binti

Binti Jua (born March 17, 1988) is a female western lowland gorilla in the Brookfield Zoo, in Brookfield, Illinois, outside of Chicago, US. She was involved in an incident in 1996, in which she tended to a three-year-old boy who had fallen into her enclosure.
Binti Jua (whose name means "Daughter of Sunshine" in Swahili) is the niece of Koko, a gorilla whose linguistic accomplishments have been the subject of several scientific studies. Her mother, Lulu, was originally from the Bronx Zoo and died on January 24, 2011, after residing at the Columbus Zoo and Aquarium. Her father is Sunshine, from the San Francisco Zoo.

View More On Wikipedia.org
  1. Binti wa umri wa miaka tisa amuuguza Bibi yake kwa zaidi ya miaka Mitatu

    More by this Author Mwanza. Shamsa Yusuph (9) ambaye kwa umri wake anapaswa kuwa shule, amejikuta akikosa fursa hiyo baada ya kulazimika kubeba jukumu la kumhudumia bibi yake mgonjwa aliyelala kitandani kwa maradhi kwa miaka mitatu sasa. Mtoto huyo anayeoonekana kuwa na uwezo mkubwa wa kuelewa...
  2. Nimeomba namba ya simu kwa binti akanijibu hana simu

    Wiki iliyopita nimebahatika kukutana na mabinti kama watatu, hivi njian kwenye harakati zangu, huku na huku stori za hapa na pale......dakika za mwisho kabisa naomba namba ananiambia sina simu. [emoji117] MaMen tunafanyaje katika hilo suala najua tupo wengi[emoji116]
  3. Naombeni ushauri juu ya huyu binti simuelewi elewi

    Habari zenu wakubwa shkamoni Ni kitambo sana kijana wenu sjaonekana kuanzsha thread ila kwa haya nlokutana nayo imenibd nianzishe uzi iko hivi[emoji116][emoji116][emoji116] mmepitia mengi nyny ndo wataalamu wenyewe naona kama picha hvi yaani daaaah msaada #yesbishoohaswaaaa
  4. Naombeni ushauri juu ya huyu binti

    Kuna binti mmoja nilikuwa nadate naye kwa kipindi flani hivi, ila nikaja kuona kuwa mambo yake hayaeleweki na nikamuweka kando tena nilimwambia kabisa kwamba achukue time zake na mimi nifanye mambo yangu, ila kikapita kipindi flani baadaye akaanza kunitafuta na tukawa tunasalimiana fresh tu ila...
  5. Kuna binti nilimuahidi nitamuoa mwaka huu ila bado mambo magumu, nifanyeje?

    Huyu binti nina mwaka nipo nae katika mahusiano na moja kati ya promise niliyomuahidi nitamuoa mwaka huu mambo yangu yatakapokaa sawa Ila mpka sasa mambo magumu. Na binti naye kwao wameanza kumsumbua kwani alishawaeleza ana mchumba anataka kumuoa sasa home kwao mpaka sasa hivi wananisikilizia...
  6. Naongea na msichana au binti

    Upendo sasa hivi katika mahusiano ya kimapenzi, bila kuwa na MUNGU ndani yako hesabu ni maronyaronya. Jione uko sokoni tu unasagulasagula. Tena soko la kikundi morogoro Usijipe uhakika hata robo vinginevyo umeamua kumuishi MUNGU kwa kufata sheria na amri zake. Mambo mengi yamebadilika, nyakati...
  7. Miaka ya nyuma ilikuwa dili kumvua nguo ya ndani binti, siku hizi wanavua wao

    Miaka ya nyuma ilikuwa raha sana kwenda kuchapa demu. Kwanza unamsotea kutongoza halafu kama amekukubali anakupa penzi kwa mbinde. Kumvua nguo ya ndani inakua ugomvi na unakula mzigo kijasho kinakutoka. Siku hizi mabinti wakiingia geto wanavua kabla hata mwanaume hajavua!
  8. Nimeamua kuoa Msabato

    Nimefikiria kwa makini sana nimeona ni jambo sahihi kuoa binti wa kisabato, sababu ni zifuatazo; 1. Nitaokoa zaidi ya milioni 2 kwa mwaka kutoka kwenye hela za kuhudumia nywele. Milioni 2 ni kama matofali 2000. 2. Kwenye msosi nitaokoa hela nyingi sana kwa mwaka zaidi ya milioni 3 kwasababu...
  9. SoC01 Manka binti mrembo, Mzaliwa wa Machame na mkazi wa Tandale alivyobahatika kuacha ukahaba mpaka kuwa dereva Ikulu

    Kwa majina naitwa Manka, Mzaliwa wa Moshi Machame, mkazi wa Tandale Dar es salaam. Nilifanikiwa kuanza masomo yangu ya msingi Dar, na kufanikiwa kujiunga masomo ya Sekondari shule wanafunzi wenye vipaji maalumu Tabora Girls, ambapo nilisoma mpaka kidato cha nne, na kufanikiwa pia kuendelea na...
  10. SoC01 Mateso ya Binti wa Shule yaliyopuuzwa na Jamii

    Katika familia nyingi za kiafrika hasa ndani ya nchi yetu ya Tanzania, kuzaa watoto inachukuliwa kama baraka kubwa sana na hasa watoto hao wakiwa wa jinsia zote mbili, watoto wa wakiume na watoto wakike. Na hata inapotokea familia imepata watoto wote wa jinsia moja, wazazi huiona kama...
  11. Msaada wenye viona mbali: binti aliyesoma PCM, div 3

    Tuko zama za kuchagua kozi kwa busara na si kusoma tu. huu ni uwanja wa wazoef katika uwekezaji kielim. binti yangu alipata div 3 pcm. nimwelekeze mlengo gani kifani?
  12. Hili kosa linafaa kumuacha kabisa huyu binti?

    Wakuu siku mbili tatu hizi kuna majukumu makubwa nimefanya sasa kwa asilimia kubwa nimekwangua mfuko wangu na akiba karibu asilimia 80. Sasa nikabaki na kapesa kadogo kakusukuma siku mbili tatu. Sasa kuna bint huyu shemej yenu kaja hapa kwangu tokea siku ya sabasaba kaondoka leo mda si...
  13. Binti wa mpangaji mwenzetu katembea na kundi letu lote lenye vijana watano

    Tunaishi watu 5, maisha ya kighetogheto. Kuna jirani yetu flani hajielewi kabisaaa, mme wake mwenyewe ni yanki tu kijana n anamzaa kabisa. Shida ilitokea baada ya mwanae kwenda kuhamia kwa mamaake. Alipohamia tu mwenetu mmoja akamuwai fasta kutokana n utimamu wa kumaimbile wa mtoto, hatareee...
  14. Kilimanjaro: Binti adaiwa kumuua mama yake kisha kumng’oa macho

    Mwanafunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Kindi Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro anadaiwa kumuua mama yake mzazi, Marietha Mushi (62) kwa kumnyonga na shuka, kisha kumpiga na kitu kizito kichwani na kumng’oa macho. Habari zinaeleza kuwa mama huyo alikuwa na ulemavu wa mkono jambo...
  15. A

    Hii ni picha ya kuchora, inamuonyesha binti mtumwa kutoka Afrika akiwa Uarabuni

    Inauzwa katika minada ya antique, ni picha chache za kuchora ambazo bado zinapatikana. Nimevuta hisia, maisha way huyu binti si ajabu hajui hata wazazi wake walipo. Sura yake haionyeshi furaha bali ina ujasiri. Ni mara chache sana kuona kumbu kumbu za Watumwa waliokwenda Arabuni. Wengi wao...
  16. Binti ijue thamani yako. Hujachelewa

    Niliwahi kusoma sehemu kwamba lulu ina thamani kubwa sana. Kumbe lulu hutokea kwenye vina vikubwa huko vya maji na mpaka zitengenezwe ni process kubwa. Na ndio maana wanaozitafuta hustruggle sana kuzipata. Sasa binti, kichuna wewe ni mrembo na wa thamani sana. Kama kuna anguko umeshapitia...
  17. Barua ya Uchumba; sababu 30 zilizonifanya nimpose Binti Yenu

    BARUA YA UCHUMBA; SABABU 30 ZILIZONIFANYA NIMPOSE BINTI YENU. Kwa Mkono wa, Robert Heriel Taikon , kijana wenu, mwana wa Tibeli, kutoka nyota ya Jibi, Kuhani katika Hekalu Jeusi. Na, Kwa Baba na Mama Mkwe, wa Nchi ya Maziwa na Asali, inayomea miti izaayo matunda misimu yote. Neema ya Mungu...
  18. E

    Unajisikiaje kumuona binti chuoni hapati mahitaji kisa hana pesa?

    Unajisikiaje unapoona kuna msichana anasoma chuo na wewe, anashindia mlo mmoja kwa siku? Unajisikiaje kuona msichana aliye chuo anavaa hovyo kwa kukosa pesa wakati anapenda kupendeza? Naumia sana ninapoona chuoni ninaposoma, kuna msichana anakula mlo mmoja kwa siku, havai vizuri, amekosa nuru...
  19. A

    Tetesi: Tuhuma za Bi Sandra (Mama Diamond) kumnyanyasa binti wa Miaka 14 kutoka Congo

    Poleni na Majukum watanzania Leo nimeona nije na ili swala la Uyu Mama Diamond kujiona Mungu mtu kwa watoto wa watu Hivi serikal yetu ikowap imtetee uyu mtoto Rais Mama Samia Naomba kama utapendezwa mtendee haki uyu mtoto alie taka kufanyiwa kitu kibaya na wanaume wa nne alie fanya kazi za Ndan...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…