijinsia kwa watoto umeongezeka kipindi cha hivi karibuni Sababu ya kuongezeka huko mbunge huyo ametaja ni kutokana na wanaumne wengi njia zao za kujipatia kipato kuharibiwa na sera ambazo sio rafiki na kushindwa kupata...
  4. W

    Bidhaa zinatotengenezwa kutokana na zao la mkonge

    Ningependa kuwafahamisha kuhusu bidhaa mbalimbali zinazoweza kutengenezwa kutokana na zao la mkonge lililochakatwa na kutengenezwa nyuzinyuzi (fibres). Nyuzinyuzi hizi baadae hutengenezwa kamba pamoja na mazulia makubwa. Miongoni mwa bidhaa hizo zinazoweza kutengenezwa kutokana na mazulia hayo...
  5. N

    Serikali inayowaza kumnyonya Mtanzania kwa tozo haitawaza kupunguza kodi kwenye bidhaa ili kupunguza mfumuko wa bei

    Serikali ya CCM inayoongozwa na Raisi Samia haiwezi kufikiria cha kufanya angalau kupunguza uchungu anaopitia mwananchi kwa sasa wa kupanda kwa bidhaa karibu zote nchini. Serikali hii inachowaza ni kupata pesa ili wao waendelee kunufaika ndii maana wamelundika tozo na kodi za kila aina, zingine...
  6. Bungeni, Dodoma: Wazalishaji/Wasambazaji waelekezwa kushusha bei za bidhaa muhimu

    Serikali imeagiza Wazalishaji na Wasambazaji wa bidhaa muhimu kushusha mara moja bei za bidhaa zinazopandishwa pasipo kuendana na uhalisia wa Soko. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema hivi karibuni kumekuwepo na taarifa za uhaba na upandaji wa bei usioendana na uhalisia wa Soko kwenye bidhaa...
  7. Chanel yasitisha kuuza bidhaa zake kwa watu wanaozinunua na kupeleka Urusi ikiwa ni baada ya kufunga maduka yake nchini humo

    Kampuni kubwa ya kifahari ya Chanel ya Ufaransa imeacha kuuza bidhaa zake kwa watu wanaonunua na kuzipeleka Urusi, baada ya kufunga maduka yake nchini humo. Moscow na baadhi ya wateja wameishutumu kampuni hiyo kwa kupinga Urusi, na kutishia kususia chapa hiyo. Chanel inasema inazingatia tu...
  8. Naomba kujuzwa soko la hii bidhaa

    Wakuu naomba kujuzwa soko la hii bidhaa mikoani, sehemu hipi hapa Tanzania nikiipeleka itatoka? Niko Dar nataka nijipanue kifikra na kuangalia fursa mikoani target yangu ni Morogoro, Dodoma na Singida. Hizi ni yeboyebo ambazo ni reject so bei yake ipo chini pia. Asanteni.
  9. Rais Mwinyi atoa onyo kwa watakaopandisha bei ya bidhaa Zanzibar

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amewanasihi wafanyabiashara kuacha kutumia mgogoro wa Urusi na Ukraine kama kisingizio cha kupandisha bei za bidhaa katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Dk. Mwinyi alieleza hayo jana katika risala maalum aliyoitoa yenye lengo la...
  10. Je, wewe ni whole saler wa Bidhaa zifuatazo?

    Habari za wakati huu wakurugenzi? Wanahitajika Wauzaji wa Jumla wa bidhaa zifuatazo ambao wanauwezo wa kussuply mzigo wa thamni yoyote kwa bei ya Jumla.Iwapo unao uwezo wa kussuply kiasi hicho cha mzigo tafadhali tuma mawasiliano yako kwa email:masokotz@yahoo.com.Zingatia kwama ni lazima uwe ni...
  11. Kupanda bei za bidhaa ni kaa la moto kwa wenye vipato vya chini

    Hali ya maisha mtaani ni tia maji tia maji kwa misemo ya watu wa kipato cha chini, yaani hali ni tete kweli kweli. Kila ukienda kununnua bidhaa unakuta bei mpya ikiwa imepanda maradufu. Yaweza kuwa hata mara mbili ya bei ya awali uliyonunua kipindi cha mwisho. Jambo hili linafanya maisha kuwa...
  12. Kukosekana kwa Maji na Umeme na kupanda bei za bidhaa kunatia doa Serikali ya Rais Samia

    Kabla ya kuingia Samia madarakani tatizo la kukatika kwa umeme halikuwa kubwa namna hii. Ingawa waziri anadai ni maintenance sitaki kukubaliana nae kwani hata awamu iliyopita walikua wanafanya lakini haikuwa kiasi cha kuathiri upatikanaji wa umeme kwa kiwango hiki. Hapa bila kupepesa macho...
  13. Watu milioni 1.7 kila mwaka hufa kutokana na matumizi ya bidhaa za tumbaku

    Matumizi ya tumbaku na bidhaa za tumbaku unazidi kuwa mwiba wa Dunia. Tafiti zinaonesha magonjwa mengi yasiyo ya kuambukiza yanasababishwa na matumizi ya bidha za tumbaku.
  14. Bidhaa za stationary

    VIFAA VYA STATIONARY Jipatie bidhaa za stationary kwa bei nafuu zaidi kwa bei ya jumla tupo kariakoo mtaa wa lindi karibu na msikiti wa lindi pia tunafunga ODA kwa watu wa mikoani kwa uaminifu mkubwa 0756278000 0712773424 namba zote zipo whatsapp
  15. Ramadhani ya 2022 itakuwa ngumu, vyakula vinapanda bei na raia tuko kimya

    Muda kama huu Hayati Magufuli angeshakemea vitu kupanda bei. Leo hii mafuta ya kula lita 10 Tsh. 63, 000 huku lita 20 ikiwa ni Tsh. 117,000. Wauza mihogo ya kukaanga biashara imewashinda sababu ya mafuta kupanda sana na sio kwamba hakuna wateja. Tambi na ngano vimepanda bei mapema. Je, mwezi...
  16. Jeff Bezos afungue ofisi Africa na kuajiri watu wakupeleka bidhaa kwa wateja

    Miaka ya 90 DHL walikua na ofisi mikoani na waliajiri vijana wa kupeleka mizigo kwa wateja. Vijana walipewa pikipiki kubwa na walifanya kazi kwa ufanisi. Amazon ni kampuni kubwa, ukiweza kufungua ofisi na kusimamia Uriah I wa makontena bandarini na wateja kupelekewa bidhaa zao mpaka nyumbani...
  17. KATAVI: Bei za bidhaa zazidi kupaa hewani

    Unbelievable yaani mafuta ya kula ya Korea litre 10 ni 67000/= Unga wa ngano 25kg ni 44000/= Sabuni takasa box moja ni 17000/= Sukari 25kg ni 63000/= Soda zilianza kuadimika hata kabla ya vita Na hizo bidhaa zilianza kupanda hata kabla ya vita Mwaka jana mwezi kama huu wa tatu sukari pekee...
  18. L

    Thamani ya pesa

    DEFLATION Hiki ni kipindi ambacho bei za bidhaa hushuka, na hufanya thamani ya pesa kuongezeka. Hapa ndio unajikuta ukienda sokoni na 10,000 unanunua mahitaji yote ya week na change inabaki. Chanzo cha kushuka kwa bei. 1.Economies of scale. Kampuni ikiweza kuzalisha bidhaa nyingi na...
  19. L

    Inflation, ongezeko la bei katika bidhaa

    INFLATION Hiki ni kipindi ambacho thamani ya pesa inashuka kutokana na bei ya bidhaa ambazo ni muhimu (necessity goods) kupanda. Vyanzo vya mfumuko wa bei. 1. Ongezeko la ajira Kuongezeka kwa ajira kutasaidia watu kuweza kujitegemea na kuweza kupata kipato. Kipato kikiwa kikubwa basi...
  20. Jinsi ya kulinda taarifa zako ununuapo bidhaa mtandaoni

    JINSI YA KULINDA TAARIFA ZAKO UNUNUAPO BIDHAA MTANDAONI Chati hii inaonyesha kwa asilimia nchi zinazoongoza kwa ukuaji wa mauzo ya rejareja ya biashara mtandaoni, huku Ufilipino ikishika nafasi ya juu zaidi Ukuaji wa Teknolojia ya mawasiliano nchini Tanzania, umechangia kwa kiasi kikubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…