Binti Jua (born March 17, 1988) is a female western lowland gorilla in the Brookfield Zoo, in Brookfield, Illinois, outside of Chicago, US. She was involved in an incident in 1996, in which she tended to a three-year-old boy who had fallen into her enclosure.
Binti Jua (whose name means "Daughter of Sunshine" in Swahili) is the niece of Koko, a gorilla whose linguistic accomplishments have been the subject of several scientific studies. Her mother, Lulu, was originally from the Bronx Zoo and died on January 24, 2011, after residing at the Columbus Zoo and Aquarium. Her father is Sunshine, from the San Francisco Zoo.
Habarini ndugu zangu, jina langu naitwa Monica ni msichana mwenye umri wa miaka 25 sijaolewa bado.
Ni miezi mitatu tangu nimpate mtu ambaye niliona ni sahihi kwangu ni mtu ambaye alikuwa huru namm sana pia ni mtu ambaye naweza ishi nae kama rafiki na mume pia na nikiwa nae ananifanya niwe mtu...
SAFIRI SALAMA NA BINTI YAKO, USIMUACHE; HUKO MBELE HAKUFAI.
Kwa Mkono wa Robert Heriel
Andiko hili lamfaa mtu yeyote yule, hasa wazazi wenye watoto wakike. Bila shaka litakuwa msaada kwa sehemu kubwa ikiwa litazingatiwa.
Nilipokuwa mwaka wa pili pale UDSM nikiwa naishi Sinza Kwaremi, nilipata...
Habari za leo wapendwa. Sijui ni dharau kwa serikali ama siasa moe sielewi. Kuna baba mtu mzima ana watoto wakubwa.
Binti yangu alikuwa anasoma Sengerema kidato cha sita. Huyo baba kamuachisha binti yangu shule na kumuweka ndani kinyumba. Huyo baba anasema Serikali hii hakuna wa kumfanya...
Kumekua na Video inayozunguka katika Magroup ya Whatsapp na mitandao mbali mbali.
Video ikimuonesha binti anayetuhumiwa kwa wizi katika makanisa.
Viongozi/waumini wanaonekana katika video hii wakimpiga mtuhumiwa.
Jambo hili halikubaliki na niuvunjaji mkubwa wa sheria na haki za binadamu...
UPDATE:-
Asanteni Nyoote mlio onesha Nia na kuni connect na ndugu zenu.
Bado nafanya maongezi, naimani waliojitokeza tukawasiliana wanatosha, kwa Sasa.
Shukran Sana.
Kama mwanao kaganya hivyo ungechukua hatua gani?
Ungeuza nyumba ili umlipie madeni yake? Au ungeacha ajiue tu kama alishapanga? Uhai haununuliki lakini binafsi ni mtihani usio na majibu
Nimekiona BBC Swahili
Full story 👇👇
---
Uraibu wa Kamari: Namna gani unaweza kupambana na uraibu wa kamari...
Habari zenu wakuu, nawasalimu sana kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Nalifkisha hili kwenu ili kupata msaada wakuu, kuna binti anatafta kazi ya kuuza duka la nguo (zakike/kiume), supermarket, Usafi maofisini na pia yupo tayari kufanya kazi ktk kampuni yeyote ya mabasi aidha kusafiri na Bus au...
Back in d' dayz!
Nilikua na mtoto mzuri, kitu black beauty mwenye asili ya mbeya, kiufupi ni kwamba nilimsaidia sana, nilikua naplay part kama mzazi wake, ada ya chuo, mahitaji yote, na alipomalza chuo nilimpa mtaji wa shilingi milioni 5 akaanza biashara na yote hayo wazazi wake walikua wanajua...
Binti pekee wa mhubiri wa kimataifa wa Naijeria, Temitope Joshua almaarufu TB Joshua, anafunga ndoa jumamosi hii tarehe 8/5/2021 jinini Arusha.
Binti huyo ajulikanae kwa jina la Serah anaolewa na kijana wa kichaga anaeitwa Brian Moshi. Ndoa itafungiwa kanisa la RC- Unga Limited na kufuatiwa na...
Ilikuwa ni Oktoba 28, 1958 mjini North Carolina US ambapo watoto wa kiume wawili wenye asili ya Afrika David Simpson (na Hanover Thompson (9) raia wa Monroe walipewa kesi kwa kumtazama tuu binti wa kizungu wa umri wa miaka 7 Sissy Marcus.
Mama wa binti huyo Bernice Marcus aliwashtaki watoto...
Nani aoe shida Jamini?
Unaoa binti anajua kila kitu siasa yeye, mpira yeye, ujasiliamali yeye, kubeti yeye, Movie yeye, biashara yeye, hadi Harakati yeye.
Hii haitakuwa ndoa sasa. Hawa tunawaacha humu waendelee kupush ajenda! [emoji56][emoji56][emoji56][emoji119][emoji119][emoji119]
Majani anasema mtoto wake alimkataa, ila hasemi ilikuwaje wakafika hali hiyo.
Majani anasema kwenye radio kuwa mtoto wake kazaliwa na mama asiyestahili.
Majani anaitangazia dunia kwamba binti yake amelaanika.
Kwa mtu mwenye hekma na utulivu wa akili utagundua Baba pia ana tatizo kubwa kuliko...
Bwana wetu Yesu asifiwe wapendwa, Asalaam naalykum kwa waisilam wote natumaini mu wazima wote.
Moja kwa moja nizame ndani ya maada wapendwa. Mimi ni kijana ambaye natarajia kuingia kunako ndoa ikimpendeza Mungu wangu,
Umri wangu miaka 25
Kuna binti ambae tulikutana kwa mazingira fulani...
Kwa wale ambao wameshapitia hii hatua tayari na wana uzoefu hebu tupeane experience ni changamoto gani unaweza kukutana nayo siku utakapokwenda ukweni kutambulishwa.
Na jinsi gani unaweza kuiepuka hii changamoto ili usije ukaonekana kituko?
Pia soma...
Siku hizi limekuwa jambo la kawaida sana kwa baba kuwa na uhusiano wa kimapenzi na binti yake wa kumzaa mwenyewe
Tatizo ni nini wakuu? Ni tamaa za kingono au kuna sababu za kishirikina nyuma yake?
Happy Nyasumo (18) mkazi wa Wilaya ya Serengeti amemuua mumewe, Bebe Mbogo (26) kwa madai kuwa hampendi na hakuwa chaguo lake zikiwa zimepita siku 14 tangu walipofunga ndoa.
Akizungumza na Mwananchi Digital leo Alhamisi Aprili 14, 2021 mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Nurdin Babu amesema tukio...
Nimefanikiwa kutengeneza urafiki na mama muuza genge hadi katokea kunipenda na kuniamini sana. Alipenda kujua maisha yangu ya kiroho na maisha ya kawaida na kuridhika nayo.
Baada ya kumaliza chuo 2019 niliamua kujiongeza na mambo mengine nje ya nilichosomea. Mapema nilipanga geto. Nimekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.