binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Tanzania kuna sheria inaruhusu au kukataza binadamu kumwita mwenzake KAFIRI?

    Nimemsikia mwanasiasa mmoja akitumia neno kafiri katika nyumba ya ibada hapa Mwanza. Pamoja na kwamba tunashirikiana naye kwenye imani na kwamba neno Kafiri limekuwa likitumika sana ila kwa tamaduni zetu Tanzania neno hili lina ukakasi mkubwa hasa katika matamshi ya kiswahili. Ni neno lakukwaza...
  2. The Sheriff

    Umoja wa Mataifa wapitisha azimio la kwanza la kimataifa kuhusu 'Artificial Intelligence' ili kulinda Haki za Binadamu

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Alhamisi 21, 2024 limepitisha kwa pamoja azimio la kwanza la kimataifa kuhusu Akili Mnemba (Artificial Intelligence - AI), likiziomba nchi kulinda haki za binadamu, kulinda data binafsi, na kufuatilia kwa karibu teknolojia hiyo ili kubaini hatari zinazoweza...
  3. Chizi Maarifa

    Pemba: Tani 4 za tende na tani 20 za Mchele usiofaa kwa matumizi ya Binadamu vyateketezwa

    TANI 20 za mchele mbovu pamoja na tende tani 4.1 zimeteketezwa katika shehia ya Pujini Wilaya ya Chake Chake baada ya kuonekana bidhaa hizo hazifai kwa matumizi ya binadamu. Akizungumza baada ya uteketezaji wa bidhaa hizo Mkurugenzi wa Wakala wa Chakula na Dawa (ZFDA) Pemba, Nassir Salum Buheti...
  4. T

    Binadamu na Pesa, Wajinga ndiyo waliwao

    Binadamu Kila kukicha ni kutafuta pesa tu! Uhai autafutwi, kwani kuishi ni bahati tu bali kufa ni lazima, iwe unapenda au haupendi utakufa tu! Hakuna mwenye uhalali wa kuishi milele hapa duniani Kila mtu ni marehemu mtarajiwa. Pesa ndio Kila kitu humu duniani ISIPOKUWA UHAI TU! Hata uwe...
  5. Technophilic Pool

    Dkt. Myles Munroe: Dini siyo suluhu ya matatizo ya binadamu

    Huyu ni Dkt. Myles Munroe Anaelezea madudu yaliyofanywa na dini. Ukristu na Uislam. Watu wenye dini ndio waovu kuliko viumbe wote dunian https://youtu.be/rJvQ-eGOhkw?si=L9GSvl1Hhn1GfmXi
  6. Theofrey Theofrey

    Mpende kila mtu, mheshimu na jua ana mchango fulani kwenye maisha yako

    Dunia yote ni kitu kimoja, sisi binadamu ni kitu kimoja. Huu ndiyo ukweli ambao ukiuelewa na kuuishi kila wakati utakuwa na maisha bora. Tumekuwa tunaambiwa na jamii zetu, kwamba kundi letu ni bora kuliko la wengine, kwamba rangi yetu ni bora au asili na kabila letu ni bora kuliko nyingine...
  7. Mama pretty

    Ninawaogopa sana viumbe wa kuitwa binadamu

    Nimejikuta ninawaogopa sana binadamu kutokana na visa mbalimbali nilivyowahi kupitia kwenye maisha yangu. Asili yangu ni ukimya na utaratibu lakini kuna wakati maisha yanahitaji ujichanganye na watu mbalimbali kutokana na mifumo yetu. Na ndicho kipindi nilichojifunza kuwa binadamu ni kiumbe...
  8. Mhaya

    Upande wa Giza: Kila binadamu ana siri zake za kuficha

    Tunapozungumzia Dark Side, tunazungumzia upande wa giza. Kila unayemuona kwenye ulimwengu huu ana upande wake wa giza ambao hataki watu wengine waufahamu. Hata wewe unayesoma hapa una upande wako wa giza ambao hutaki watu waufahamu. Ndiyo! Ipo hivyo. Na ndiyo maana huwa ninawaambieni hakuna...
  9. Etugrul Bey

    Binadamu anaponzwa na matumaini ya muda mrefu

    Kila mwanadamu huwa na matumaini kwamba hakika yeye bado ana mda mrefu wa kuishi duniani,na kwamba uzima wake na afya yake nzuri ndio viashiria ambavyo humuaminisha kwamba yeye bado yupo yupo kwanza. Ukitaka uamini hili ninalosema ebu msikie huyu mtu ikiwemo mimi na wewe mara tunapo sikia...
  10. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Fakharia Shomari: Serikali Iliangalie Suala la Usafirishaji Haramu wa Binadamu Tanzania

    Mbunge Fakharia Shomari: Serikali Iliangalie Suala la Usafirishaji Haramu wa Binadamu Tanzania Mbunge Faharia Shomari akichangia hoja ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama amesema hivi sasa nchini lipo jambo la kutisha la usafirishaji haramu wa binadamu ambapo Wanawake...
  11. sanalii

    Wengi wa binadamu wana unafiki na wanapenda kujisahaulisha kwa manufaa yao, angalia haya matukio

    1. Mapenzi ya utotoni: Mara kadhaa watu husema watoto wa siku hizi wanaanza wameharibikiwa na wanaaza mapenzi mapema sana, wengi husema "wanaaza shule ya msingi" lakini nikikumbuka miaka zaidi 30 iliopita nikiwa shule ya msingi, kulikua na mahusiano vile vile, watu walikua wanaandikiana barua na...
  12. AnyWayZ

    SIRA 31:25-31, Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana.

    Salaam Wakuu,.... SIRA 31 Pombe iliumbwa kumfurahisha mtu 25Usijioneshe kuwa hodari wa kunywa pombe, maana pombe imewaangamiza wengi. 26Tanuri hupima ugumu wa chuma, na pombe hupima mioyo katika shindano la wenye kiburi. 27Pombe ni kama uhai kwa mtu ukinywa kwa kiasi. Maisha yafaa nini bila...
  13. kmbwembwe

    Hivi hawa wazungu kuhusu maadili ya binadamu nani kawaloga?

    Rais wa Ufaransa mkewe ni kikongwe wa umri wa kumzaa yeye. Alikuwa mwalimu wake chuo kikuu. Huyo huyo Rais wa Ufaransa juzi hapa kamteua kijana shoga kuwa Waziri Mkuu wa nchi yake kisha huyo shoga kamteua mume wake yaani basha wake kuwa Waziri wa Mambo ya nje wa nchi hiyo. Hivi ni vituko vya...
  14. Pang Fung Mi

    Kuna kila ishara kwamba wazee ndani ya CCM hawaheshimiki na wala hawahitajiki

    Habarini, Kuna namna CCM haina mfumo wa kuwatumia malegend wake katika forums/majukwaa na haina forums za kuwatumia Wastaafu wake kiushauri. Katokana na hali inayojirudia kwa Mzee Paul Kimiti amekuwa mwenye kutoa mawazo yake kila akipata fursa ya kutoa neno. Kwa namna ya utoaji maoni wake...
  15. Mjanja M1

    Kampuni ya Elon Musk yapandikiza kifaa kwenye ubongo wa binadamu

    Bilionea wa kiteknolojia Elon Musk amesema kwa mara ya kwanza kampuni yake ya Neuralink imefanikiwa kupandikiza kifaa maalum cha elektroniki kwenye Ubongo wa binadamu kisichotumia nyaya. Inatarajiwa kuwa kifaa hicho kuwa kiunganishi cha ubongo na kitawasaidia watu waliopooza viungo vyote...
  16. Roving Journalist

    Ruvuma: Akamatwa na fuvu linalodhaniwa kuwa ni la Binadamu na vipande vya ngozi wanyama pori kwenye begi la mgongoni

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma katika kuzuia na kutanzua uhalifu kwa kipindi cha mwezi Januri,2024 tumefanikiwa kuendesha Operesheni, misako na doria mbalimbali maeneo yote ya Mkoa wa Ruvuma ambapo katika misako hiyo tarehe 07.01.2024 katika kijiji cha Nahoro, Kata ya Luegu Wilaya ya Namtumbo...
  17. JamiiCheck

    Taarifa Potofu zimekuwepo kwenye Historia ya Binadamu kabla hata ya kugunduliwa kwa Mitandao ya Kijamii

    Habari potofu au habari za kupotosha zimekuwepo kwa muda mrefu kabla ya kuibuka kwa mitandao ya kijamii. Hata kabla ya enzi za teknolojia ya digitali, watu walikuwa wakitumia njia mbalimbali kusambaza habari potofu kwa lengo la kufikia malengo yao, iwe ni kisiasa, kiuchumi, au kijamii. Hapo...
  18. Lycaon pictus

    Binadamu tuliumbwa tutembee peku. Viatu vinatuharibu miguu

    Kutembea peku kunafanya miguu itanuke na vidole viachane hivyo kumpa mtu balance nzuri sana. Viatu vinaharibu miguu ya binadamu na kumfanya asiwe na balance wala mwendo mzuri. Tutembee peku hapa na pale.
  19. I am Groot

    Hivi unajua Kuku ni wengi sana duniani kuliko binadamu?

    Kulingana tafiti za shirika la chakula na kilimo duniani:- Food and Agriculture Organization (FAO) za mwaka 2023, Kuna kama kuku 34.4 Billion ambao bado ni wazima au zaidi ya hapo kwa sasa duniani. Huku ukilinganisha na idadi ya binadamu waishio kwa ambayo mpaka sasa inasomeka...
  20. Shining Light

    Faida za Maji ya Bamia kwa mwili wa binadamu

    Bamia ni mboga yenye umuhimu mkubwa katika lishe yetu na maji yake yana faida nyingi kwa afya. Mbali na kutumiwa kama sehemu ya mboga kwenye mchuzi au rosti ya mboga, maji ya bamia yana umuhimu wake ambao mara nyingi huenda usifahamike sana. Virutubisho muhimu zinavopatika ndani ya maji ya...
Back
Top Bottom