Nataka kuanzisha nchi yangu United Kingdom of Alex (UKA)

Nataka kuanzisha nchi yangu United Kingdom of Alex (UKA)

Siku ukija kugundua kuwa wazo/ndoto hii haiwezekaniki utakuwa umepoteza muda wako mwing sana ambao ungeweza kuwaza mambo ambayo yanawezekana.

Hakuna mtu binafsi ana miliki nchi.
Ila kuna watu Binafsi wanatawala eneo flan. Either kwa kununua au kurithi au kimabavu.
Lakin haifanyi kuwa yeye ndio mmiliki wa nchi.

Nchi inatakiwa itambulike kimataifa na kuna Standard zake nying sana.
Na hairuhusiwi mtu binafs amiliki nchi.
Kwanza nchi inatakiwa kuwa na Hela yake. Miundo mbinu kadha wa kadha. Ni mambo meng sana.

Labda uwe na eneo lako kubwa ambalo utaita ngome /himaya yako . Ambayo itakuwa chin ya nchi flan.

Achana na kuwaza kuwa na nchi.
Hebu anza kuwaza kuwa na Himaya.
Je unamiliki nyumba ngap had muda huu?.
Una viwanja au assets zozote kubwa ambazo zinaweza kubadilika na kukuwezesha kumiliki hata eka 10?.

Ukiacha kuwaza?. Je nn unacho ambacho unaona kitakufanya kufanikiwa kuwa na himaya yako?.
 
Siku ukija kugundua kuwa wazo/ndoto hii haiwezekaniki utakuwa umepoteza muda wako mwing sana ambao ungeweza kuwaza mambo ambayo yanawezekana.

Hakuna mtu binafsi ana miliki nchi.
Nchi inatakiwa iwe na Bendera yake. Hela yake. Miundo mbinu kadha wa kadha. Ni mambo meng sana.

Labda uwe na eneo lako kubwa ambalo utaita ngome /himaya yako . Ambayo itakuwa chin ya nchi flan.

Achana na kuwaza kuwa na nchi.
Hebu anza kuwaza kuwa na Himaya.
Je unamiliki nyumba ngap had muda huu?.
Una viwanja au assets zozote kubwa ambazo zinaweza kubadilika na kukuwezesha kumiliki hata eka 10?.

Ukiacha kuwaza?. Je nn unacho ambacho unaona kitakufanya kufanikiwa kuwa na himaya yako?.
Sawa mkuu acha nifanyie kazi hiki ulicho nishauri
 
Nilikuwa sijakusoma vizuri nilidhani unahitaji hata kanchi kadogo nikwambie kama umeshaoa tayari nyumbani kwako ni nchi yako wewe ndio raisi wa nyumba mkeo waziri mkuu na waziri wa mipango.Kama una mtoto wa kiume anakuwa mkuu wa majeshi.
Kama unataka sehemu kubwa kidogo njoo huku kanda ya ziwa ukibahatika kupita na ndege juu ya ziwa victoria utaona visiwa vidogo vidogo vingi tu havikaliwi na watu basi wewe njoo tu uishi hapo ila omba kibali serikalini kwanza ila uitambue serikali kuu ya nchi.Ila tahadhari utakutana na nyoka wanaishi humo utafute utaratibu wa kutafuta urafiki nao.
Kipo kisiwa cha Juma hiki tayari wajanja wameshakichukua wavuvi wanavua dagaa tafuta cha kwako
 
Sawa mkuu acha nifanyie kazi hiki ulicho nishauri

Ukiwa na hela za Kutosha.
Unanunua eneo lako kubwa.
Unataarifu nchi husika mipango yako.
Unaweka Geti la kuingilia na mipaka yako.
Eneo haliwez kuguswa na Serikal ya nchi husika as Long as utafuata taratibu walizokupa.

Na serikal hiyo itakupa Miundo mbinu muhim kwaajali ya kumudu maisha ya kila siku.
(Maji,umeme, matibabu nk nk)
As long as utafuata taratibu zao .

Kwahiyo anza kuwaza kumiliki Himaya yako au ngome.
Utawakaribisha kujenga au kuendeleza ndan ya ngome yako wale tu unaowataka.
 
Asee safi sana mkuu umenifungua sana tafanya hichi ulicho nifahamisha shukrani sana🙏🙏
 
Habarini wakuu, kwa jina naitwa Alexander Alex, nilikua naomba nipewe utaratibu wa kuanzisha NCHI YANGU, nataka ninunue eneo nilifanye kuwa nchi YANGU, je utaratibu ukoje kwa Sheria za kimataifa. Yani iwe na SERIKALI yake, jeshi nk kama free state

No siasa, itaendeshwa kifalme.

Jiografia ya eneo
Napendelea kiwe ni kisiwa ili kujiepusha na migogoro ya ardhi na mataifa mengine, sitaaki eneo kubwa nataka eneo dogo TU WALAU mfano wa wilaya ya ilala au temeke.

Uchumi
Tawekeza kwenye technology na viwanda, kilimo, utalii usio wa asili. Michezo

Asanteni

Big bro Alex king la jnr
"Bangi Oyeeeeee" - Dr Wajackoyah
 
Milembe ulikuwa ward namba ngapi kiongozi?
 
Nilikuwa sijakusoma vizuri nilidhani unahitaji hata kanchi kadogo nikwambie kama umeshaoa tayari nyumbani kwako ni nchi yako wewe ndio raisi wa nyumba mkeo waziri mkuu na waziri wa mipango.Kama una mtoto wa kiume anakuwa mkuu wa majeshi.
Kama unataka sehemu kubwa kidogo njoo huku kanda ya ziwa ukibahatika kupita na ndege juu ya ziwa victoria utaona visiwa vidogo vidogo vingi tu havikaliwi na watu basi wewe njoo tu uishi hapo ila omba kibali serikalini kwanza ila uitambue serikali kuu ya nchi.Ila tahadhari utakutana na nyoka wanaishi humo utafute utaratibu wa kutafuta urafiki nao.
Kipo kisiwa cha Juma hiki tayari wajanja wameshakichukua wavuvi wanavua dagaa tafuta cha kwako
Asante sana nashukuru lakini visiwa vya ziwani sio kipaumbel changu nataka vya baharini
 
Ukiwa na hela za Kutosha.
Unanunua eneo lako kubwa.
Unataarifu nchi husika mipango yako.
Unaweka Geti la kuingilia na mipaka yako.
Eneo haliwez kuguswa na Serikal ya nchi husika as Long as utafuata taratibu walizokupa.

Na serikal hiyo itakupa Miundo mbinu muhim kwaajali ya kumudu maisha ya kila siku.
(Maji,umeme, matibabu nk nk)
As long as utafuata taratibu zao .

Kwahiyo anza kuwaza kumiliki Himaya yako au ngome.
Utawakaribisha kujenga au kuendeleza ndan ya ngome yako wale tu unaowataka.
Naomba nichangie mada yako kidogo
Kwa sheria za nchi yetu mmiliki wa ardhi yote ya Tanzania ni Raisi
Ukinunua eneo lako sio lako ni la serikali wewe ni kama mtunzaji tu
Ndio maana nchi yetu ikiamua inapitisha barabara sehemu unaondolewa
Kwa nchi ya Kenya ni tofauti ndo maana bomba la Tanga Hoima ilikuwa ngumu kupitishia Kenya
Kwa Tanzania ikawezekana.

Hali kadhalika hata mti ukiupanda ni wako ila kisheria ukiukata sharti ukaombe kibali.
Ulivyomshauri ni vyema yeye anunue eneo lake kubwa tu hakuna mtu atambugudhi
Ila asilete shobo atulie asijitangazie yeye ndio raisi yasije mkuta yaliyomkuta Fela Lamson Kuti mwanamuziki wa Nigera alinunua himaya yake akaiita Kalakuta republic serikali ikavamia kijeshi japo hawakumdhuru ila walichoma makazi yake.Humo kwenye himaya yake alikuwa na hospitali inatoa matibabu bure,shule,uwanja wa mpira,yote ajili ya watu wake na wake zake 27
 
Back
Top Bottom