binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kali linux

    Wataalamu mlobobea na dawa za binadamu nisaidieni kuelewa hii relaxation effect iliopo kwenye dawa za 'Action'

    Hello bosses and roses..... Kuna muda nilikua napata sana maumivu ya kichwa ila hospitali hawakunipa majibu yoyote ya kunisaidia. Hii ikafanya nitafute dawa tu ambayo itakua inanituliza maumivu ya kichwa yakianza. Nilijaribu panadol ikafeli, dawa tatu ikafeli. Nikaja kujaribu hizi 'Action'...
  2. JanguKamaJangu

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) chalaani kilichofanywa na TANAPA na TAWA kuhusu uvunjifu wa Haki za Binadamu

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani matukio ya uvunjifu wa Haki za binadamu yanayodaiwa kufanywa na Askari wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyama Pori (TAWA) baada ya kuwepo vitendo vya kupigwa na kuuwawa. Akizungumza na waandishi...
  3. BARD AI

    Elon Musk apata kibali cha kampuni ya Neuralink kuanza kupandikiza Ubongo Bandia kwa Binadamu

    Kampuni hiyo inayomilikiwa na Bilionea Elon Musk imepata kibali cha Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Marekani (FDA) kufanya jaribio la kwanza kwa Binadamu baada ya kufanya upandikizaji huo kwa Wanyama. Kwa mujibu wa taarifa za #Neuralink, Watu watakaopandikizwa kifaa hicho au Wagonjwa wataweza...
  4. F

    SoC03 Migogoro baina ya wanyamapori na binadamu

    UTANGULIZI Jamhuri ya muungano wa Tanzania (URT) chini ya wizara ya maliasili na utalii (MNRT) yenye dhamana ya kutunga sera, sheria na kanuni za uhifadhi wa rasilimali za asili hasa wanyamapori ili kusimamia na kuleta maendeleo katika sekta ya wanyamapori Tanzania. Miongoni mwa dira ya sekta...
  5. Nyendo

    Uchunguzi wa mapacha njiti waliochunwa ngozi ya uso wakamilika. Wanne kufikishwa Mahakamani kwa Uvunaji wa Viungo vya Binadamu

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Burian @batilda.burian amesema jalada la uchunguzi wa tukio tata la Watoto pacha waliozaliwa kabla ya muda katika Kituo cha Afya Kaliua na mmoja wao kunyofolewa jicho la kulia na ngozi ya paji la uso, limekamilika na Watumishi wanne wa Kituo hicho...
  6. Kiplayer

    Kusaidia binadamu ni kusogeza matatizo/kifo

    Yamenikuta mara kadhaa kila nilipojaribu kutoa msaada kwa ndugu na jamaa mabaya yalinipata. Nimehitimisha kuwa sio kila mhitaji wa msaada ni lazima kumsaidia. Wema unaponza!
  7. JanguKamaJangu

    Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) kufanya uchunguzi wa kifo cha Mwanafunzi wa UDOM

    Katika kipindi cha karibu wiki mbili, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imeona katika vyombo vya habari taarifa ya ajali ya gari iliyomhusu Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Afya), Mheshimiwa Dkt. Festo Dugange iliyotokea katika Jiji la Dodoma na...
  8. Sauti Moja Festival

    Umuhimu wa mijadala ya haki za binadamu kwa jamii yetu

    Habari zenu wadau wa JF, Kama kichwa cha habari kinavyosema, mijadala kuhusu haki za binadamu ni muhimu kwa sababu inawezesha kuchangia uelewa wa haki za binadamu na kukuza ufahamu wa maswala ya kijamii na kisiasa. Mijadala hii inawasaidia watu kuelewa jinsi haki za binadamu zinavyohusiana na...
  9. Melki Wamatukio

    Upo uwezekano wa binadamu wa sasa kurudi nyuma ya muda

    Peter Watson, aliyekuwa profesa wa Fizikia tangu mwaka 1984 katika Chuo Kikuu cha Carleton. Amefundisha zaidi ya kozi 25 tofauti, katika ngazi zote, na pia amesimamia wanafunzi wengi wa shahada ya uzamili na uzamivu. Kazi yake ya utafiti imekuwa zaidi katika fizikia ya nadharia, na amechapisha...
  10. Chizi Maarifa

    Chawa hakai kwa maiti, binadamu akifa chawa huamia kwa mwingine

    Watawala hawajui hiki kitu. Wanawakumbatia sana Chawa pasipo kugundua siku wakifa wale Chawa huangalia binadamu mwingine mwenye hali ya kuwakaribisha anahamia huko. Kama huamini Rais wa sasa ajidai amekufa kwa mwezi mmoja tu aone hawa alio nao sasa watasemaje akiwa amekufa. Wasiwasi wangu ni...
  11. BARD AI

    Aliyekutwa na Fuvu, Sehemu za Siri 5 za Binadamu afutiwa kesi

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemfutia kesi na kumwachia huru mshtakiwa Salum Nkonja (23) maarufu kama Emmanuel Nkonja, aliyekuwa anakabiliwa na mashtaka 11 yakiwemo ya kukutwa na vipande viwili vya mafuvu ya kichwa cha binadamu pamoja na sehemu za siri tano za mwanamke baada ya kesi hiyo...
  12. BARD AI

    Polisi, TMDA wakamata mtandao wa kutengeneza dawa feki za Binadamu Dar

    Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), Kanda ya Mashariki likishirikiana Jeshi la Polisi wanamshikilia William Mwangile anayedaiwa kuzalisha na kusambaza dawa bandia kwa mfumo wa makopo. Mkaguzi wa Dawa wa TMDA, Jafari Mtoro, amesema Mwangile amekamatwa jana Ijumaa Aprili 14, maeneo ya Kipawa...
  13. Faana

    Hivi mtu mwenye akili timamu bado atasema tusiue nyoka Kwakuwa ni rafiki wa binadamu?

    Kwa hali kama hii, ameshindwa kuishi vichakani mbali huko, kaja mjini na kufanya uharibifu wa kuua kuku, kula mayai na kuua vifaranga! Bado mtu mwenye akili timamu, anajiita msomi wa wanyama pori anawatetea nyoka na kusema ni rafiki zetu tusiwaue.
  14. M

    Barua ya wazi kwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii dhidi ya ukiukwaji wa Haki za Binadamu na utapeli katika vituo vya waathirika wa dawa za kulevya

    Salaam Mheshimiwa. Kwanza nikupongeze kwa juhudi binafsi unazoendelea kuzionyesha katika Wizara yako na Serikali kwa ujumla.Tunaelewa kusudi kubwa la Serikali kuimarisha huduma bora kwa wananchi wake hasa maendeleo ya jamii kiujumla. Lengo kuu la barua ni kukujulisha juu ya mambo ya kipuuzi...
  15. TODAYS

    Tulipofika: Hawa Siyo Binadamu Halisi, ni Future of AI and Nonprofit Growth in Web 3

    Kuna mjadara unaendelea space kutoka kwa wataalam wa teknolojia bunifu ya akili bandia, nimejiunga kupata kitu na nimelegea kiakili zaidi baada ya kuona mambo yanayokuja. Kwa mfano katika muundo unaokimbia sasa hivi ni Artificial Intelligence (AI) inaweza kufanya kitu unachowaza au kubuni kitu...
  16. Hemedy Jr Junior

    Binadamu anaenda kukosa ajira kabisa kwakuwa teknolojia imetawala, kama uwepo wa maroboti

    Tunapenda sana ushabiki ila bila kufahamu tunachokishabikia kina faida zipi na hasara zipi. Tuko na Watanzania ndezi wengi sana kila kitu kinaonekana ni bora. Any way... Tunalia na ajira kwa kiwango kikubwa kwasasa na bado robot sio nyingi nchini Tanzania je¡ zikishika atamu hali itakuwaje na...
  17. Binadamu Mtakatifu

    Miss u wana Mmu, ramadhani hii ukiwa na ugumu wewe sio binadamu

    😂😂😂 kwanza nafuraha sana baada ya kutoka jela segerea mitaaa ya ban thanks mod Nikitambo sana ila kikubwa ni hiki jamani mwezi huu mtukufu (mimi ni mkrito) ila nipo pamoja na nyie jua kali sana mpaka genye haziji kabisa Nashangaa kuna vijana bado wanamizika sijui wanaitoa wapi mimi tu...
  18. Hemedy Jr Junior

    Binadamu walifanya Ibada hata kabla ya hizi Dini

    Mwanzilishi wa Dini ya ukristo na uisalam ni mtu mmoja tena ni kwa lengo la utawala na biashara, hakuna cha ziada kuhusu uisalam na ukristo. Maandiko na dini ni vitu viwili tofauti.
  19. M

    Mtu anapata wapi ujasiri wa kumchinja binadamu mwenzake kama kuku?

  20. M

    Huko USA huwezi kutenganisha haki za binadamu na haki za mashoga/LGBT!

    Hivi watanzania wanaelewa maana ya demokrasia na haki za binadamu kama zinavyofahamika na marekani? Kwa marekani demokrasia na haki za binadamu zinaambatana na haki za mashoga almaarufu kama LGBT!! Ukikubali demokrasia na haki za binadamu zinazoigiwa debe na marekani duniani kote maana yake ni...
Back
Top Bottom