Mwezi uliopita nlipata bahati ya kutembelea Jiji la Mbeya. Sikuishia Mjini nlienda moja ya Wilaya zilizopo Jijini humo ya Chunya na kufika katika barabara iliyo juu kabisa Katika Afrika Mashariki.
Issue ilikuwa ni kuwasindikiza Jamaa zangu Makaburu toka Kusini mwa Afrika waliokuja kufanya...
Kwa mujibu wa jarida la @forbes, Kanye West ana utajiri wa Dola Bilioni $1.3 na kumfanya kuwa msanii wa Hip Hop mwenye mkwanja mrefu zaidi kwa mwaka 2020.
Asilimia kubwa ya mkwanja huo, Kanye West amesema unatokana na biashara yake ya viatu Yeezy sneakers.
Awali Kanye West aliwapa Forbes...
Mahakama Kuu kanda ya Arusha imetoa miezi kwa pande mbili za familia za aliyekuwa mfanya biashara Marehemu Erasto Msuya maarfu kama Bilionea Msuya zenye mgogoro wa kugombea mali zilizoachwa na Bilionea huyo kukaa meza moja kuondoa tofauti. Kadhalika, Mahakama hiyo imezielekeza pande hizo...
Naona mzee Jack Ma, baada ya kustaafu na kuachia ngazi kwenye kampuni yake ya Alibaba, na kupewa masomo ya "boxing" na Bw. Manny Pacquiao yupo tayari kuingia kwenye ringi na "legend" Floyd Mayweather Jr.!
Naombea hii "bout" iwe ya ukweli na vile vile pesa zitakazo patikana ziende kwenye...
Umofia kwenuuu wanabodi!
Awali ya yote ningependa sana kumpongeza Dc Jerry Muro kwa jitihada zake za kuingilia Kati sakata hili la mali za marehemu .Naomba tuutumie uzi huu kama njia ya kumpa ushauri mheshimiwa DC wa namna ya kushighulika na sakata hili!
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana...
Wiki Iliyopita nilipokuwa Nasafiri kwenda Serengeti na familia kupitia Mwanza, baada ya kutua na AirTanzania uwanja wa Ndege Mwanza majira ya Saa mbili kasoro Asubuhi...nilivutiwa na ndege moja Private Jet (Pichani)iliyokuwa imepaki pembezoni mwa kiwanja kwa ninavyozifahamu ndege (As Rubani wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.