bilionea

  1. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    Kwamba pesa siyo kila kitu, sawa lakini hakikisha unazipata kwanza ndipo uongee huo upuuzi wako - Warren Buffet

    Pesa bila mikakati sio kila kitu ni pesa. Ili muamini;hoja yangu,tokea tumekusanya za Tozo kipi kimefanyika tukaanbiwa hiki ni Ile Tozo yenu? Mbona mwananchi moja moja anazidi kudidimia? Gesi juu Petroli juu, mafuta ya kula juu. Sasa kuanzia tarehe 8/09/2921 ukihamisha tu pesa benki kwenda benk...
  2. MNGONI ORG

    Diamond Platnumz mali anazotambia akizigeuza fursa atakuwa bilionea wa kwanza kijana Afrika

    Na Andrew Chale(MNGONI ORG) Msanii wa muziki wa kizazi kipya Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz ambaye kwa sasa amekuwa akizidi idadi kubwa ya mashabiki amekuwa ndo msanii anayezungumziwa kila kukicha kufuatia kupost vitu vya kifahari. Msanii Diamond amekuwa akipost magari na majumba pamoja na...
  3. Pascal_TZA

    Bilionea wa mpunga mkulima aliyeitwa na Bill Gate, gari za kifahari, jumba kiwanda

    Karibu nikukutanishe na mkulima kutoka Jijini Mbeya Rafael Saimon Ndelwa, Mmiliki wa Kampuni ya Rapha Group iliyo Uyole Mkoani hapo. Rapha ni miongoni mwa Mabilionea wa Mkoa wa Mbeya na utajiri wake unatokana na Kilimo cha mpunga, kilimo ambacho kilimfanya Bilionea Bill Gate amuite ili waweze...
  4. J

    Freeman Mbowe ni bilionea pekee aliyebakia kwenye siasa za majukwaani. Je, atapigania Katiba Mpya hadi mwisho?

    Mabilionea wengine walishaachana na siasa za rejareja wakiwemo Rostam Aziz, Mo Dewji, Yusuf Manji na Mkono na sasa amebakia " MWAMBA" Freeman Mbowe wa Chadema. Je, Mwamba atatuvusha kwenye katiba mpya au atatuacha njiani? Nawasalimu kwa jina la JMT.
  5. William Mshumbusi

    JK alimleta Dangote, Rais Samia mlete Elon Musk, bilionea namba moja duniani ambaye mabilioni yanamchanganya na anayewaza kuwekeza Mars

    Utajili wa Dangote ni mkubwa Sana kwa Afrika. Kwa uwekezaji wake wa kiwanda kimoja tu Cha cement alifanikiwa Sana kuukuza uchumi na kupúnguza Bei ya cement na kuikuza sekta ya ujenzi Tanzania. Ila Kuna ili jini la sasaivi tajili lisiloshikika duniani Mtengenezaji wa gari la umeme Tesla na...
  6. J

    Baada ya kutoka Mo Dewji, Rostam Aziz na Freeman Mbowe kuna Bilionea gani aliyebaki Bungeni?

    Hapa nazungumzia mabilionea wenye uwekezaji hadi mashariki ya mbali na Ulaya siyo hawa wenye mabasi malori na guest houses. Wote tunajua mabilionea Mo Dewji, Rostam Aziiz na Freeman Mbowe walikuwa wabunge na sasa wanaendelea na biashara zao huku wakichochea ukuaji wa uchumi kwa vitendo kupitia...
  7. Sam Gidori

    Bilionea wa Japan anatafuta watu 8 kwenda naye mwezini

    Hii ni bahati ya mtende kuota jangwani! Bilionea mmoja nchini Japan anatafuta watu 8 kutoka kote duniani watakaomsindikiza kwenda mwezini mwaka 2023 katika safari ya kibinafsi. Bilionea huyo, Yusaku Maezawa mwenye umri wa miaka 45 aliyejipatia utajiri wake kupitia fasheni mtandaoni, alitangazwa...
  8. K

    Bilionea wa China, Jack Ma adaiwa kutojulikani alipo kwa zaidi ya miezi miwili tangu alipoikosoa Serikali na Chama Tawala

    Uvumi umezagaa kuhusu wapi alipo bilionea wa China, Jack Ma kutokana na kutojitokeza kwake hadharani kwa muda wa miezi miwili. Jack Ma ambaye ni mwanzilishi wa kampuni ya Alibaba hajaonekana katika sehemu ya mwisho ya kipindi chake alichokianzisha cha ‘Africa’s Business Heroes,’ kinachowapa...
  9. and 300

    Munalove: Bilionea mwenye utu!

    Bilionea huyu tofauti na wengine ana roho ya kipekee katika kusaidia Wasanii (wanamuziki na waigizaji) pia amekua akisaidia watoto wenye matatizo ya kiafya kupitia taasisi yake (Foundation). Nikutakie heri ya mwaka 2021. PENDEKEZO: Tunaomba anzisha hospitali ya kusaidia watoto (Muna Children's...
  10. G Sam

    Bilionea wa Kirusi akutwa akiwa amefariki dunia ndani ya hoteli Zanzibar

    Mambo ndiyo kama hivi wadau! ========== Bilionea wa Kirusi, Igor Sosin amefariki kwenye mapumziko mjini Zanzibar akiwa na mwanae wa kike, Taisia pamoja na mwanamke ambae hajafahamika. Hii ni miaka mitano tangu mtoto wake wa kiume, Egor alipomnyonga mke wake wa pili na waya wa simu mwaka 2015...
  11. Mlaleo

    Bilionea wa Kiarabu azungumzia undugu haswa wanaoutaka na Israel

    ''Kila mtu anazungumzia na wengine humuuliza kuuliza jinsi waarabu watakavyofanya biashara na Waisrael au jinsi gani watafanyaje? Yeye amesema hapana sina mpango wa kufanya Biashara na Israel, tunaweza kwanza kukutana, kama wototo wetu wanaweza kukutana na watoto wenu! tunaweza kufahamiana...
  12. Analogia Malenga

    Bilionea Ginimbi atazikwa na gunia la dola

    Marafiki wa milionea raia wa Zimbwabwe, Genius Kadungure aliyejulikana kama Ginimbi kwa muktadha wa kijamii, wamesema atazikwa na gunia lilojaa Dola, vyombo vya habari nchini humo vimeripoti. Mfanyabiashara huyo aliyeishi maisha ya kifahari aliacha maagizo hayo kwa wanachama wa "all-white...
  13. Supermind

    Nimeahidiwa Q-Net kuwa bilionea baada ya miaka mitano

    Iko hivi; Kuna dada fulani hivi tuliwahi kufahamiana huko nyuma, alinipigia simu na kunijulisha kwa kina kuwa kuna mchongo fulani hivi kashawishika kujiunga nao ni wa Q-net. Wenyewe unatakiwa mtu unahudhuria semina zao mbili then utatakiwa kujiunga kwa shs. Milioni tano na laki tano...
  14. G Sam

    VIDEO: Maandamano makubwa nje ya lango kuu la Mererani muda huu baada ya mlinzi wa ofisi ya bilionea Laizer kuuawa kimizengwe

    Mererani kunachafuka baada ya sintofahamu ya mlinzi wa ofisi ya bilionea Laizer kuuawa kimizengwe ambapo inadaiwa aliuliwa na vyombo vya ulinzi. Hii ni kutokana na msimamo wa ndugu zake ambao wamekataa kuchukua mwili kwa ajili ya maziko
  15. Analogia Malenga

    Charles "Chuck" Feeney ni bilionea ambaye alikuwa na ndoto za kumaliza mali yake yote akiwa hai, kwa kutoa fedha zake zote kwa mashirika ya hisani

    Mfanyabiashara huyo wa Marekani mwenye umri wa miaka 89 , hatimaye amefikia lengo lake siku chache ziliopita alipotoa dola ,milioni 8,000 kusimamia miradi ya hisani duniani. Hivi sasa hana nyumba wala gari na ni maarufu kwa kuvalia saa ilionunuliwa kwa dola 15 pekee. ''Nilikuwa na wazo ambalo...
  16. Pascal Mayalla

    Una Eneo Pembeni ya Barabara?, Ungependa Kuwa Millionaire au Bilionea?. Usiuze Eneo Lako!. Total Kutengeneza Ma Milionea na Ma Bilionea 100 wa DODO!.

    Wanabodi, Hii ni story ya kweli kabisa, true story ya jinsi mtu wa kawaida sana, mwenye eneo tuu pembezoni mwa barabara linalofaa kujenga kituo cha mafuta, anavyoweza kugeuka millionaire au bilionea kupitia fursa ya DODO inayotolewa na kampuni ya mafuta ya Total, ambayo imepanga kutengeneza...
  17. Analogia Malenga

    Bilionea Saniniu Laizer ametembelea Maonesho ya Kimataifa ya Sabasaba

    Bilionea wa Tanzanite Saniniu Laizer leo ametembelea Maonesho ya Kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam na kupokelewa na Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya pamoja na Uongozi wa TANTRADE.
  18. J

    Uchaguzi 2020 Bilionea Daniel Shilla wa CHADEMA atakiwa kuripoti polisi Ifakara baada ya kuandamana bila kibali

    Bilionea wa Chadema Nabii na mtume Daniel Daniel Shilla ametakiwa kuripoti kituo kikuu cha polisi wilayani Ifakara leo asubuhi. Shilla ametia nia ya ubunge jimbo la Kilombero na jana alichukua fomu na kuzunguka na wapambe mjini humo. Maendeleo hayana vyama! Pia soma > Uchaguzi 2020 - Bilionea...
  19. Pdidy

    Bilionea Laizer asimzoee sana Millard Ayo na waandishi, akumbuke ya Askofu alipoishia na mabilioni

    Hii ni ushauri kwa aliye karibu na bilionea mpya, Laizer wa Arusha. Aogope sana maana waandishi wa habari watampamba, watamfurahia mpaka mwisho akiwapa vijisenti wakimtangaza. Siku akiishiwa huanika kila kitu na kubakia haamini kama ni wale waliokula naye nyama za ng'ombe na kutapakaa...
  20. msani

    Mawazo yangu kuhusu Bilionea wa Tanzanite

    Nimejaribu kufanya Hesabu Zangu za Darasa la 7 D kuhusu huyu Bilionea mchimbaji mdogo wa madini. Hebu Twende Sawa Hapa na hesabu za Darasa la saba!! Tanzanite thamani yake hupimwa kwa Carats. 1 Carats = 0.0002kg Je 15kg ni sawa na ngapi? = (15kgs x 1 carats) gawa kwa 0.0002kg Hapa jibu ni...
Back
Top Bottom