binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tume ya haki za binadamu inatumiwa kumdhoofisha Paul Makonda?

    Mwenyekiti wa tume ya haki za binadamu, Jaji Mstaafu Mathew Maimu, anamtuhumu mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kuwa alivuka mipaka kwa jinsi alivyoshughulikia kesi ya mkazi wa Arusha aitwaye Kalisti aliyeuziwa nyumba ya milioni hamsini kwa mkopo wa shilingi milioni tatu. Mkopo huo...
  2. Binadamu by AY featuring Maurice Kirya Lyrics

    Binadamu by AY featuring Maurice Kirya This is A.Y from Tanzania, Maurice Kirya and Hamdee from Uganda. It’s a dedication to all African who living in poverty. Verse 1 Usiombee mambo yaharibike. Pesa usiishike, mfano wa mti upukutike. Utaonekana si lolote si chochote. Utaonekana...
  3. D

    Pre GE2025 Makonda anatoa wapi kiburi cha kuidharau Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora?

    Makonda amekaidi wito wa tume ya haki za binadamu na utawala bora, kiburi ameitoa wapi, Rais anachukuliaje hizo dharau? Km vp hiyo tume ifutwe au imeundwa kwa ajili ya kina nani. Makonda hafai kuwa kiongozi mkubwa, yupo kupumbaza wajinga. Pia soma: Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora...
  4. Ukiachana na binadamu; Orangutans wanafuata kwa kuwa na akili zaidi.

    Wanyama huonyesha aina tofauti tofauti za uwezo wa kiakili na baadhi yao hutenda kulingana na silika yao. Katika ulimwengu wa wanyama, Pweza, Pomboo, na jamii kuu za nyani kwa ujumla huchukuliwa kuwa miongoni mwa jamii za wanyama welevu. Watu wengi hupenda kujiuliza swali hili; kati ya jamii za...
  5. Je, kuna athari zozote mtu kuoga mara kwa mara?

    Kuoga ni sehemu ya muhimu sana katika maisha ya binadamu, baadhi imekuwa ni kama ibada au kujitwaharisha. Wapo wanaopenda kuoga kuendana na mtindo wao wa maisha, mara moja kwa siku au mara moja kwa siku tatu, na kadhalika. Swali langu ni hili, Je kuna madhara yoyote endapo mtu akioga mara...
  6. L

    Waliomuua yule mtoto albino wahasiwe haraka sana, hawana sifa ya kuitwa binadamu

    Huyu mtoto hadi mmekatisha uhai wake amewakosea nini jamani, hili jambo kila ninapofanya shughuli zangu linanijia, nimevaa uhusika kuwa yule ni binti yangu amefanyiwa unyama ule, niko katika hali gani. Kweli nyie mliofanya unyama na ukatili kiasi hicho mnastahili kuwepo duniani kweli? Huyu...
  7. S

    Sababu za kwanini binadamu wanapenda sana dunia na mambo yake, ingawa wanajua kwamba mwisho wa yote watakufa na kuacha kila kitu

    Asili ya Kibinadamu: Binadamu wana asili ya kupenda maisha na kutafuta furaha na raha. Kutafuta mali, hadhi, na mafanikio ni sehemu ya asili hii. Kwa njia hii, wanajenga maisha yenye maana na kuridhika. Hofu ya Kifo: Kwa kuwa kifo ni kitu kisichojulikana na chenye kutia hofu, watu wengi...
  8. Wazungu wanavyothamini Mbwa kuliko binadamu wenzao, chanzo ni nini hasa

    Jinsi wazungu wanavyowajali Mbwa wanaowamiliki, wakati mwingine ni zaidi wanavyojali binadamu wenzao. Mtu anaweza asiwe anaishi na binadamu mwenzie, lakini anaishi na Mbwa ambaye bajeti yake ya kumtunza inazidi gharama za kuhudumia binadamu maskini walioko mtaani. Huwa najiuliza chanzo cha...
  9. Kila kukicha nakosa amani ya kuitwa binadamu najuta kuwa na watoto

    Natokea kanda ya ziwa ambayo ni asili yangu,jinsia ni mwanaume niko na familia (mke na watoto). Nawashkru wazi walinilea inavyopaswa na kuna kipindi niliwachukia kwa adhabu walizokuwa wananipa utotoni bila kufahamu kwamba walikuwa wanataka niwe kijana imara hasa kama kabila langu linavyotaka...
  10. Matatizo 3 ambayo binadamu hukumbana nayo kila siku

    Binadamu hukumbana na matatizo mengi kila siku, lakini hapa kuna baadhi ya matatizo matatu ambayo mara nyingi hutokea: 1. Msongo wa mawazo (Stress): Binadamu mara nyingi hukumbana na hali ya msongo wa mawazo kutokana na sababu mbalimbali kama vile shinikizo la kazi, mahusiano, maswala ya...
  11. Mjue Cuckoo, ndege mkwepa majukumu ya ulezi, ndege mwenye roho mbaya

    Cuckoo ni jamii ya ndege wasafiri ambapo husambaa katika kipindi cha kiangazi kwenye bara la ulaya, Asia na Africa. Jamii hii ni aina ya ndege hukwepa majukumu kwa kupandikizia watoto wao kwa jamii nyingine za ndege ili walelewe tangu yakiwa bado mayai. Kwa maana kuwa hutaga kwenye viota vya...
  12. Huyu mchepuko ana masharti magumu sana, ni binadamu halisi kweli au nimevamia kambi? 🤔

    Habari za majukumu wana JF, poleni na mihangaiko ya hapa na pale. 🤝🤝 - Watu wanaweza kuwa na tabia na matarajio tofauti sana katika uhusiano, na mara nyingi hutokea kwamba baadhi yao huweka masharti magumu kwa sababu zao binafsi. Au Inawezekana mtu huyu anafanya hivyo ili kujilinda kutokana na...
  13. Netanyahu awatesa wapalestina, aitesa Marekani, Israel na dunia yote. Mwisho wake utakuwa funzo kwa binadamu

    Waziri mkuu wa Israel hapana shaka ataingia kwenye rekodi za dunia kama mtu aliyeleta mateso makubwa si kwa wapalestina peke yao bali kwa dunia yote.Tayari ameshampiku Hitler na wengine waliotajwa kwenye historia ukimuondoa Fir'aun. Wapalestina wameuliwa wengi sana kwa kupigwa kwenye majumba...
  14. Onyo la Elon Musk: AI (Artificial Intelligence) Akili mnemba inaweza kufanya kazi za binadamu kuwa za kizamani

    Elon Musk anasema akili ya bandia itachukua kazi zetu zote na hilo sio jambo baya. "Labda hakuna hata mmoja wetu atakayekuwa na kazi," Musk alisema kuhusu AI kwenye mkutano wa teknolojia mnamo Alhamisi. Wakati akizungumza kwa mbali kupitia kamera ya wavuti huko VivaTech 2024 huko Paris, Musk...
  15. SoC04 Changamoto ya kuheshimu haki za binadamu na jinsi filamu, muziki, na sanaa zinavyoweza kusaidia kufikia Tanzania bora

    Kuheshimu haki za binadamu ni mojawapo ya changamoto kubwa zinazokabili jamii nyingi duniani, na Tanzania haiko nyuma katika hili. Kwa muda mrefu, kumekuwa na matatizo ya ukiukwaji wa haki za binadamu, kama vile ukandamizaji wa uhuru wa kujieleza, ubaguzi wa kijinsia, na ukosefu wa usawa wa...
  16. Makonda piga kazi baba usisikilize kelele za wabaya wanaokuteta mitandaoni

    Mh Makonda piga kazi baba usisikilize kelele za mafisadi wanaokuteta mitandaoni kumbuka kuwa binadamu hata umfanyie jema atakupaka mavi Ni hivi karibuni umeanza harakati za kuwafuata Wananchi na kusikiliza keo zao ikiwemo kutatua lakini mitandaoni humu tunaona watu wakijadili misafara yako...
  17. J

    SoC04 Namna ya kudhibiti matumizi holela ya dawa za binadamu mtaani

    Dhana ya kufanya biashara kwenye maduka ya dawa Muhimu (DLDM) inahatarisha maisha ya wananchi wanao kimbilia kupata huduma kwenye maduka haya .Maduka ya dawa yamerahisisha huduma ya upatikanaji wa dawa za binadamu wakati huohuo yameongeza hatari ya kupata madhara yatokanayo na dawa hizo.Hii...
  18. L

    Mbio za silaha zinazoongozwa na Marekani zinaweza kuangamiza jamii ya binadamu

    Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa hivi karibuni na Taasisi ya Utafiti wa Amani Duniani ya Stockholm, matumizi ya jumla duniani katika mambo ya ulinzi kwa mwaka 2023 yalifikia dola za kimarekani trilioni 4.44. Tathmini hiyo ya mwaka ya Mwelekeo wa Matumizi ya Kijeshi Duniani ya Taasisi hiyo...
  19. Tazama maajabu haya 6 aliyonayo binadamu

    1. Hakuna mtu ambaye yuko bize muda wote. Inategemea tu uko nafasi gani kwenye orodha ya vipaumbele vyako. 2. Amini usiamini, unaweza kuwa na chochote unachotaka, uwezo wako hauna kikomo. 3. Kila mtu anajaribu kupata mtu sahihi lakini hakuna anayejitahidi kuwa mtu sahihi. 4. Pesa ni namba na...
  20. KWELI Matumizi ya vyombo vya plastiki kuwekea chakula au vinywaji vyenye joto kali yana madhara kwa binadamu

    Katika jamii yetu ya kitanzania asilimia kubwa inatumia vyombo vya plastiki kunywea na kulia chakula, lakini nimekuwa nikisikia kuwa plastiki ina madhara makubwa kwa afya ya binadamu, wapo wanaodai inasababisha saratani, wengine inamaliza nguvu za kiume kwa wanaume na mambo mengi. Je, ni kweli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…