Binadamu ni watumwa, ila wanyama na ndege,samaki wapo huru, wanaishi maisha yao. Ndio maana wanyama, ndege na samaki hawana shule, na hawaajiliwi ila wanakula maisha kama kawa.
Asili ya dunia imemuandaa mwanadamu kuwa mtumwa wa kutekeleza malengo ya wale walio mtuma.
Uwezo wake wa akili,ndio...
Hivi karibuni Marekani ilitoa “Ripoti ya Haki za Kibinadamu katika Nchi mbalimbali Duniani”, na kulaani baadhi ya nchi kwa kutofanya vizuri katika kulinda haki za binadamu. Marekani hutoa ripoti kama hiyo kila mwaka. Lakini ukweli ni kwamba, utekelezaji wa haki za binadamu katika nchi moja...
Vitabu vitakatifu vimeandika kuwa Mwenyezi Mungu aliumba vitu vinavyoonekana na visivyoonekana, inaaminika kuwa vitu visivyoonekana ni vingi kuliko vinavyoonekana.
Viumbe hao wa ajabu waishio angani wanaitwa Aliens. Inaaminika wana muonekano kama binadamu isipokuwa hawafanani moja kwa moja na...
Elimu ni kitu kizuri, ila changamoto yake inaondoa ule uelewa wa asili ulio zaliwa nao (geniusism) na kupandikiza mawazo ya watu wengine.
Na hii inapelekea kupunguza idadi ya wavumbuzi kama enzi za kina Isack Newton.
Tunaamini akili ulio zaliwa nayo, ndiyo yenye mapinduzi ya kweli kifikra na...
Jioni moja tulivu, siku ya tarehe 16 Mwezi wa 8 mwaka 1920 katika mji wa Andernach, Germany kilisikika kilio cha mtoto mdogo wa kiume ambae ilikuwa ni mara yake ya kwanza kuja duniani. Mtoto huyo alikuja kuwa Mfasihi na mwandishi bora wa mashairi wa kiamerika na kujishindia tuzo mbali mbali za...
Swali langu ni hili, je, Mungu ataumba binadamu wengine baada ya kukifuta hiki kizazi cha tatu? Au baada ya dunia kufikia mwisho na sisi kukutana na doom ambayo Mungu ameipanga mambo ya binadamu ku-exist duniani yatapotea kabisa?
=======================
Salamu kwa wanajukwaa, nawasalimu wote...
Katika vitabu vitakatifu Abraham au Ibrahim alipewa ahadi na mungu ya kumbariki uzao mkubwa kama mchanga wa baharini kwa sharti Moja tu .akubali kuondoka katika nchi ya baba zake ukaldayo aende kuishi kwenye nchi mpya kabisa ya kanaani.
Pamoja na ahadi nyingine kedekede kama atakuwa tajiri wa...
Mnakuwa kama baba mwenye nyumba ambaye hana chanzo chochote cha kumuingizia kipato tofauti na nyumba kila muda anafokea wapangaji.
📌 Mnapostaafu mnaanza kutusumbua kuanza kutafuta watu wakuwashauri et ufanye biashara gani? Mbona ukufanya hivo mapema ? Me nawakumbusha tu.
📌 Watumishi mnajishau...
1. Kunywa kitu kichungu au kikali
Vitu hivi ni kama ndimu, limao na hata pombe kali
2. Kufika kileleni, hii ni kwa wote lazma ukaze mwili kwelikweli, na njia rahisi ya kujua kama unamkojoza mkeo ni hisia hizi.
3. Kupiga mpira kichwa
Hakuna binadamu aliwahi kupiga mpira kichwa ukaona...
Ndugu zangu, jana nilienda sehemu kumsalimia shangazi yangu, sasa baada ya kufika pale nimemkuta mume wake akiwa kitandani amepooza hawezi kabisa kutembea ni miaka mitano sasa imepita toka awe ndani.
Kifupi nina muda mrefu sana sijamuona mumewe japo hili tatizo alilonalo nilisha lisikia muda...
Wanajamvi poleni na mihangaiko ya hapa na pale
Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara hapo zamani tunaambiwa na kusimuliwa MUNGU alikuwa akiongea na watu kwa ishara
Mfano
●Mussa alitokewa na kichaka kikiwaka moto
●Pia adamu aliisikia sauti ya MUNGU
Je hii sababu ni nn au ndio binadamu wa sikuizi...
Katika wazawaza yangu hakika najua viumbe kama pepo na malaika wanaona binadamu ni kituko sana.
Sababu kila kitu kapewa ila anafanya ujinga mtupu mara kakimbizwa na mbwa akilewa aseme ujinga, aige na kufanya michezo hatarishi.
Halafu sielewii wale malaika ambao wali tamani wana za binadamu...
Habarini. Ukiangalia mwili wa binadamu na wanyama utaona kuwa ni mpangilio tu wa elements ambazo zipo kwenye mazingira tunayoishi. Asilimia zaidi ya 60 ya binadamu anaundwa na Oxygen. Elements zingine zinazofuata ni Carbon, Hydrogen na Nitrogen. Zingine zilizopo kwa uchache ni sodium , potasium...
Habarin guys,
Najiuliza ikiwa Rais ama viongozi wa duniani wanakuwa wana muda wa kupitia kero za wananchi na hata kuongea nao na kuangalia sheria ambazo zimepitwa na wakati ila Mungu hana huo muda kabisa.
Hii inadhihirisha binadamu ni werevu kuliko Mungu? Kama Mungu hana ratiba ya kuja hata...
#VitaminD hupatikana kwenye Vyakula vichache sana vya asili kama Samaki, Maini, Mayai (hasa ya Kienyeji) na Jibini. Pia, Mwanga wa Jua huzalisha Vitamini D ya asili inayosaidia katika vitu vifuatavyo
#Mifupa: Vitamini D huusaidia mwili kuongeza ufyonzaji na matumizi ya Madini ya #Calcium...
Fikra au Mawazo. Speed yake haijaweza pimwa mpaka sasa. Ukikaa ndani ya sekunde unaweza ukawaza umefika Ulaya na kurudi Tz. Ilhali hujanyanyua hata nyusi.
Unaweza waza mambo kadhaa ndani ya musa mfupi sana au ukaenda sehemu na lazima kurudi ndani ya muda huo huo mfupi kwa mawazo. Hata unaweza...
1. Mtu anayejua, na anajua kwamba anajua. Huyu ndiye mwanazuoni, basi mzingatieni na mjifunze kwake.
2. Mtu anayejua, lakini hajui kwamba anajua. Huyu amesahau, basi mkumbushe kimya kimya.
3. Mtu ambaye hajui, na anajua kwamba hajui. Huyu ni mwanafunzi basi msomeshe mfululizo maana siku moja...
Nasilsiniz JF üye?
Naomba unisamehe maana kwa haraka haraka hata mimi najishangaa kuuliza hili swali, kwasababu it's a No-brainer right?, Namaanisha ofcourse binadamu sisi sio kama wanyama wanaotawaliwa kwa instincts, sisi tuna free will right?, Maana tokea nianze kujitambua mpaka sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.