binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Je, taarifa binafsi (Mitihani na CV's) zinazotumiwa kama vifungashio na wafanyabiashara zinatoka wapi?

    Taarifa Binafsi ni maelezo fulani ambayo yanamtambulisha mtu, au kueleza jambo fulani kuhusu maisha yake. Taarifa Binafsi huweza kuwa majina ya mtu, namba ya simu, mwaka na tarehe ya kuzaliwa, dini, kabila, mahali anapoishi na mengineyo yanayombainisha mtu fulani. Aidha, vifungashio...
  2. Marumeso

    Tujipe Muda wa Kufanya Tafakari (reflections) Binafsi

    Japo kwa uchache jitahidi kupata private moment ya kufanya tafakuri wewe mwenyewe (saivi wanasema wewe kama wewe), ukiwa kwenye utulivu mbali kabisa na makelele ya binadamu mwingine awaye yeyote yule not even your wife, michepuko or even your kids. Inasaidia kuipa akili utulivu stahiki wa...
  3. M

    Ajira sekta binafsi Vs ajira za serikali za mitaa

    Hili lipoje , mnapomaliza chuo na mkafanikiwa kuajiriwa , mmoja akijiriwa sekta binafsi na mwingine akajiriwa serikalini hasa hizo ajira za local government, maisha ya aliyeajiriwa private sector huwa mazuri ukilinganisha na wale wa serikalini,lakini as time goes on wajiriwa wa serikali maisha...
  4. C

    Swalha na Said walishakubali ndoa imekufa ila wadananda wakaendelea kuishinikiza kwa manufaa yao binafsi

    Dada mdogo wa marehemu mke amesema dada yake alimwambia kashachoka kutukanwa na mumewe na hadhani kama ndoa ina manufaa, mdogo mtu aliendelea kumshinikiza amalize mgogoro kwani yeye anaona wanagombania kitu ambacho hakipo hivyo rahisi kusuluhisha. Mdogo mtu alikuwa anaishi kwenye nyumba nzuri ya...
  5. kmbwembwe

    Je, utaratibu wa Serikali kuwapangia wahitimu sekondari vyuo binafsi umerudi?

    Kwenye awamu ya nne elimu ilivurundwa sana hadi wahitimu wa form four kupangiwa chuo kikuu tena na kupewa mkopo kwa kisingizio cha kuandaa waalimu huku vigogo wakiwapangia jamaa zao ambao hata sifa hawana. Tulifikia mahali ambapo wahitimu form six walikua wanapangiwa vyuo vikuu binafsi kwanza...
  6. MakinikiA

    Ni Nchi Ajabu Tanzania kushindwa kuvuna Gesi na mafuta inasubiri sekta binafsi kazi hiyo

    Katika Mambo tuliyopumbazwa na mabeberu ni kuacha shughuri za uzalishaji na kutegemea kukusanya Kodi Pekee Hilo kosa kubwa Sana na ,tunatakiwa kubadilisha mind set zetu Mambo mengine ni mtambuka siyo Kila kitu sekta binafsi, project ya baharini kuvuna Gesi inagharimu Kama trillion 7 lakini...
  7. S

    Vyuo Vikuu Binafsi vinalipa mishahara midogo sana

    Kichwa cha habari chahusika. Vyuo vikuu binafsi nchi hii ambavyo vingi vinamilikiwa na taasisi za dini wanalipa wahadhiri wao mishahara midogo sana. Huwezi amini mishahara ni midogo kuliko hata walimu wa shule za sekondari. Kwa mfano Mhadhiri msaidizi analipwa Tsh Milioni moja kabla ya makato...
  8. GENTAMYCINE

    Simba SC siku zingine msilirudie tena Kosa hili la Kiufundi na Binafsi mmenikera

    Watu tunaojua kuwa Kesho Kipa Aishi Manula hatocheza tunawashangaa kabisa Kutwa mnavyohangaika kututia Moyo. Yaani badala ya kutumia muda wenu mwingi kumjenga Kisaikolojia Kipa wangu bora Simba SC Beno David Kakolanya nyie mnahangaika na Aishi Salum Manula wenu kana kwamba ni mzuri kivile...
  9. S

    Marafiki wasanii ni wanafiki sana na ni wa binafsi

    Kama una marafiki/rafiki msanii utakubaliana na mimi hawa jamaa ni wanafiki sana na wana ubinafsi Wao kazi yao kubwa kukutumia links za kazo zao uwasaidie kushare na kuview ili waingize pesa na wanakurushia picha uwapost ila wao hawafanyi hivyo na hawajishugulishi na jambo lolote la kijamii...
  10. Replica

    Kenya 2022 Kumekucha Kenya: Tume ya uchaguzi yaidhinisha wagombea binafsi 38 wa Urais. Tanzania tuna mpango gani?

    Mgombea binafsi ni yule ambaye hatumii tiketi ya chama chochote ili kuweza kugombea nafasi ya kisiasa kama Urais na Ubunge. Kenya Walipitisha sheria hii March mwaka huu na wameidhinishwa wagombea Urais na ugavana bila kupitia chama chochote. Wagombea 38 wameidhinishwa nafasi ya Rais nchini...
  11. Ngarob

    Wizara ya Afya chukueni ushauri huu kuhusu madakatari wenye maslahi binafsi

    Wizara ya Afya / Waziri wa Afya tunawapa pongezi kwa jitihada mbalimbali mnazofanya lengo likiwa ni kuimarisha afya ya mtanzania. Kuna changamoto kadhaa hasa kwa baadhi ya madaktari katika kutibu wagonjwa mbalimbali kutanguliza maslai binafsi katika hospitali za u make badala ya tiba sahihi kwa...
  12. F

    Kenya 2022 Wagombea Binafsi Waivuruga Kenya

    Dhana ya ugombea binafsi ni tamu masikioni lakini chungu kutekelezeka. Kenya yenye sheria hiyo imetoa ushahidi, funzo na alarm kwamba ni dhana ngumu kutekelezeka baada ya IEBC na wapigakura kuchanganyikiwa na kutamani ugombeaji kupitia mfumo wa vyama. Takwimu za IEBC zilizotolewa jana kwa umma...
  13. Uhakika Bro

    Mbinu ya kutumia akili na utashi binafsi kuiendesha afya na mwili wako - A biological appeal to free-will

    Utashi ni kipawa cha binadamu kinachomfanya aweze kutaka mwenyewe chochote. Kitu hicho kinaweza kuwa chema na hata kibaya, ingawaakili yake mwenyewe inaona zaidi wema fulani uliomo na ambao unamvuta. [Wikipedia] Je unafahamu vitu kama afya njema, umbo la mwili wako na hata sura yako kwa kiasi...
  14. E

    Ongezeko la mishahara: Sekta binafsi hatuna Serikali?

    Watnzania wamepiga kelele kuhusu kupanda kwa gharama za maisha na kilichotokea ni serikali kutangaza nyongeza kwa watumishi wa umma tu. Ina maana sisi watumishi wa sekita binafsi hatuna serikali ya kututetea katika hali kama hizi za kupanda kwa gharama za maisha? Kwa muda mrefu tumekuwa...
  15. K

    Namuunga mkono Mbunge Tabasamu. Bunge ni mahala pa majadiliano kwa ajili ya maendeleo ya ya wananchi na siyo mahali pa kuleta mzaha

    Jana baada ya kipindi cha maswali kuna Mhe. Mbunge moja alisimama na kutoa hoja kuwa ana malalamiko dhidi ya Mhe. Tabasamu kwa kumsema vibaya juu ya hoja yake inayohusu pombe za kienyeji. Mimi ninamuunga Mhe. Tabasamu kwa asilimia 100. Bunge ni mahala pa majadiliano kwa ajili ya maendeleo ya...
  16. Jackal

    Ukraine yaharibu Boat binafsi ya Rais Putin

    UKRAINE destroyed Vladimir Putin's "personal parade boat" the Russian leader uses to inspect naval fleets in a laser-guided bomb attack off Snake Island. Ukraine claims to have destroyed Putin's 'parade boat' Ukrainian forces have shared the incredible moment they claimed to take out Vladimir...
  17. Suzy Elias

    Chawa wa Samia wanatamani uhuru wa maoni binafsi ubinywe

    Maisha yanaenda kasi sana! Kwa sasa hivi hapa Tanzania kama lipo kundi linatamani uhuru wa maoni binafsi ubinywe basi ni chawa wa Samia pro max. Kasi ya kukosolewa Samia kwenye mitandao ya kijamii haiwafurahishi kabisa hali inayowapelekea kutamani sheria ya Magufuli ya kuminya vyombo vya...
  18. FRANCIS DA DON

    Napendekeza kuanzishwa kwa kampuni binafsi ya CCTV Surveillance kwa jiji la Dar es salaam

    Kampuni hii itaomba vibali vyote kutoka mamlaka husika kwa ajili kufunga Camera katika sehemu zote za makutano ya barabara (Junctions), mitaa mikubwa ya wilaya zote 5 hasa hasa katikati mwa mji, Sinza, Kinondoni, Masaki Nk. Linapotokea tukio lolote, mfano wizi wa vifaa vya gari, wizi wa gari...
  19. I

    Makato yapi ambayo ni lazima kwa mfanyakazi wa sekta binafsi (NGO) kukatwa? NSSF, NHIF au PAYE?

    Makato yapi ambayo ni lazima kwa mfanyakazi wa sekta binafsi (NGO) kukatwa? NSSF, NHIF au PAYE? Naam naombeni jibu hapo
  20. Mwande na Mndewa

    Tanesco na tenda kwa kampuni binafsi; TTCL na kampuni binafsi za simu kuanzishwa TCRA

    TANESCO NA TENDA KWA KAMPUNI BINAFSI;TTCL NA KAMPUNI BINAFSI ZA SIMU KUANZISHWA TCRA. Leo 12:15pm 03/05/2022 Tanesco wameazimia kuongeza ufanisi na kasi katika kuunganisha umeme kwa wateja,Tanesco itaanza kutoa tenda kwa kampuni binafsi kufanya kazi hiyo huku wao wakijikita kwenye uzalishaji...
Back
Top Bottom