Sina ndoto za kuimba milele, nataka kuwa mfanyabiashara mkubwa bilionea.
Ni maneno yake hayo aliyoyatoa hivi karibuni msanii Diamond Platnumz, ni maneno ya kuonyesha kwamba kwa sasa kaona wazi kabisa zama zimebadilika na muda umeenda, badala ya kuendelea kulazimisha game kwa nguvu ameona ni...
Mawe makubwa mawili ya Tanzanite yamepatikana ndani ya machimbo ya Mirerani kutoka kwa mchimbaji mdogo, Anselm J Kawishe. Mawe hayo yanatarajiwa kununuliwa na Serikali kwa shilingi Bilioni 2.2.
#StarTvUpdates
Kwa mpenzi wako au mke wako kua makini sana na marafiki, Bilionea Elon Musk atafuna mke wa mshikaji wake Bwana Sergey Brin ambae pia ni muanzilishi mwenza wa Google.
Baada ya Elon Musk kumtafuna mke wa Brin urafiki wao wa muda mrefu ukafa baada ya Brin kujua Elon anamla mke wake tena anampiga...
Midimu bilionea la malori, bilionea la manyumba, bilionea la mang'ombe.
Inasemwa kuwa mwamba alipotangulia mbele za haki malori yake yote yalipangwa nyumbani kwake na kuwashwa Kisha kuachwa yakiunguluma mpaka siku mazishi yalipokamilika. Walifanya hivi ili hizi gari zake ziungane na waombolezaji...
'Kumbuka jambo moja, hakuna mtu ambaye siwezi kumnunua au kumharibu nikitaka.'
Haya ni maneno ya mfanyabiashara tajiri zaidi Marekani wakati mmoja. Jina lake ni Howard Hughes na ulimwengu unamfahamu sio tu kama mfanyabiashara wa viwanda, mtafiti, mtengenezaji wa filamu, shujaa wa zama mpya...
Kwanza lazma tujue oligarchy ni nani , na bilionea ni nani.
Kiufupi oligarchy ni kikundi Cha watu/mtu wenye feza nyingi sana yaani matajiri ambapo utajiri wao unatokana na serikali iliyopo madarakani kuwapa nguvu huyo na wanatumia na serikali kujipatia utajiri either kwa kupeana mikataba kwa...
Baada ya Trump kuzundua mtandao wake wa kijamii mwezi uliopita, Tajiri Elon Musk anafikiria kuzindua mtandao wake mpya ambao utawapa watu uhuru kamili wa kutoa maoni.
Ikumbukwe kwamba hata Trump analaumu kwamba mitandao iliyopo inaminya uhuru wa watu kujieleza, inapangia watu waandike nini...
Huwa ninaamini kwamba Humu JF wamo Mabilione hata hivyo napenda zaidi kuzungumzia uhalisia;
Ukiwa katika Jiji la Dar es salaam ukabahatika kutembea katika maeneo ya watu matajiri kama Masaki,Mikocheni,Mbezi Beach na baadhi ya maeneo mengine ya watu wenye ukwasi unaweza kufikiri kwamba wewe...
Mamlaka nchini Ujerumani zinashikilia boti ya kifahari ya bilionea wa Urusi, Alisher Usmanov yenye thamani ya Sh trilioni 1.4.
Hatua hiyo imekuja siku mbili baada ya Umoja wa Ulaya (EU) kumuwekea vikwazo alivyodai vina lengo la kumchafua, na kwamba atapambana kulinda heshima yake.
Vikwazo...
Mmiliki wa Klabu ya Chelsea, Roman Abramovich
Mmiliki wa Klabu ya Chelsea, Roman Abramovich anatarajiwa kushawishiwa kukubali kuiuza klabu hiyo, ikielezwa kuna ofa tatu zitatolewa wiki hii.
Kumekuwa na presha kubwa kwa bilionea huyo kuiuza Chelsea kutokana na ukaribu wake na Rais wa Urusi...
Tajiri wa kirusi Roman Abromavich anayemiliki club ya Chelsea ya England ameikabidhi timu hiyo kwa Bodi ya wadhamini kufuatia vikwazo vya kiuchumi ilivyowekewa nchi yake.
Source: BBC
----
Mmiliki wa Chelsea FC, Roman Abramovich ametangaza kujiweka kando na majukumu ya uongozi ndani ya klabu...
Wapenzi wa timu ya Chelsea na Bilionea Tajiri wenu Roman Abromavich mnachangia mgogoro wa Ukraine bunge uingereza lataka mali za bilionea huyo zikamatwe na anyanganywe timu ya Chelsea kwa sababu yeye rafiki mkubwa wa Putin na ana uhusiano na biashara zake na Russia zinazotakiwa kuwa freezed za...
Mke wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu wa madini mkoani Arusha, marehemu Erasto Msuya, Miriam Mrita ameeleza sababu na namna alivyohusika na mauaji ya wifi yake, Aneth Msuya.
Miriam ambaye ni mshtakiwa wa kwanza katika kesi ya mauaji hayo ya wifi yake huyo Aneth aliyeuawa Mei 25, 2016 kwa...
Hatima ya maelezo ya onyo yanayodaiwa kutolewa na mke wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu wa madini, marehemu Erasto Msuya maarufu kama Bilionea Msuya, Miriamu Mrita itajulikana leo Jumatatu Februari 21, 2022 wakati Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam itakapotoa uamuzi wake.
Miriam ambaye...
1. Ni kwanini mlianza Kudhamini kabla ya Kuingia Mkataba na TFF tarehe 23 Novemba, 2021?
2. Kama mliingia rasmi Mkataba na TFF tarehe 23 Novemba, 2021 ni kwanini mpaka hii Leo mnasitisha nao Mkataba hamjawalipa Pesa ya Awali na hata Vilabu vyote husika (ukiiondoa Simba SC yenye Akili na Watu...
Kundi la vijana nchini Nigeria, chini ya mwamvuli wa Bunge la Vijana wa Kaskazini, limetoa wito kwa mfanyabishara tajiri zaidi Afrika Aliko Dangote, viongozi wengine wa wafanyabiashara na wataalamu kuingilia kati uchaguzi wa rais wa 2023.
Vijana hao wanasema kuwa uzoefu wao itasaidia kuleta...
Wakati joto la uchaguzi wa Kenya likipanda Aliyekuwa Waziri wa Utali wa Tanzania Nyarandu ameonekana akiwa na Bilionea wa Uingereza pamoja na msaidizi wa Ruto kwa jina Sudi wakizuiwa kwenye uwanja wa ndege Nairobi. Inasemekana Nyarandu na Bilionea huyo walitokea Tanzania kwa ndege ya kukodi na...
YALIYOJIRI SIMANJIRO:
Mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite nchini Tanzania, Saniniu Laizer amechangia Sh5 milioni za ujenzi wa ofisi ya chama cha walimu Tanzania (CWT) ili kuboresha utendaji kazi wa walimu.
Laizer maarufu bilionea Laizer ametoa fedha hizo Jumamosi Oktoba 30, 2021 kwenye...
Utajiri ni hali ya kuwa na mali au pesa nyingi . Mara nyingi utajiri hupimwa kwa wingi wa pesa alizonazo mtu mfano , kiwango kikianzia milioni 100 mtu huyo huitwa milionea, kikianzia milioni 1000 mtu huyo huitwa bilionea, Mtu mwenye utajiri huitwa TAJIRI na mtu asiye na utajiri (mali au pesa...
One of the richest bloggers in Africa Forbes ilinukuu.
Ukimuona simple tu wa kawaida lakini ana hela ndeefuuu na nyingi sana.
Utajiri wake unakadiriwa 3-5 Millions US dollars. Vyanzo vingine vya uhakika na kuaminika vinadai anaweza kuwa na utajiri hata zaidi ya iyo dollar million 5.
Ni kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.