BIG BROTHER ALEX
JF-Expert Member
- Sep 24, 2025
- 1,293
- 2,265
Habarini wakuu, kwa jina naitwa Alexander Alex, nilikua naomba nipewe utaratibu wa kuanzisha NCHI YANGU, nataka ninunue eneo nilifanye kuwa nchi YANGU, je utaratibu ukoje kwa Sheria za kimataifa. Yani iwe na SERIKALI yake, jeshi nk kama free state
No siasa, itaendeshwa kifalme.
Jiografia ya eneo
Napendelea kiwe ni kisiwa ili kujiepusha na migogoro ya ardhi na mataifa mengine, sitaaki eneo kubwa nataka eneo dogo TU WALAU mfano wa wilaya ya ilala au temeke.
Uchumi
Tawekeza kwenye technology na viwanda, kilimo, utalii usio wa asili. Michezo
Asanteni
Big bro Alex king la jnr