Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Tume ya Afrika ya Haki za binadamu ya watu yenye makao yake makuu Banjul Gambia, imesema kwamba vitendo vya uvunjifu wa amani vinavyoendelea nchini Tanzania, vinalichafua taifa hilo katika uwanja wa kimataifa.
Taarifa iliyochapishwa kwenye tovuti ya tume hiyo imevitaja baadhi ya vitendo hivyo kuwa ni uminywaji wa uhuru wa kisiasa unaofanywa kwa vyama vya upinzani pamoja na taarifa za watu kutekwa.
Baadhi vitendo vilivyotanjwa katika ripoti hiyo ni pamoja na utekaji kwa watu ambao hasa ni wakosoaji wa serikali, na kukamatwa kwa mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu na kufunguliwa kesi ya uhaini kipindi kifupi kuelekea uchaguzi mkuu. #dwkiswahili #dwhabar
i