Mimi sikuwa najali sijui nani kamtafuta mwenzake, mi nikisikia nimemmis nampigia tu, i don't care who call first or often.
Sasa ikafika hatua ukimwambia 'i love you' anasema sawa.
Nikaona sio shida nikaanza ku "balance shobo" sasa anaanza kulalamika kua simpendi.
Hivi mapenzo bila drama hayaendi?