Kumradhi kama kuna ambaye nitamkwaza lakini huu ndio ukweli
Watu wengi wamekuwa na kasumba hii......
Anauchukia uislamu ama ukristo kwa sababu tu asili yake sio Afrika na badala yake ni dini zilizo letwa tu
At the same time anasema sijui dini zetu za asili tunazikataa na kuziona hazifai...
Ripoti hiyo inasema idadi kubwa ya matukio ya ukatili na mateso imetokea katika maeneo yaliyoathiriwa zaidi na migogoro ya kivita ambapo 44% ya mateso yalifanywa na maafisa wa Serikali wakiwemo Jeshi la Polisi na Jeshi la Ulinzi.
Ofisi ya Haki za Binadamu pia imesema kwa kipindi cha Juni 1...
Yaani sina rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu. Ukifanya vizuri hata kama juzi tumetukanana nitakusifia kuwa hapo umefanya vizuri.
Ukikosea hata kama asubuhi nimeamka na wewe na ni mrembo sana nitakuambia ukikasirika shauri yako mi nimeshakuambia. Hata kama ni jamaa,mshkaji,ndugu au rafiki wa...
Mamlaka zinasema kuwa raia 22 wameokolewa kutoka kwa Mashirika ya #BiasharaYaBinadamu huko Laos Kusini-Mashariki mwa Asia pamoja na Raia wa Uganda na Burundi katika operesheni ya kudhibiti biashara hiyo
Haya yanajiri wiki kadhaa baada ya kundi jingine la Wakenya kuokolewa kutoka kwa walanguzi...
Ilisikika sauti toka ndani ya kaburi " Lete dongo, Lete reli, Lete ubao, lete majani". Nilikuwa miongoni mwa watu watano ambao wali bahatika kuchaguliwa kuingia ndani ya kaburi kumzika huyu shangazi yangu,na ndiyo ilikuwa mara ya Kwanza kufanya hivyo
Amekufa akiwa na Miaka 96 yaani bado minne...
Muswada huo uliowasilishwa Bungeni una mapendekezo ya mabadiliko ya sheria ambazo endapo zitapitishwa, kwa mara kwanza wananchi wake wataweza kujitolea viungo vya mwili na kuruhusu upandikizaji wake.
Gharama za upasuaji nje ya nchi ikiwa ndio chaguo pekee kwa sasa ni Tsh. Milioni 69.9 kiasi...
Toka kujielewa kwangu mimi nimependa sana kurahisisha kazi ila kama tujuavyo mashine zinaturahisishia kazi ila sidhani kama inazidi miujiza najua kuna wataalamu wengi humu waje watueleze
mimi binafsi napenda miujiza ya kunyanyua vitu bila kushika ni jinsi gani nitafanya hili bila kutumia...
Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Damas Ndumbaro amesema jumla ya malalamiko ya wananchi kuhusu uvunjifu wa haki za binadamu 6,928 yalipokelewa katika kipindi cha mwaka 2018 hadi 2019.
Dk Ndumbaro ameyasema hayo wakati wa kilele cha Maadhimisho ya miaka 20 tangu kuanzishwa kwa Tume ya Haki za...
Kauli iliyotolewa na Mkuu wa wa Dar, Amos Makala, kwa wazazi wa watoto kuwa atakayemkosa mtoto wake nyumbani, basi anapaswa aende kituo cha Polisi au hospitali kwenda angalia kama yuko huko, ni kauli ya vitisho visivyokuwa na msingi na ni kauli ambayo inakiuka Haki za Binadamu.
Najua Mkuu wa...
Wabunge wamebariki watuhumiwa watakaokamatwa na kutiwa hatiani kwa kosa la usafirishaji wa binadamu, kufungwa jela maisha ili kuimarisha jitihada za serikali za kupambana na ongezeko la uhalifu wa usafirishaji wa binadamu.
Aidha, watakaotiwa hatiani watakabiliwa na adhabu ya kulipa faini ya Sh...
Kwa sasa Dar es Salaam ni kama imeanza kutikisika, haijafikia kiwango hicho lakini kiuhalisia kuna mambo hayako sawa hasa yanayohusu ulinzi.
Hawa vijana wa Panya Road sijui niseme wanachekewa au mamlaka hazijapata jibu hasa la kudili nao, wenyewe mamlaka za ulinzi zinajua zinachokifanya.
Juzi...
Jeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.
Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa...
Nangoja kwa hamu sana kusoma maoni yenu ya kitaalamu enyi wajuvi wa JamiiForums, kwani nimedokezwa tendo la mwanadamu kujisaidia haja kubwa Wazaramo wanasema kuukweka) pale tu akikata roho ni la kisayansi zaidi. Hivyo nitafurahi nikielimishwa juu ya hili.
JUMLA ya silaha 997 zimekamatwa kutokana na oparesheni mbalimbali za kuzuia na kutanzua uhalifu mkoani Morogoro kuanzia Januari mwaka 2019 hadi Juni mwaka huu.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Fortunatus Musilimu alisema hayo juzi katika taarifa yake kwa mkuu wa mkoa huo, Fatma Mwasa...
Afya ni msingi wa kila binadamu katika maendeleo ya kila siku hvyo bas tunatakiwa kulilinda kwa nguvu zote.
Lakini ni ngumu kuilinda kutokana na mazingira na maisha ya kila siku kwamaa vyakula tunavyokula na kadharika.
VYAKULA vipo vyakula ambazo sio vzuri kula ila kwenye maisha yetu ya kila...
samia_suluhu_hassan
Nimesikitishwa na taarifa za kifo cha Malkia Elizabeth II. Kwa niaba ya Watanzania wote, natuma salamu za pole kwa Familia ya Kifalme na raia wote wa Uingereza. Malkia atakumbukwa duniani kote kama nguzo ya Amani, Umoja na Utulivu.
Ripoti iliyotolewa na Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, imeishutumu China kwa ukiukaji mkubwa wa Haki za Binadamu baada ya kuwaweka kizuizini waumini wengi wa Kiislamu katika mji wa Xinjiang.
Mashirika ya kutetea Haki za Binadamu yanaishutumu Beijing kwa dhuluma dhidi ya Wauyghur...
1. Ikiwa mtu amekukasirikia na ukatulia, anaweza kuwa na hasira zaidi. Lakini hatakuwa na jinsi zaidi ya kujionea aibu.
2. Ikiwa mtu anaendelea kuzungumza na huwezi kuingia kwenye mazungumzo,jifanye unaangusha kitu chini (ufunguo, kalamu, nk), jifanye unainama ili kukichukua na kuanza...
Kama ulidhani umemaliza kusikia kuhusu Binadamu wenye uthubutu duniani basi nikwambie hujaona kitu bado 😃, hii ni baada ya Watu watano kukamatwa na Polisi nchini India kwa tuhuma za kutengeneza kituo bandia cha Polisi na kuendesha shughuli zote za Jeshi la Polisi kwa miezi nane bila kugundulika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.