binti wa zamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Binti wa zamani

    Toka nimeingia humu sikuwahi kufikiria nitapenda mtu, sikuwahi kufikiria Nitakuwa drawn kwa ID ya mtu maana nilikuwa najua maandishi haya reflect physical beauty... Kumbe I was wrong, sikujua how maandishi ya mtu hurelfect maisha halisi ya mtu husika hasa subconsciously... Ndipo nilipo kuja...
  2. JamiiForums Tanzania Picha linaanza pale unapogundua binti wa zamani ni mke wako alafu hizo stori za huyo bwana mambo anavyomfanyia kwa upande wako hajawahi kukufanyia

    Ndipo utakapotafakari kama maharage ni mboga ama ni futari. NJOO TUZOGOE😎
  3. JamiiForums Tanzania Napitia kipindi kigumu nilivamiwa na vibaka na kunipora pesa zangu za mtaji, napitia kipindi kigumu sana wakuu msaada

    Ilikua siku ya ijumaa, majira ya saa sita mchana nikiwa maeneo ya kilimahewa bondeni, kuna mteja wangu wa sabuni aliniagiza nimpelekee kwake nikiwa getini alitoka nikampatia mzigo wake akanipa pesa kisha akanambia nisiondoke kuna mtu mwingine ana taka. Kweli alitoka dada mmoja nae akachukua...
  4. JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha nchi yangu United Kingdom of Alex (UKA)

    Habarini wakuu, kwa jina naitwa Alexander Alex, nilikua naomba nipewe utaratibu wa kuanzisha NCHI YANGU, nataka ninunue eneo nilifanye kuwa nchi YANGU, je utaratibu ukoje kwa Sheria za kimataifa. Yani iwe na SERIKALI yake, jeshi nk kama free state No siasa, itaendeshwa kifalme. Jiografia ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…