Miongoni mwa filamu zenye watazamaji wengi duniani ni zile ambazo huwa na wahusika ambao ni binadamu wenye uwezo wa ajabu kama vile; kupaa angani, kukimbia kwa kasi sana, kutoonekana, kuona mbali nakadhalika. Wahusika hawa ni kama Spiderman, Wonder woman, Captain America, Iron man, Batman, Black...