bima

  1. M

    SoC03 Tanzania: Katiba Mpya sio 'Tatizo', Viongozi wetu wanapatikanaje?!

    Miongoni mwa udhaifu mkubwa wa mfumo wa demokrasia ni nadharia yake ya 'wengi wape'. Nadharia maarufu ya utawala inayotaka kiongozi achaguliwe na kundi kubwa la watu bila kujali wasifu au uwezo wa watu hao kwenye kuchambua ubora wa kiongozi wanayemtaka. Viongozi wengi wanaofanikiwa kuingia...
  2. Zanzibar yazinduwa mfumo wa bima ya kiislam

    Zanzibar yazinduwa mfumo wa bima ya kiislam Jionee mwenyewe: Bima ya Kiislam uendeshwaji wake huitwa "Takaful: nikamuuliza AI ChatGPT anifafanunulie: Ni nini bima ya Takaful? Bima ya Takaful ni mfumo wa bima uliojikita katika misingi ya Kiislamu ambao unalenga kutoa ulinzi na usalama wa...
  3. G

    Hospitali nyingi hawapendi Bima za Afya

    Habari wanaJF. Hospitali nyingi hawapendi kutumia Bima ya afya kwa madai ya kuwa wanachelewesha kulipwa hela zao na hivyo kushindwa kuendesha ofisi. Ukienda na bima wahudumu wengi wanakuwa wakali na hata wakitoa huduma inakuwa mbaya sana. Serikali ni kwanini kuna tatizo hili na mpaka sasa...
  4. SoC03 Ulinzi wa Bima kwa mtu wa tatu

    Utangulizi Maana ya Bima Bima ni mfumo wa ulinzi au fidia ambao unamuwezesha mtu au shirika kulinda mali zao au kujilinda dhidi ya hatari au hasara ambazo zinaweza kutokea. Kuna aina mbalimbali za bima mfano bima ya Afya, bima ya vyombo vya moto, bima ya maisha, bima ya moto n.k. Aina ya bima za...
  5. Naibu Waziri asema Bima ya NHIF haina madaraja, Kikao cha Bunge Julai 6, 2023

    NAIBU WAZIRI: HAKUNA MADARAJA KATIKA BIMA YA NHIF Mbunge Aida Joseph Khenani alitoa hoja kuwa Wananchi wanapokata Bima za Afya za NHIF wanawekewa ukomo wa baadhi ya huduma na dawa wanapofika Hospitali hali inayofanya baadhi waone hakuna umuhimu wa kuwa na Bima hiyo. Naibu Waziri wa Afya, Dkt...
  6. Serikali ipambane Gharama za Bima ya kuisafirisha mizigo zilipwe kwa kampuni za Tanzania kuongeza pesa za Kigeni

    Katika biashara ya kuagiza na kusafirisha mizigo nje ya nchi kuna gharama za bima ya mzigo (Insurance). Kwenye terms za kimataifa za usafirishaji kipengele cha CIF (Cost Insurance and Freight). Mnunuzi au muuzaji hukubali kulipa bima ili mzigo usafiri salama na kukingwa na majanga yoyote...
  7. Upigaji: Vigogo wa Shirika la Bima la Taifa wakabiliwa na mashitaka 365

    Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bima la Taifa (NIC), Samuel Kamanga na wenzake sita wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakikabiliwa na mashitaka 365 yakiwemo ya kughushi na kutakatisha fedha. Wakisomewa mashitaka hayo mbele ya Hakimu Mkazi Kisutu...
  8. Kinachofanywa na watu wanaojiita maafisa wa bima Kwa waendesha pikipiki wilaya ya Mbogwe kinapaswa kuangaliwa kina sasa

    Kinachofanywa na maafisa bima wilaya ya Mbogwe kinatia mashaka sana kwa wamiliki wa pikipiki na kwa waendeshaji wengine wa pikipiki kwa jina maarufu bodaboda katika wilaya ya Mbogwe. Niliwahi kutoa malalamiko ya aina hii lakini Kwa Sasa naona ni kama historia inajirudia. Ukusanyaji wa hela za...
  9. Zuio la usajili wa Polyclinics (Kliniki za Kibingwa) mpya katika mfuko wa bima (NHIF): Waziri Ummy Mwalimu atoe majibu

    SINTOFAHAMU YA ZUIO LA USAJILI WA POLYCLINICS (KLINIKI ZA KIBINGWA) MPYA KATIKA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF): WAZIRI UMMY MWALIMU ATOE MAJIBU KWA WADAU Kumekuwa na kilio cha Wadau katika sekta ya afya juu ya zuio la kusajili Vituo vya kutolea huduma maarufu kama Polyclinic na...
  10. Naishauri Serikali itoe ruzuku Bima ya Afya ya watoto

    Serikali hii yenye fedha nyingi mno kiasi cha baadhi ya watu kujichotea mihela bila aibu hata hofu ya Mungu haiwezi kushindwa kutoa ruzuku kwenye bima ya afya ya watoto. Nilimsikia waziri wa afya akilalamika kuwa michango ni bilioni 4 wakati matumizi ni bilioni 40 (kwa mwaka?). Serikali hii...
  11. Rais Samia atoa siku 60 kwa Waajiri kulipa malimbikizo ya Bima ya Afya

    Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhakikisha anasimamia madai ya Bima ya Afya na tatizo la waajiri kutowasilisha michango ya Wafanyakazi. Akizungumza kuhusu Bima ya Afya Rais Samia amemuagiza Waziri Mkuu Majaliwa kusimamia madai ya watoa huduma yanayopaswa kulipwa...
  12. R

    SoC03 Kitambulisho cha Taifa kiboreshwe ili kuendana na ulimwengu wa kidigitali

    Kitambulisho cha taifa hutumika kuthibitisha uraia wa mwananchi kwenye taifa husika. Lakini namna ulimwengu unavyoshuhudia ukuaji wa kasi kwenye sekta ya teknolojia ni vizuri kuboresha kitambulisho cha taifa kwa kukiwezesha kubeba taarifa nyinginezo muhimu pamoja na nyaraka za mhusika. Itasaidia...
  13. Kutibiwa meno kwa bima

    Meno yamekuwa tatizo kwangu kwa muda sasa, wapi naweza pata hospitali nzuri inayopokea wagonjwa wa meno wenye bima?!
  14. B

    Naibu kamishina TIRA apongeza mkakati wa benki ya CRDB kuchochea ujumuishi wa bima kupitia CRDB wakala

    Naibu Kamishna wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA), Khadija Said (watatu kushoto) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kampeni ya “10 na Kitu” ya Benki ya CRDB inayolenga katika kuadhimisha miaka 10 ya huduma za CRDB Wakala. Wengine pichani ni Mkurugenzi wa Wateja Wago na wa Kati wa Benki ya...
  15. K

    Mwenye takwimu za Mfuko wa Bima ya Taifa anisaidie

    Kama kuna mtu ambaye anazo au anafahamu sehemu ya kupata stats za bima ya taifa. Stats ni kama Idadi ya waliojiunga, umri wao, kiasi cha malipo waliokusanya, malipo bima iliyolipa. Kuna mawazo ninayo kwa serikali lakini ningependa nipate kwanza hizi data ni kwa faida ya wote. Pascal Mayalla
  16. ACT Wazalendo wapendekeza Bima ya Afya ifungamanishwe na PSSSF na NSSF

    Hatua hiyo inafuatia Ukaguzi uliofanywa na CAG kubaini hasara ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), imeongezeka kutoka Tsh. Bilioni 104 mwaka 2020/21 hadi kufikia Tsh. Bilioni 205 mwaka 2021/22. ACT imependekeza Mifuko hiyo ya Hifadhi ya Jamii iwe na Fao la Matibabu ambapo 20% ya Michango...
  17. T

    Wataalam, kwanini mnadhani kila kitu kinabadilika na kuwa ghali? Ni kuupiga tafu uchumi unaokufa?

    Ni kama mambo yamebadirika sana na hakuna anayewaza juu ya mizigo hii mizito kwa wananchi Tulianza na umeme, Tsh 27,000 hadi 300,000+ Nafaka kutoka bei ya kila mtu anunue akale na kwa Milo yote mitatu, na sasa ni wachache sana wanaokula Milo mitatu kama siyo viongozi tu na wenye nafasi hapo...
  18. Dkt. Ritta Kabati Kutoa Bima za Afya kwa Watoto wenye Mahitaji Maalum Mkoa wa Iringa

    MBUNGE MHE. DKT. RITTA KABATI KUTOA BIMA ZA AFYA KWA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM MKOA WA IRINGA MBUNGE VITI MAALUM MKOA WA IRINGA (CCM), Mwenyekiti wa Wabunge wa CCM Iringa, Mjumbe Bodi ya Wasanii COSOTA na Balozi wa Walemavu Bungeni Mhe. Dkt. Ritta Kabati ameahidi kutoa msaada wa jumla ya...
  19. Afya ya Wananchi ni kitu muhimu kuliko vyote. Kwanini tusitoe ruzuku kwenye mifuko hii ya bima za afya zinazosuasua?

    Afya ya wananchi ndiyo kitu muhimu kuliko vyote. Shughuli zote za uchumi wa nchi zinategemea sana afya za wazalishaji kuwa na afya njema ya kimwili, kisaikolojia, kiakili na kiroho. Hii mifuko ya bima za afya ambazo ndiyo tegemeo kuu kwa afya za wananchi zimekuwa zikisuasua kutokana na ukata...
  20. Kagera kuna hali ya hatari, kumezuka ugonjwa wa kutokwa damu puani na mdomoni. Watu 5 wafariki dunia 2 wako hospitali. Serikali ichukue hatua haraka

    Taarifa haijawa rasmi lakini hali iko hivi, huko katika Kata ya Kanyangereko, Wilayani Bukoba Vijijini, kwa marehemu Benjamini. Wiki 2 zilizopita kijana alifariki, kwa kushikwa na homa kali na kutokwa damu mdomoni na puani, baadae mama mzazi akaumwa ugonjwa huo amefariki jana mchana. Kijana wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…