Rafiki yangu mpendwa,
Umewahi kujiuliza kwa nini watu wawili, wanaoweza kuwa wanafanya kazi au biashara zinazofanana na kuingiza kipato sawa, mmoja anaweza kuwa vizuri kifedha na mwingine vibaya?
Au umewahi kujiuliza kwa nini watu ambao kazi zao za kila siku wanahusika na simamizi wa fedha...
Hii HOJA inanitatiza sana, nilisikia Kauli kuwa Tamasha la Mama Kizimkazi limedhaminiwa na Rais Samia, ila nimejaribu kudadavua sijapata kuelewa hata kidogo.
Viongozi karibu wote wa serikali wamekuwa wakiita Fedha za bajeti kuu ya serikali kuwa ni Fedha za mama, na kwamba miradi yote ya...
Niende kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zetu Wamasai kwa sasa hofu imetanda; hawalali usingizi tena, hawajui nini kitatokea. Katika hali hiyo, wanalala wima kwa sababu ya hali ya sintofahamu inayowakabili. Nadhani hawalali usingizi tena.
Tuhamasishane kupeleka misaada ya chakula, maji, na...
Hello family?
Naomba kupata uzoefu wa mtu aliyewahi au anayefundisha vyuo vikuu binafsi nchini. Hali ya malipo ikoje? amenities kama zinakuwa provided timely, job security, na treatment ikoje?
Nikipata mwenye uzoefu na vyuo kama SAUT, TUMAINI na St. John itakuwa bora zaidi.
Ahsante.
Habari zenu wana jamvi!.
Siku za karibuni Rais wa JMT Mh. Samia S. Hassan amekuwa akifanya teuzi na tenguzi za mara kwa mara, tena this time sio tu amekuwa akitengua wale ambao hakuonekana kuwaamini toka mwanzo, lakini sasa anatengua mpaka wale wandani wake wa karibu.
Binafsi nimekaa...
Nilikuwa natumia superkasi kwa muda mrefu sasa nikaona nihamie tigo fiber maana kwangu itakuwa cheap na kwa sababu ni fiber latency itakuwa chini hivyo uhakika wa video na voice calls kuwa na kiwango cha juu ni mkubwa kuliko wi-fi. Nililipia internet ya fiber ya tigo just 5 days ago, after a...
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile amewataka Wadau wa Sekta binafsi na Wadau wa usafirishaji kwa njia ya anga waliopo ndani na nje ya Nchi kuwekeza katika ununuzi wa ndege ili kuunga mkono jitihada za Serikali za kuboresha usafiri wa anga hapa Nchini.
Mhe. David Kihenzile ametoa...
Wasalaam,
Wana JF wote.
Leo nina mada kidogo kuhusu suala la uchepukaji kwa wanaume hususani walioko katika ndoa kunakosababishwa na wanawake wenyewe.
Nikiwa miongoni mwa wanaume walioko katika ndoa nimeonelea ni vema nikatoa maoni yangu kuhusu suala la wanaume wengi kuchepuka kwenye ndoa...
Kuna vijana unawaweka dukani unaona kabisa uwepo wao ndio unachangamsha biashara kuanzia kutafuta wateja, ku negotiate, kutangaza biashara, kazoeleka na wateja, n.k. yaani wewe kila ukienda kufunga hesabu unakuta daftari la mauzo linameremeta.
Sasa kijana kaiba lets say elf 5 au 10 kwenye kila...
WADAU WA TPSF 'WAICHARUKIA' TRA / WADAI KUKADIRIWA KODI ZA 'UWONGO'/ RUSHWA YATAJWA
https://m.youtube.com/watch?v=j869hATU_8U
Biashara ya usafirishaji kwa asilimia 75 tunafanya na nchi za kusini za SADC, asilimia 25 iliyobaki tunafanya na Bururundi, Rwanda hilo serikali iliangalie
Sheria za...
Habari zenu ndugu zangu na wanajamvi letu pendwa la HHM.
Nimekuja kwenu tena kama mwanajamvi kujifunza kitu kutoka kwenu.
Kama utafuatilia hapo nyuma niliweka uzi wangu juu ya kukosa morali na mvuto na ajira yangu. Labda niweke hivi, Kabla sijaingia kwenye ajira nilikuwa na kibiashara changu...
Aisee maendeleo yanatembea kwa kasi sana. Nmeshuhudia maboresho mbali mbali ya barabara na madalaja ,mashule n.k
Anaupiga mwingi Pongezi Mbunge wangu Bonna Ladislaus Kamoli
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuna kuna baadhi ya Mafisa wa Halmashauri ya Kibaha Mji wamekuwa wakiwasumbua Wananchi wa Matuga, Kibaha Vijijini kwa kuwatishia ili kuwaondoa kwenye makazi yao, Kibaha Mji imetoa ufafanuzi wa kinachoendelea.
Innocent Byarugaba, ambaye ni Afisa Mawasiliano...
Weka Hali Yako ya Kifedha Binafsi
1. Usishiriki maelezo ya mshahara wako kwenye mitandao ya kijamii.
2. Usijigambe na mafanikio yako ya uwekezaji mtandaoni.
3. Epuka kuchapisha kuhusu changamoto zako za kifedha hadharani.
Ukweli ni kwamba...
1. Sio kila mtu atakayefurahia mafanikio yako ya...
Je, kuna msaada wowote wa Kisheria (ikiwemo kuwekewa mwanasheria na serikali) kutoka Taasisi za Serikali kwa Watuhumiwa ambao hawana uwezo wa kulipia Wakili binafsi?
Ameshauri wawe wajanja kuzaa kuijaza dunia Mungu hakumaanisha Kuwa na watoto wengi Bali kufanya vitu vingi..pia amedai alikataa Dola za kimarekani elfu 20 kutoka Kwa kigogo alietaka kulala nae..hivi ndo anatangaza dau lake kijanja au anajisafisha mbele ya jamii Ione Kuwa Huwa hadangi
Tembo na jamii ya nyani wanaonekana kuomboleza wanapompoteza mwenzao pengine na dolphin kwa jinsi alivyo na akili huenda akawa anajua japo sina uhakika.vipi kwa wanyama wengine Kama Fisi,simba,ngamia,punda,kuku na wengineo huwa wana kaa na kufikiria kwamba kila nafsi itaonja mauti?yaani ukute...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.