Tanzania ni chanzo, mkondo, na nchi kusudio la safari kwa wanaume, wanawake na watoto
wanaokabiliwa na ajira za kulazimishwa pamoja na biashara ya ngono. Kasi ya matukio ya biashara haramu ya usafirishaji wa ndani inazidi ile ya matukio au kiwango cha biashara haramu ya usafirishaji wa binadamu...
Ustaarabu na maendeleo duniani ulianzia Misri. Misri ilikuwa na watu weusi wa kutosha. Ndio maana hata wazungu walienda kuvamia sanamu za mafarao na kuzing'oa mapua ili kupoteza ushahidi. Enzi hizi wazungu wanaishi mapangoni kama manyani.
Kwa muJibu wa kitabu why nations fail, kuna maelezo...
Serikali kupitia Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, imetia saini ya Mkataba huo kupitia Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani, Fedha zitakazotumika kwaajili ya kugharamia maeneo Manne.
Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Tanzania, Tsh. Bilioni 8.15...
Salaam wakuu,
Wakati mikoa mingi nchini ikiendelea kupata mvua ya kutosha, kwa wengine imekuwa neema kwao kwani sasa wanaweza kuvuna maji ya kutosha kwa ajili ya matumizi ya nyumbani, mifugo na hata mazao.
Sasa kwa matumizi ya nyumbani ni pamoja na kuyatumia kwa kunywa bila kuyafanyia...
Waziri Mhagama: Muingiliano Mkubwa wa Binadamu na Wanyama Watajwa Chanzo cha Magonjwa
Imeelezwa kuwa mwingiliano mkubwa wa shughuli za kijamii na kiuchumi, mwenendo na mifumo ya maisha na mabadiliko ya hali ya hewa na tabianchi kumekuwa na ongezeko la magonjwa yanayoibuka kutokana na...
Naomba ufafanuzi juu ya dini ya kiisilamu kabla sijachukua hatua ambayo nataka kuichukua. Wanasema uislamu ni dini ya haki na pia muislamu ndugu yake ni muislamu. Kuna majini waislamu ambao ni "majini wazuri " na kuna majini makafiri.
Swali langu ni moja, kuna hadithi moja inasema muislamu...
BINADAMU ALIPOTEZA KILA KITU ALIPO ASI
Binadamu alipoamua kuasi, alipoteza uwezo wote wa asili alio kuwanao, binadamu alikuwa mtawala wa kweli katika USO wa dunia, lakini alipoteza uweza wake kwa kuasi, ule Mti wa ujuzi wa mema na mabaya (kama unavyotajwa ujuzi) haukuwa mti wa kujipatia hekima...
Dawa hizi muhimu za binadamu zinauzika mno mtaani, mijini na vijijini. Soko lake ni pana na kubwa mno kwa sasa. Store hazikai kabisa, mzigo unatembea fasta mwendo wa ngiri kwenye soko la madawa muhimu ya Binadamu.
Wateja wake wengi sana ni watu wa rika zote. Wabishi kwenda hospital wao...
Tembea uone na kuishi kwingi ni kuona mengi:
Clip hii inajieleza.
Demokrasia ipi au haki zipi za bindamu Marekani au Ulaya magharibi watamwambia nani wapi?
Undumila kuwili wao unawapa sana visingizio mabaradhuli wengi wa dunia hii kujifanyia yao na bila ya simile.
Kumbe nani wa kumwambia...
Walidhani kila jambo linasaulika, ila ukweli ni kwamba kwa uhalifu uliofanywa enze za RC Makonda hakuna mtu serious atamuunga mkono.
Atumie pikipiki au atembee kwa miguu still nafsi za watu zinakumbuka ukatili wake.
Mapokezi yake yamefanywa na wale wale tuliowaita chawa lakini viongozi...
Ndugu zangu watanzania tuwe makini na wanasiasa hasa kipindi cha uchaguzi. Tuliona namna wanasiasa wa kanda ya ziwa walivyopambana kushangilia uvuvi haramu wakidai ziwa ni mali yao na wapo tayari libaiki kama swimming pool . Kauli hizi walizitoa wakitaka watu wavue bila kudhibitiwa na...
Kikao cha 77 cha kawaida cha Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kinaanza tarehe 20 Oktoba, 2023, na kinatarajiwa kuendelea hadi tarehe 09 Novemba, 2023.
Washiriki wanajumuisha wawakilishi kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika na nje ya Afrika.Jumla ya washiriki 700 wamesajili kutoka...
Arusha, Tanzania
ITIFAKI YA UFUNGUZI YABADILISHWA DAKIKA ZA MWISHO
Tanzania mwenyeji wa mkutano wa 77 wa Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na watu, waziri Dr. Pindi Chana ametangaza mabadiliko baada ya mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano Dr. Samia Suluhu Hassan kutingwa na shughuli...
(1 ).Low Arch Feet Personality Traits
Hii ni kwa watu ambao nyayo zao Hazina uvungu.
Hizo hapo chini ndio Hali zao za maisha.
low arch feet personality
If you have low-arched feet with little or no arch at all, your personality traits reveal that you may realist, extroverted, outgoing...
Makosa ya binadamu ndiyo yalileta uadui Kati ya Israel na palestina.Makosa haya ya babu zetu hatuitaji kuyashikilia nabkusababisha uadui usiyokuwa wa maana .
Ibrahim aliaahidiwa na Mungu kuwa angempa nchi ya kanaani na kuwa urithi wake .Kanani ilikuwa ni nchi( au ulfame) kubwa yenye mikoa...
ELIMU YA UUAMBAJI BINADAMU BILA KUJAMIIANA (CLONING)
Mchakato wa uumbaji wa binadamu bila kujaamiana (Cloning) ulianza mwaka 1938 na wanajeshi wa Nazi chini ya kamanda Hitler. Ian Wilmut muasisi wa uuambaji wa kondoo aitwaye Dolly, raia wa London nchini Uingereza alipata upinzani mkali baada ya...
Nikiitazama dunia na mwenendo wa hiki kiumbe kinachojiona kina maarifa ya ziada kushinda viumbe wengine,bado naona safari ndefu sana yenye kujifunza,ujinga,maarifa na ajali za kila namna!.
Labda nianzie hapa..
Hivi tulivyo leo Kuna mambo ya mababu zetu tunayaona yalikuwa yakipuuzi ambayo kwao...
Serikali ya China imetoa waraka kuhusu ujenzi wa “jumuiya ya binadamu yenye mustakabali wa pamoja” miaka 10 baada ya Rais Xi Jinping wa China kutoa pendekezo hilo ambalo limefuatiliwa na wachambuzi wengi wa mambo ya kiuchumi na kidiplomasia. Kutolewa kwa waraka huu, kunachukuliwa kuwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.