Ndugu zangu mimi ni mtanzania, ila watanzania tunahitaji mabadiliko makubwa sana hasa kwenye sekta ya ajira.
Watanzania tunaringa, wavivu japo siyo wote ila asilimia kubwa tupo hivyo, nenda kwenye mabank, hosptalini, nida, manispaa, tra kwenye viwanda nakadhalika, aiseeh utachoka.
Alafu umkute...
Kama viongozi wameshindwa kuondoa somo la Historia linalopotosha ukweli wa asili ya binadamu wanaweza kutetea rasilimali zetu?
Kama viongozi wetu wanaamini Afrika haiwezi kuendelea bila wazungu na kwao mzungu yoyote ni tajiri na mtu mwema; wataweza kulinda rasilimali zetu mbele ya wazungu...
Kwa mujibu wa Kamishna wa Haki za Binadamu wa UN, hatua hiyo inafuatia uamuzi wa Serikali ya Rais Yoweri Museveni kutohitaji kuendelea kwa Makubaliano ya uwepo wa Ofisi hizo nchini humo.
Katika taarifa yake, UN imetilia shaka kukosekana uwazi katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka 2026...
Maisha ya mtu na mtu hapa duniani na utawala wa nchi, unamahusiano sana na Mungu ni nani kwetu.
Isaya 49:15
Je! Mwanamke aweza kumsahau mtoto wake anyonyaye, hata asimhurumie mwana wa tumbo lake? Naam, hawa waweza kusahau, lakini mimi sitakusahau wewe.
Mungu anasema hawezi kukusahau wewe, pia...
Ni saa tatu za asubuhi, nikiwa nafua nguo nje ya nyumba yangu. Nashitushwa na ujio wa ghafla wa askari mgambo wanne wenye nyuso za shari shari wakiwa wameambatana na mwenyekiti wa mtaa. Japokuwa mimi ni kiziwi. Askari mgambo hawa wanalazimisha kuzungumza na mimi kwa amri tu kama vile wanaongea...
VYOMBO VYA HABARI: SAUTI YA HAKI ZA BINADAMU
Imeandikwana: MwlRCT
UTANGULIZI
Je, unajua kuwa ufisadi na ukiukaji wa haki za binadamu ni matatizo makubwa yanayoikabili dunia leo?
Haki za binadamu ni haki ambazo kila mtu anastahili kuwa nazo bila kujali jinsia, rangi, dini, au hali yoyote...
Waislamu na Wakristu uhubiri kwamba kila jambo analolifanya mwanadamu na kila jambo analo fanyiwa mwanadamu ni mipango ya Mungu.
Kama hoja hii ndio msimamo wa mafundisho ya kikristo na kiislamu then kwanini wakristu na waislamu HUTUBU DHAMBI ZAO kwa Mungu pindi watendapo dhambi?
Kwa sababu...
Maswali yanayojibiwa na hichi kitabu ni Mengi sana, mfano...
01. Upendo vs Maovu
Biblia imeelezea sana hili neno upendo, faida zake na hasara zake, ni kwanini mwanadamu anapenda na n.k
Tabia ya mwanadamu ni ubinafsi, uchoyo, wivu na mengine mengi
Historia kubwa ya uwovu inapatika humo, taifa...
NI VYEMA MAFUNDISHO KAMA YA BINADAMU WA KWANZA ALITOKANA NA NYANI YAONDOLEWE KWENYE MITAALA YETU YA ELIMU KWASABABU YANACHOCHEA UBAGUZI WA RANGI KWA WATU WEUSI
UTANGULIZI
Ubaguzi wa rangi, kwa maana fupi ni hali ya kumpagua binadamu mwenzio kwasababu ya rangi yake ya ngozi. ambapo kwa mara...
UTANGULIZI
Biashara haramu ya usafirishaji binadamu ni kitendo cha kusafirisha binadamu kwa njia ya nguvu, tishio,kulazimishwa, kudangaywa au utekaji nyara kwa kusudi la dhuluma. Hujumuisha kuajiri kwa nyonya, kuhamisha, kusafirisha, kuhifadhi au kupokea watu. Lengo la biashara hii ni haramu ni...
Kituo cha mwendokasi Kimara pia usimamizi ni mbovu sana, yaani unakuta magari yapo ya kutosha, abiria wanajaa kituoni kwa zaidi ya saa mbili.
Madereva wanapitapita tu kama hawaoni kinachoendelea,kuna muda magari yanaondoka yakiwa tupu kituoni, yanaacha abiria.
Vituo vya DART Mwendokasi...
Kesi itakayotolewa uamuzi Leo ni kesi iliyofunguliwa na Mwanaharakati Bob Chacha Wangwe dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo inapinga Vifungu vya Sheria ya Taifa ya Uchaguzi ambavyo vinaruhusu wakurugenzi kuwa wasimamizi wa uchaguzi, ikidiwa kuwa 'makada wa Chama Cha Mapinduzi'...
Wote tunafahamu bidhaa za bandia zimetengenezwa kwa uhodari wa kuiga bidhaa halisi hasa kimuonekano ili zifanane na bidhaa halisi, lakini kwenye matumizi, bidhaa bandia hujitofautisha kwani huwa ni below standards na hapa ndio huwa tunagundua kuwa bidhaa fulani ni fake na zaidi huwa hazidumu...
Usafirishaji haramu wa binadamu ni tishio kwa haki ya uhuru na usalama binafsi. Pia ni tishio kwa haki nyingine na uhuru kama vile haki ya kuishi, haki ya kutokubaguliwa, uhuru kutokuwa mtumwa, uhuru dhidi ya mateso, uhuru dhidi ya ukatili, uhuru wa kuungana, uhuru wa kusafiri, haki ya afya...
Haki za binadamu ni msingi muhimu katika maendeleo na ustawi wa jamii. Ukiukaji wa haki za binadamu si jambo la kuchukulia mzaha, na inahitaji tahadhari na hatua thabiti. Katika muktadha wa Tanzania, takwimu zinaonesha umuhimu wa kukabiliana na suala hili kwa dhati.
Katika Ripoti ya Haki za...
Nimekuwa nasoma biography ya Malcom X. Huyu mtu alikuwa wa pekee sana. Hapa nataka kuzungumzia hii hotuba yake(The ballot or the Bullet) ukweli sijawahi sikia hotuba yenye nguvu namna hii.
Hotuba nyingi bora huwa za kujifanya tu, wanasiasa wakitumia maneno makubwa, wakiongea wanayotaka watu...
Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imekabidhi eneo la ujezi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kwa Mkandarasi ambaye ni CRJE (East Africa) Ltd na Mshauri Elekezi Aru Built Environment Consulting Company Ltd (ABECC) katika eneo la Lakilaki...
Ripoti ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (#THBUB) imesema kifo cha aliyekuwa Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Nusura Hassan Abdallah kilitokana na shambulio kali la kupanda kwa sukari na upungufu wa damu.
Kifo cha Nusura kilihusishwa na ajali ya gari iliyomhusu Dkt. Festo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.