Wakuu wa sanaa na burudani habari!
Kwa wale wanaofuatilia mziki wa bongo watakuwa sio wageni kwa huyu mwanadada anayejiita Dipper Rato. Binafsi nilimfahamu Dipper zaidi ya miaka 15 iliyopita. Ila ghafla alipotea kwenye game.
Wakati namfahamu Dipper bado alikuwa akitumia jina la Dipper Kivuyo...
Utangulizi
Kushinda shindano la "Stories Challenge" na kuibuka mshindi wa shilingi milioni 50 ni tukio la kipekee linaloweza kubadili maisha. Malipo haya ni fursa adhimu ya kuweka msingi imara wa maendeleo binafsi na ya nchi. Katika makala hii, nitaelezea jinsi ninavyoweza kutumia fedha hizi kwa...
Ikiwa bado hata nusu mwaka wa kalenda 2024 hatujafika na Hata darasa la 7 hawajafanya mitihani. Tayari shule kadhaa binafsi zimeanza kukusanya Ada kwa ajili ya wanafunzi wa Kidato cha 1 mwakani (2025). Hii si sawa.
Rafiki yangu mpendwa,
Ukiwaangalia watu wanaojenga utajiri na wale wanaobaki kwenye umasikini, hawatofautiani sana kwa nje.
Unakuta wengi wanatokea eneo moja, wanafanya kazi au biashara zinazofanana, lakini matokeo yao ni tofauti kabisa.
Hilo limekuwa linawashangaza wengi, kwa kushindwa...
DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesisitiza nia ya Serikali kuunga mkono uwekezaji wa sekta binafsi hasa katika sekta ya mawasiliano.
Waziri Nape ametoa kauli hiyo wakati wa hafla ya utiaji saini wa makubaliano ya ujenzi wa minara ya...
Maraisi wastaafu wa USA wanafungua maktaba tena kwa kuchangiwa wa watu.
Wapendwa wetu maraisi wazalendo eti wanataka kujengewa nyumba kama Ikulu na wenza wao kulipwa.
Hawajali hali ya wananchi, mabadiliko waliyofanya na historia wanayoacha zaidi ya matumbo yao.
Sijasikia wazo la maktaba...
Hii ni kwa tathmini yangu Mimi kama nitakuwa siko sawia mnisamehe.
Unakosaje kumiliki gari na nyumba huku una miaka zaidi ya 5 kwenye utumishi wa umma?
Jitahidi mtumishi mwakani uachane na Daladala kama wanafunzi. Daladala waachie wanafunzi na machinga
Serikali imesema kuwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) haitozi kodi kwa wasafiri kati ya Zanzibar na Tanzania bara wanaobeba vitu kwa matumizi binafsi.
Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Danie Silo (Mb), kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt...
Aaah yamenifika hapa!
Nahisi hii ni vita kali na wengi wetu tunaingizwa mkumbo tu, wekeni sababu za msingi hapa tuone.
Mimi rasmi simo kwenye huo upotoshaji, kama kuna sehemu niliwahi kunukuliwa basi nasema nilikuwa nimelewa au nilishinikizwa.
Puuzeni kauli hiyo na mnisamehe bure, nimezaliwa...
Amani iwe nanyi nyote.
Kuna jambo moja naliona na si kuona tu
Kila mwenye Biashara analalamika
Wafanyabiashara wa magari wanalalamikia LATRA na TRA Kwa uwepo wa ukwamishshaji na kutengeneza mambo Magumu ili kufungua mwanya wa rushwa, Mifumo kutoingiliana Nikiwa na maana kwamba Unapoanza kufanya...
Hii kero inaumiza sana hasa wafanyakazi kupata haki zao pamoja na kupotezewa muda. Kuna Kampuni ya madini Kahama mkoani Shinyanga inajihusisha na uchimbaji wa madini, imetelekeza wafanyakazi bila chochote si malimbikizo ya mishahara, barua za kuvunja mkataba wala hela za NSSF, pia makato mengi...
Wewe Mtumishi wa serikali au sekta binafsi inakuwaje unapambana au kushindana na jobless... Mimi jobless siijui na sina matumaini na kesho yangu, kwa sababu nikilala nikiamka mipango yangu kichwani na nguvu zangu ndio pesa yangu na mafanikio yangu, Mimi ni Mnyonge tu ..wewe ikifika mwisho mwezi...
Kama kichwa kinavyoelezea hapo juu, kuna kampuni moja binafsi imenitapeli kiasi cha pesa. Sasa naomba kujua nawezaje kufungua kesi na kuishtaki ili niweze kupata haki yangu.
Pesa yenyewe ninayowadai ni kidogo (250,000) ndio maana nasita kwenda kushtaki kwa kuhofia kuwa kunaweza kuwa na gharama...
Jana weekend jioni nimekaa zangu sina ili wala lile nikaona nimcheki bro tunaishi wilaya moja ila maeneo tofauti tukasalimiana fresh nikaulizia kuhus familia yake akanambia shemeji yako kaondoka nikashtuka kdg maana sio taarifa njema kuuliza kwann nawaambia alikuwa mduanzi ana mambo mengi...
Wasaaalam wana jukwaa, leo katika pita pita zangu za mjini nilienda ofisi moja ya muhimu sana, nikakuta watumishi wako muda wa mapumziko, nilifanikiwa kuchangamana nao na kujadili mawili matatu.
Nilimsikia mmoja akisema kwamba amemaliza kusoma na hataki tena (training) ya aina yoyote kwa maana...
Huwa nawaza hawa watumishi wa umma wanapatikanaje aisee ukienda ofisi za umma licha ya kuwa na majibu ya hovyo bado unakuta mtu amevaa sijui nini msabato siyo msabato tabu tupu angalia mabenki ya binafsi jinsi wadada wanawaka angalia hospitali binafsi mpaka unatamani uumwe nenda sasa hizo...
Metro – End of the line for failing train firms
Labour has pledged it will nationalise the railways should the party prevail at the next election, Metro reports. Shadow transport secretary Louise Haigh told the paper the “current model doesn’t work for anyone”. The plan would see a Great...
Wakuu jf Mungu amewabariki popote mlipo na ilisha kua labda tu kwa mafisadi tu
Mwaka 2017 aliekua Rais wa JMT alitumbua watumishi wa umma waliokua na vyeti feki katika kada mbalimbali, may be lengo lake ilikua vijana wasio na doa kwenye Elim ,kupata ajira
Ila kwa uchunguzi wangu hawa...
Habari ndugu zangu poleni na majukumu ya kilasiku
Kama kichwa kinavyojieleza mimi ni kijana wa kiume umri 22 ni mwanachuo wa chuo x hapa Dar kutokana na changamoto za usafiri plus Nauli nikijichanga nkawa na usafiri wangu.
Nimekuja ndugu zanguni mnisaidie kupata mishe yoyote iwe ya kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.