Nataka kuanzisha nchi yangu United Kingdom of Alex (UKA)

Nyuzi za hivi na wikiendi hizi ni kutafutiana ban bure wacha nijikaze tu
Tashukuru mkuu mawazo hutofautiana, kwanini Huwa mnataka watu wawaze kama mnavo waza nyie. Kipindi watu wanabuni karatasi irahisishe kuandika mambo mbalimbali mwingine alikuja na wazo la kuanzisha toilet paper, ungekuwepo unge dharau lakini Leo hii zinatumika tena kwa kununuliwa, acha hizo mkuu heshima mawazo ya mtu sio lazima Kila mtu apende ccm, na chadema mambo hayako hivo
 
Bro Alex on the beat almaarufu BIG BROTHER ALEX kwanza umenielewa vibaya rafiki yangu na mdogo wangu .

Ieleweke kuwa mwenzio asubuhi na mapema siku za wikiendi nakuwa nimeshalewa chakari ,mada uliyoweka inahitaji akili tulivu na yenye mnyambuliko vizuri pasina kuchanganya vitu kichwani ni hapo nikasema unanitafutia ban maana naweza kushusha nondo zangu hapa ambazo nitaishia kuulizwa na watoto wadogo ndiyo nini mwisho nijibu vibaya nile ban nikimaanisha hivyo sio vinginevyo mkuu wangu .👊
 
Kaka umeni gusa sana kwa jinsi ulivyo react nimejofunza jambo kwako samahani kama nimekukwaza kaka maisha yanahekaheka nyingi sana Kuna muda unakaa unaona yanini kugombana na watu kwanini mungu asinifungulie riziki zaidi nikaanzishe taifa langu ila watu waishi kwa amani, wasibaguliwe, wasigombanishwe, wasigeuzee madaraka ya watu kuishi kitajiri, wasitekwe na kuuliwa kifo kibaya, najua ni ngumu ila ni moja ya malengo yangu mapya kichwani mwangu mwenyezi mungu anijaliw🙏🙏🙏🙏 nisamehe kaka kama umejisikia vibaya.
 
Hapana ndugu niko sawa kabisa ,relax and enjoy siku yako
 
Na mimi natabiri kuanzia mwaka 2100 kila mkoa hapa nchini utakuwa nchi

Madogo mtakae kuwepo msinisahau kwenye vitabu vyenu

Nabiii BLACKTIGER!
 
Habarini wakuu, kwa jina naitwa Alexander Alex, nilikua naomba nipewe utaratibu wa kuanzisha NCHI YANGU, nataka ninunue eneo nilifanye kuwa nchi YANGU, je utaratibu ukoje kwa Sheria za kimataifa. Yani iwe na SERIKALI yake, jeshi nk kama free state

No siasa, itaendeshwa kifalme.

Jiografia ya eneo
Napendelea kiwe ni kisiwa ili kujiepusha na migogoro ya ardhi na mataifa mengine, sitaaki eneo kubwa nataka eneo dogo TU WALAU mfano wa wilaya ya ilala au temeke.

Uchumi
Tawekeza kwenye technology na viwanda, kilimo, utalii usio wa asili. Michezo

Asanteni

Big bro Alex king la jnr
United kingdom ñ

Anza kwanza kuelewa maana ya united kingdom
 
Nakushauribuache bangi
 
Wewe huyu huyu uliyeanzisha uzi leo kuhusu ushoga, na namna ulivyo kuwa unazipigia hesabu pesa za mwanaume mwenzio?
 
Nisinge simulia unge juaje kaka, we umeishi maisha mchelemchele, si time fight story zetu haziwezi kuwa sawa endelea kuishi umo umo huu mziki wa hustle huwezi ndo mana nashanhaa watu wanadai siwezi eti bangi, kwa maisha tulioyapitia sioni kigumu mbele upo hapo mkuu
 
Back
Top Bottom