Wakuu natumai wazima wa afya, poleni na majukumu.
Nije direct kama mada inavyo jieleza, mara nyingi nimekua nikishuhudia hafra ya kuvisha pete ya uchuma mwanaume kupiga goti chini tofauti na pete ya ndoa makanisani.
Ni utamaduni wa kiafrika,,? Ni imani za kidini,,?
Msaada kwa wajuzi wa haya...