binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Mungu akikuuliza umefanya nini kupigamia haki za binadamu utasema nini?

    Kwa sisi waumini wa Mungu tunaamini kutenda mema kwa vitendo na kupinga uonevu kwa mtu yeyote. Kwa wale wa umini tujiulize je leo ukienda mbele ya haki na kuilizwa na Mungu maswali haya utajibu nini 1. Kwa muda na nafasi niliyokupa duniani je umetumia akili yako na nguvu zako zote kupigania...
  2. Mfano wa Mr. Manguruwe; Ni kweli Makonda hana uelewa wa maana ya haki za binadamu?

    Nimesikiliza sehemu ya mahojiano kati ya mkuu wa mkoa wa Arusha Makonda na waandishi wa habari. Jambo mojawapo aliloulizwa ni tuhuma dhidi yake za ukiukwaji wa haki za binadamu, majibu yake yameniacha hoi kwa mshangao. Makonda anasema yeye ni mtetezi mkubwa wa haki za binadamu, mifano aliyoitoa...
  3. Mpya kutoka kwa Sativa: Mafwele ameendelea kunitafuta, anataka nife, amedai bado hajamalizana na mimi

    Habarini wanajukwaa, Siku ya jana, Sativa alikaa kwenye mahojiano na kituo cha habari cha Mwanzo TV Plus. Katika mahojiano hayo Sativa aliendelea kusisitiza kuwa Faustine Mafwele pamoja na kikosi chake wanaendelea kumtafuta na kwamba Faustine Mafwele anataka afe. Sativa aliendelea kusema kuwa...
  4. KWELI Mbwa Laika ni kiumbe hai wa kwanza kusafiri nje ya dunia

    Nimekutana na stori inadaiwa kuna Mbwa wa Urusi anayeitwa Laika ndiye kiumbe hai wa kwanza kusafiri nje ya dunia? Kuna ukweli kuhusu historia hii?
  5. Mambo Huisha,, Yawe mazuri hata kwa kiasi gani. Binadamu tukubali tu.

    Jambo lolote lile zuri, Unaloliona leo litafika mwisho tu. Tukubaliane na hali ili maisha yendelee. Wanaume tukubali tu. So usiwekeze sana nguvu na mali kwa mwanamke wako hata kama unamuona mzuri na mrembo kiasi gani.. Wanawake msiweke akili zenu na kujikita sana kwenye kuhudumiwa intensively...
  6. Binadamu hatuwezi kuungana kumuomba kwa dhati Mungu afute kifo, magonjwa na mauti au ndio tutakua tunaingilia mapenzi yake?

    Hivi binadamu hatuwezi kuungana kumuomba kwa dhati Mungu afute kifo, magonjwa na mauti au ndio tutakua tunaingilia mapenzi yake? Au umoja wa aina hii na maombi ya aina hii ndio kutungeneza mnara wa Babeli? Tutatwanywa kwa kuvurugwa na lugha gongana?
  7. D

    Watu wa dini; hivi mpira wa miguu umetajwa kwenye vitabu? Mbona Kila binadamu anazaliwa anaupenda na kuujua?

    Yaani inaonekana upo kabisa kwenye DNA ya binadamu hata mtoto akizaliwa Leo ana ABCs za mpira, inashangaza! Yaani huu mchezo unakuja automatically kama kujamiiana (uzazi). Hakuna anayefundishwa. Juzi nimewakuta masheikh wanabishana na kuchekana msikitini kutokana na ile mechi ya Azam na Yanga.
  8. Mahakama ya Tanzania ni mhimili unaosimamia uvunjwaji wa Haki za Binadamu nchini....

    Tusome kwa pamoja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 12 (6) Kwa madhumuni ya kuhakikisha usawa mbele ya sheria, Mamlaka ya Nchi itaweka taratibu zinazofaa au zinazozingatia misingi kwamba: (a) wakati haki na wajibu wa mtu yeyote vinahitaji kufanyiwa uamuzi wa mahakama au...
  9. Kwanini wanyama na binadamu uwa watulivu wanapong'atwa au kushikwa shingoni?

    Kukamatwa au kung’atwa shingoni kunaweza kusababisha utulivu kwa wanyama, na hata kwa binadamu, kutokana na sababu kadhaa za kisaikolojia na kisaikolojia: 1. Kusisimuliwa kwa mshipa wa fahamu (Neva) ya Vagus Neva ya vagus inapita kwenye shingo na ina jukumu muhimu katika mfumo wa...
  10. M

    Dunia itakuwa mwalimu wako wa mwisho ukigoma kuelewa binadamu wenzako, tena itakufunza kwa maumivu na vitendo

    DUNIA ITAKUWA MWALIMU WAKO WA MWISHO UKIGOMA KUELEWA BINADAMU WENZAKO, TENA ITAKUFUNZA KWA MAUMIVU NA VITENDO Ukiambiwa utafunzwa na Dunia jua tayari wamekuona wewe ni mbishi zaidi ya kawaida sasa kama wazoefu wanaamua tu wakuache ili uje ufunzwe na MAAMUZI yako. Ni kweli kabisa Dunia ni...
  11. F

    Sio rahisi kumridhisha kila binadamu

    Binadamu ni kiumbe cha ajabu, hata ufanye nini huwezi kuwaridhisha. Jambo muhimu ni kuwa na stahmala, kuvumilia jinsi unavyoshambuliwa, kupingwa, kukosolewa au kutukanwa kwa jambo ulilofanya, uliloshauri au kulipuuzia.
  12. DOKEZO Angalizo: Utapeli na wizi kwenye maduka ya Pharmacy/ biashara ya dawa za binadamu

    Habari za wakati huu ndugu zanguni. Kama ilivyo ada na kawaida kuhabarishana habari mbali mbali zenye manufaa kwa ajili ya kuepushana na mambo yanayoonekana kutuathiri kwenye jamii na familia hii kwa ujumla wake. Nimepata bahati mbaya ya kumuuguza mgonjwa hapa nyumbani kwangu mwenye ugonjwa wa...
  13. Upoteaji wa Watu, Hospitali zichunguzwe biashara ya figo na viungo vya binadamu Tanzania

    Wakuu Salaam Katika Swla la Upoteaji na utekaji wa Watu, Watu wa tiba Mbdala na Hospitali zichunguzwe biashara ya figo na viungo vya binadamu Tanzania Tunaweza Walaumu Polisi, TISS, Machawa wa vyama vya siasa nk. Lakini tunawasahau hawa wataalam wetu wa afya. Pia kuna watu wanazikwa na...
  14. Hamasa kubwa 4 za binadamu

    miongoni mwa motivation kubwa za binadamu ambazo husababisha afanye kitu chochote kwa ujumla zinaitwa RICE R= inasimama kama Reward ikimaanisha kitu unachopewa au aidiwa akifanya kitu, hivi ni kama vile pesa, gari, nyumba, mwanamke I=inasimama kama Ideology, hii inahusishwa vitu unavyo...
  15. Katiba na Sheria yawakutanisha Wadau kujadili utekelezaji wa mikataba ya Haki za Binadamu

    Wizara ya Katiba na Sheria kupitia Idara ya Haki za Binadamu imewakutanisha wadau mbalimbali kutoka Bara na Zanzibar katika kikao kazi cha kukamilisha taarifa ya Nchi ya kufuatilia utekelezaji wa Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu pamoja na Mkataba wa Haki za Wanawake barani Afrika...
  16. U

    Serikali ya Iran yawanyonga hadharani wafungwa 92 ndani ya siku 17, ni wastani wa wafungwa 5 kila siku, watetezi haki za binadamu walaani

    Wadau hamjamboni nyote? Hiyo ndiyo Hali halisi huko Iran Kila siku wafungwa 5 wananyongwa Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Iran executes 92 prisoners in 17 days, rights groups say 2 hours ago Share At least 92 prisoners have been executed in Iran since the start of October, averaging...
  17. A

    Madhara ya Simu za mkononi kwa binadamu ikiwa hazitumiki kwa usahihi

    Simu za mkononi, ingawa zina manufaa mengi, zinaweza kuwa na madhara kwa binadamu ikiwa hazitumiki kwa usahihi au kwa muda mrefu kupita kiasi. Baadhi ya madhara hayo ni: 1. Madhara kwa Afya ya Ubongo: Mionzi ya sumakuumeme inayotolewa na simu za mkononi inaweza kuwa na athari kwa ubongo, ingawa...
  18. G

    Ripoti juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini: hakuna gazeti hata moja lililoandika habari hiyo!

    Jana vyombo vya habari vya kimataifa vilitangaza taarifa iliyotolewa na taasisi ya kimataifa ya human right watch juu ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaoendelea nchni. Nimepita magazeti karibu yote habari hiyo haikuandikwa popote. Paskali mara nyingi huwa unajitokeza kutetea wanahabari...
  19. Serikali ya Tanzania Yalaumiwa kwa Ukiukwaji wa Haki za Binadamu Kabla ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Shirika la kimataifa la haki za binadamu, Human Rights Watch, limetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuchukua hatua za haraka kurekebisha hali inayozidi kuzorota ya haki za binadamu nchini, kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba 2024. Kwa mujibu wa ripoti...
  20. LHRC: Tanzania imeshuhudia utekelezaji wa Sheria kandamizi zinazominya uhuru wa Vyombo vya Habari

    Huu ni uzinduzi wa maadhimisho ya Haki za Binadamu yaliyoandaliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC). Tukio hili linaangazia masuala muhimu kuhusu haki za binadamu nchini Tanzania, ikiwemo utetezi wa haki za wanawake, watoto, watu wenye ulemavu, na makundi mengine ya kijamii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…