Afya; Kulingana na Shirika la Afya Ulimwenguni, ni hali ya ustawi kamili wa kimwili, kiakili na kijamii na sio tu ukosefu wa magonjwa na udhaifu.
Kuna aina mbalimbali za afya kama vile afya ya kimwili, kiakili, kiroho, kihisia na kijamii. Afya inaweza kukuzwa kwa kuhimiza shughuli zenye afya...