Habari wakuu.
Pamoja ya kuwa nimekuwa ni mteja mzuri tu wa bidhaa za ALAF lakini kwakweli sifahamu kiwanda hiki kama ni cha Serikali au ni cha mtu binafsi.
Hivyo ninaomba mwenye kujua anifahamishe. Kuna jambo ningependa tujadili baada ya kupata majibu ya swali langu.
Je, nini mtazamo wako juu ya wahitimu wengi wa vyuo kupenda kuajiriwa serikalini ilhali kampuni binafsi ndio zinazoongoza kwa kulipa mishahara minono?
Mtu yuko radhi kuacha kazi kwenye kampuni binafsi yenye mshahara wa 1.5M na kwenda kupoke basic salary ya 900k serikalini
Je ni job security au...
Vyama vya upinzani havina nia ya kuikomboa Tanzania tutafute mgombea binafsi.
Nimekaa nimewaza juu ya mwenendo wa siasa za taifa letu.
Nikirejea kwa hawa wenzetu chama tawala jinsi wanavyoenenda. Ni dhahiri inaonyesha hawana muda mrefu wataachia hili taifa mikononi mwa chama kingine.
Sasa...
Ndugu msomaji wa nakala hii fupi. Habari ya wakati huu. Naomba rejea kichwa cha nakala hii kama kinavyojieleza hapo juu.
Naomba kunukuu
"Tunahitaji mgombea binafsi wa ubunge ili wabunge wawe huru kutoa mawazo yao bungeni bila kuogopa chama".
Tangu nimeanza kufuatilia mambo ya siasa za dunia...
MAOMBI, DUA NA SALA KWA MTU BINAFSI, AU FAMILIA
Anaandika, Robert Heriel.
Andiko hili lafaa kwa mtu yeyote, lafaa kwa rika zote, hadhi, elimu na hali. Andiko hili ni sehemu tuu ya kumbukumbu kwa wajuao mambo haya, aidha andiko hili ni elimu ya manufaa kwa wageni wa mambo haya. Haya basi...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Habari kuhakikisha inakamilisha uandaaji wa Sheria ya Kulinda Taarifa Binafsi za Watu
Ameelekeza hayo katika uzinduzi wa Mfumo wa Usafirishaji wa Dharura wa Wajawazito na Watoto Wachanga (M-MAMA) leo...
Rais samia hua anatoa kauli na maelekezo yenye utata. Lakini wenye kuelewa wanajua ni mwelekeo wake wa kupendelea sekta binafsi iliyojaa 'wahuni'
Inafaa atambue sekta binafsi kuleta ufanisi inatakiwa kua shindani sio kubebwa kwa kusudi kuingia ubia na majeshi au mashirika au mamlaka za umma...
Ni mara ya pili sasa nakutana na gari ya Tanesco ikiwa na kile kibandiko cha mduara kama yai mlango wa dereva na ikiwa imebeba ngazi maeneo ya huku ninakojibanza ikiwa na namba ambazo sio "SU" bali zile za kawaida.
Mara ya kwanza mida ya saa mbili usiku niliiona gari moja eneo ambalo kulikuwa...
Habari!
Hii habari nimeileta hapa kama tetesi ili kujilinda na watu wapumbavu ambao hao kila kitu utawasikia wanauliza source au kutaka utaje jambo direct.
Kuna baadhi ya mambo hayapaswi kuwekwa wazi kwa % nyingi hasa kipindi hayajaiva.
Ni kwamba viongozi wateule wanajichotea pesa za umma...
TCD inaundwa na vyama vitano CCM, Chadema, NCCR-Mageuzi, CUF na ACT-Wazalendo. TCD imesajiliwa kama NGO non Partisan lkn inahudumiwa kwa pesa za Umma. Uongozi wake niwa mzunguko wa kipindi cha miezi 6, kipindi hiki uongozi uko chini ya chama cha ACT-Wazalendo chini ya Kiongozi wao Mkuu Zitto...
Waziri wa Habari, Nape Nnauye, leo Jumatatu, amesema muswada wa Sheria ya Ulinzi Binafsi, uko katika hatua za mwisho “hii ni sheria muhimu sababu vinginevyo uwekezaji utakuwa mgumu. Sio kwa sababu kulikuwa na kurekodi rekodi watu, hapana lakini ni kwa sababu ya kutunza faragha.”
Nape ametoa...
Uzi kama unavojieleza, tujuzane sehemu nzuri za kutafuta ugali wakuu. Yani ukipata hapo angalu maisha yanaenda.
Mimi naanza na hizi japo sijui naskia sikia watu wakisema.
1.TCC - Sigara
2.Mbeya Cement
3.Barick
4.TBL
5.Coca Cola
Mahitaji
-Sukari ya brown kikombe kimoja
-Kahawa ya brown nusu kikombe
-Mafuta ya mzeituni nusu kikombe
-Lemon essential oil kijiko kimoja Cha chai(1tsp)
Hapo kwenye kikombe waweza tumia kikombe Cha chai(mug)au vile vikombe maalum vya kupimia malighafi vile ambavyo vina alama za vipimo.
Hii...
Kampuni ya usafirishaji katika jiji la Dar-es-Salaam (UDART) maarufu kama mwendokasi inatakiwa ijitathmini utendaji wake mara moja kwani huduma ya usafiri wa mabasi haya ni kero kwa wananchi.
Madereva wakifika katika vituo vyao vikubwa (terminal) badala ya kupakia abiria waliojazana kwenye...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini amesema kuwa serikali haihusiki na matukio ya moto yaliyotokea katika baadhi ya mikoa nchini na itawachukulia hatua watakaobainika kuhusika na matukio hayo.
Chanzo: itvtz
Endeleeni kudhani wote tu hatuna Akili.
Nitakuwa wa mwisho...
Mada juu yahusika.
Mimi siwezi kudumu kimapenzi na binti ambaye anaandika vitu vya hovyo mtandaoni.
Mara xax, Xmas, meme, ko n.k
Vifupisho vipo na vinajulikana kwa mujibu wa lugha husika.
Sasa haya mengine yanatoka wapi kama si uhuni?
Mademu waliozoea kuandika hivi ni wale malaya wanaochati na...
Uzoefu unaonyesha ukiona watanzania, hasa wanasiasa, wanaungana na wanahabari juu ya jambo fulani huku nguvu kubwa ikitumika kufanikisha jambo hilo , basi ujue teyari kuna watu wana masilahi binafsi na jambo husika, na teyari kuna bahasha zinatembea na wala si uzalendo wa wahusika unaowasukuma...
Hii ni orodha yangu. Tafadhali iheshimiwe
Ubora umepangwa kwa mfuatano wa namba:-
1. King Majuto (Pumzika Kwa Amani)
2. Mpoki
3. Joti.
Nimemaliza, prove my list wrong.
Orodha tayari
Uzi tayari
Over & out
Bye...
Kwanini zitto ametumia mtutu kumbeba Babu Duni.
1. Kulipa fadhila kwa Babu.
Baada ya Maalim Seif Kufariki, Kikatiba ya Zanzibar, ilitakiwa ndani ya wiki mbili lipatikane jina la Mrithi wa Makamo wa kwanza wa Rais Zanzibar. Zitto akamfuata Babu na kumuuliza juu ya nani Ambae Maalim alikusudia...
Za muda huu wakuu,
Naomba kuuliza kama kuna mtu anasafiri muda huu kutoka Dar kwenda Bukoba na anaweza kufika kesho by saa mbili asubuhi, kama yupo anambie tupo wawili tutalipa nauli kama kawaida lengo ni kuwahi tufike kesho by saa mbili asubuhi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.